Marekani kuinyamazisha Urusi?

Ikitotanzila

JF-Expert Member
Sep 22, 2020
1,409
2,263
Biden ametoa speech ambayo inaonyesha Trump alikuwa anamdekeza sana Putin.

Belarus jirani wa Ukraine na Urusi ndiye rafiki mkubwa Putin na Biden kasema Urusi isipotoa majeshi yake huko atalituma jeshi.

la Marekani ndani ya Belarus

Tunaweza kuona ni namna gani Marekani wanaendelea kuzichanga karata zao vizuri dhidi ya kumdhoofisha Urusi.

Belarus chini ya Rais ambaye watu wa haki wanamuita Dictator Alexander Lukashenko aliyekaa madarakani toka 1994 alisema

"Ikiwa ina maana kuweka askari wa Kirusi hapa, tutawaweka kwa muda mrefu iwezekanavyo. Ninasisitiza kwa mara nyingine tena: hili ni eneo letu na uamuzi huu ni wetu.”

Umoja wa Mataifa unasema Urusi kuingiza jeshi lake Donbas, Ukraine kuwalinda raia wanaowasapoti Urusi ni kosa

Marekani wanataka kuliingiza jeshi lake Belarus likaliondoe Jeshi la Urusi
▪️Atakaye umia ni Belarus
▪️Vita itapiganwa kwenye aridhi ya adui wa Marekani.
▪️Marekani hana cha kupoteza.
▪️Ndio mwanzo wa Marekani kuishambulia Moscow.

Pia tukumbuke Donbas, Ukraine ndio inayochochea vita vya huu mgogoro na bado mpaka sasa Majeshi ya Serikali yanapigana na Vikundi vinavyopewa sapoti na Urusi.

USHAWISHI WA MAREKANI UNAMFANYA URUSI AONEKANE MTOTO M-BAYA

Tunashuudia
Japan aliyewahi kuwa adui mkubwa wa Marekani anasema anasimama upande aliosimama Marekani.

Ujerumani iliyokuwa inataka huu mgogoro umalizike ki-diplomasia ili kulinda maslahi ya nchi yake juu

Ya bomba la Gesi la Nord Stream 2 inayotoka Urusi. Leo hii analiongezea vikwazo Urusi isiwauzie gesi.

Qatar inawaambia Ujerumani mnataka nini? Mafuta? au nini sisi tuwape.

Marekani na Ulaya umeziwekea vikwazo Taasisi za kifedha za Urusi hakuna miamala ya kuamisha pesa

Kutoka Urusi kwenye nyingine za Ulaya hii ni hatari sana kwenye uchumi wa Urussi.

Marekani imewazuia baadhi ya biashara za matajiri wa kubwa wa Urusi hii ni mbaya mno ugomvi wa kijeshi kuamishiwa kwa watu ambao hawana hatia.

Putin anazidi kufundishwa uoga.

Marekani ina Teknolojia kubwa mno kwenye Majeshi yake ana uwezo wa kuifanya hii dunia kitu chochote anachotaka.

Urusi ni nchi ambayo haitabiriki.

Sio kwamba Marekani inaipenda sana Ukraine, lengo kubwa la Marekani kwa miaka mingi ni kuishambulia Moscow na kuisambaratisha.

Mpaka leo hii Moscow ipo kwasababu ya uwepo wa Putin.

Trump alikuwa anaizungumza Urusi huku akiwa na hofu ya silaha za Nyuklia za Urusi.

Biden anaizungumza Urusi bila kuziwekea maanani silaha za Nyuklia anazozoimiliki Urusi zinazoweza kuifuta dunia yote ndani ya muda mfupi.

NATO wanafikiria kuingia Ukraine Marekani inafikiria kuingia Moscow na Urusi inafikiria kuingia Marekani.

Kwa hivi vikwazo alivyowekewa Urusi ni hatari sana kwa uchumi wao na ni ngumu kuvulimia. Vuta picha biashara zinazofanyika kati ya Urusi na China leo hii zisifanyike!!

Rais wa Urusi Putin amesema yupo tayari kwenye mazungumzo ya kidiplomasia na nchi za Ulaya juu ya mzozo wa Ukraine lakini kuhusu suala la usalama wa raia wake hilo halihitaji mjadala.

Kwasasa Urusi ni sawa na yupo mwenyewe ile nchi imezungukwa na kambi nyingi za jeshi la USA.

Lakini ana makombora hatari ya Hypersonic ambayo hakuna mtambo yoyote yenye uwezo wa kuyazuia hayo makombora kama tulivyokuwa tunashuudia Iron Dome za Israel zilivyokiwa zinazuia makombora ya Palestina.

Urusi anaweza rusha kombora likazunguka dunia nzima bila kuonekana. Source: Putin

Hiyo Teknolojia Marekani anayo iliyo advanced zaidi ya Urusi, wakifikia level hiyo atakaye anza ndiye atakayeshinda japo hakuta kuwa na mshindi.

Marekani na Urusi wana mbinu zinazofanana katika vita kudeal na Viongozi.

Katika mazungumzo mengi ya Marekani wanamlenga moja kwa moja Putin kama mkosaji wanayemuhitaji na Urusi kule Ukraine kwa mujibu wa Majasusi wa Marekani ni wamepanga majina

Ya Viongozi wa Ukraine wanaotaka kuwaua, kuwateka na pia kwenda kuwatesa. Tuendelee kusubiri Urusi atajibu nini juu ya hivi vikwazo.

Pia huku Tanzania kuna habari zinasambaa kwa kasi sana kuwa
 
Marekani kamshindwa mtoto mdogo Kiduku ,atamuweza mtaalamu wa mapambano na intelijensia Putin.
Marekani kapigwa kombora kambini kwake na Iran akashindwa kufanya kitu chochote..

Hio ni mikwala tu marekani hakuna kitu anaweza kumfanya Russia.

#teamrussia.
 
Biden ametoa speech ambayo inaonyesha Trump alikuwa anamdekeza sana Putin.

Belarus jirani wa Ukraine na Urusi ndiye rafiki mkubwa Putin na Biden kasema Urusi isipotoa majeshi yake huko atalituma jesh
Marekani chini ya utawala was democrat ni SAWA na bongo land chini ya chichiem, aka chukua chako mapema, hivyo hawana maajabu, zaidi ya kuchezewa sharubu, Hulu wakisalia kitafuta msaada kwa kutapatapa na hata bila kijua was guse Nini na earache nini zaidi ya kutazama manufaa ya karibu bila jasho.
 
Eti Urusi imeshikwa pabaya na vikwazo hiyo Urusi imekua inasurvive na vikwazo haviishi kila leo
Mrusi hajawahi tishiwa nyau😄 na amesha uthibitishia ulimwengu sii mara moja, kumbuka cremia🤔 na ukrein wakijichanganga kwa mgongo was NATO watakija shutka USSR imerudi himaya ya wenyewe., Ukitaka kujua angalia mienendo ya akina Poland, uturuki na wengine undercover🤔
 
Marekani hebu watukome. Sisi huku western Europe hatutaki wakimbizi. Maana wakianzisha vita huko. Itakayoathirika ni Germany na Ufaransa kupokea wakimbizi.
 
Biden ametoa speech ambayo inaonyesha Trump alikuwa anamdekeza sana Putin.

Belarus jirani wa Ukraine na Urusi ndiye rafiki mkubwa Putin na Biden kasema Urusi isipotoa majeshi yake huko atalituma jeshi...
Mkuu nenda kasome tena history pepar II ADVANCE halafu ndio uje na chai zako km sio kahawa iliyokosa ....soma movement ITALIAN UNIFICATION ,SOMA GERMANY UNIFICATION , NA SASA NI ZAMU YA RUSSIA UNIFICATION , na nchi za magaribi wamekuwa na propaganda kama chai yako , but puttin hana propaganda anayetaka aende akaguse RUSSIA HATA PIGANA KATIKA NCHI YA BERLAUS ILA ATAPIGA MIJI YA MAREKANI ndio maana unaona marekan anagwaya sana .....bado haiwezi URUSI , kwa jeshi technolojia na ujuzi wa kisayansi ...si upo ndio maana marekani kakimbilia vikwazo badala ya kuingiza jeshi amezoea kuonea nchi za uarabuni
 
Back
Top Bottom