ugumu wa maisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Hakuna cha jini mahaba wala jini makata, haya majini yote ni ubunifu kutoka akilini mwako

    Tengeneza fikra ya kujiona wewe ndio jua na kila kitu kinakuzunguka wewe Fanya kazi Wekeza kwa uwezo wako Epuka migogoro Tabu na mateso yapo hata ufanye nini LAzima kwa namna yoyotw tamaa zitakuingia, jifunze self control tofauti na hapo utageuka malaya alafu unanisingizi na una jini la ngono
  2. de Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi AI inaleta urahisi au ugumu wa maisha?

    Kuna movie 🎦 nimetoka kucheki inaitwa trancedence (2014)... Kwenye hiyo movie jamaa Wali tumia nano technology ku implant human consciousness kwenye sever za internet kwa kutumia quantum computers.. Issue walobugi ni kuwa ile consciousness ilikuwa ni ya mtu mmoja pekee na kingine haikuwa na...
  3. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba ugumu wa maisha Kwa kiasi kikubwa tunasababisha wenyewe. Fungu la majani ya maboga Tsh300!

    Nipo hapa wife anachambua majani ya maboga Kwa ajiri ya mrenda (nimemuamru aniandalie Leo) Nimemuuliza vipi wanauzaje ka fungu kama haka? Naye kanijibu Tsh300/= nimehesabu majani yapo 8-10 TU Kwa kila fungu. Nikarudisha kumbukumbu Hadi mwaka 2016 nilikuwa naishia Kwa sister. Dada alikuwa na...
  4. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Kitendawili cha ugumu wa maisha Afrika ya Mashariki.

  5. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Mzazi alalamikia wingi wa michango katika shule za serikali, hali inayosababisha ugumu wa Maisha

    Kutoka Kijiwe cha Ubungo, David Julius analalamikia wingi wa michango katika shule za serikali, hali inayosababisha ugumu wa Maisha na kutofautiana na uhalisia wa kipato cha Wananchi.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Utafiti unaonyesha serikali ya CCM chini ya rais Samia imesababisha ugumu wa maisha. Wananchi wamegeuza chapati na maarage ndio chakula kikuu

    Hakuna economic measures ambazo zinawekwa kumsaida mtanzania kupata kipato kibachoweza kumsaidia kupata mlo kamili. Mikakati iliyopo ni kusaidia vijana watengeneza maudhui mitandaoni kuwa ndio sera kuu kuikoa CCM ipendwe. Wabeba Zege, wakulima wa Pamba? walima vitunguu huko vijijini? Leo hii...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ukata wa fedha na ugumu wa maisha watesa viongozi wa CHADEMA Taifa

    Hali ya maisha ya viongozi wa kuu wa chadema taifa ni mbaya, inatia huruma na kusikitisha sana. Ni kama vile wametelekezwa, wanapitia maisha magumu na ya fedhea sana kutokana na ukata wa fedha unaokikumba chama hicho kwa sasa. Ikumbukwe kwamba wengi wa viongozi wa kitaifa wa chadema hawana...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Askari wa Hifadhi ya Taifa, Nyerere tuna UGUMU WA MAISHA na tunadai posho

    Habari; Mimi ni askari wa hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) ninayefanya kazi katika hifadhi ya Taifa Nyerere. Kwa kipindi kilefu askari wa hifadhi tumekuwa tukipitia ugumu wa maisha kutokana na kadhaa kama ifuatavyo I) kutokulipwa staiki zetu Kwa Wakati, lakin pia Malipo ya staiki mbali...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Nyakati zinabadilika. Ugumu wa maisha uko kotekote mjini na vijijini

    Kipindi tuko watoto ukienda kumtembelea mjomba, shangazi, bibi na babu n.k Utachinjiwa jogoo au mbuzi na hapo utaenjoy kama ni kijijini basi maziwa na nyama, samaki na ugali mkubwa Kisha mnashushia wali kwa kwenda mbele, kama ni mjini utakula pilau nyama na soda au juice safi ya matunda. Na...
  10. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa maisha ni miongoni mwa sababu kuu zinazochangia ongezeko la changamoto za afya ya akili

    Ikiwa leo ni Siku ya Afya ya Akili Duniani, Msaikolojia Tiba wa Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe, Arafa Ali Arajiga, amesema ugumu wa maisha ni miongoni mwa sababu kuu zinazochangia ongezeko la changamoto za afya ya akili, hususan kwa watu wenye umri wa kati ya miaka 20 hadi 50...
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salum Mwalimu: Vijana wanashindwa kwenda kupiga kura kwa sababu ya ugumu wa maisha

    Salum Mwalimu: Vijana wanashindwa kwenda kupiga kura kwa sababu ya ugumu wa maisha, huu ni mwaka wetu tujitokeze kupiga kura ya ukombozi." Ameyasema hayo akiwa kwenye mwendelezo wa kampeni za kuomba ridhaa ya kuaminiwa kuwa rais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu mwezi huu. Pia Soma: Salum...
  12. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Vijana; leo nawaibia siri kidogo kuhusu ugumu wa maisha mnaopitia

    Leo siwapi kila kitu ila nitaendelea kutoa kila nikipata muda 1. Zinaa ( kula/ kuliwa mzigo) ni chanzo no1 kinachokwamisha harakati zako. Kubali, kataa, pinga au andamana ila huo ndio ukweli. Zile hisia za kujilaumu unazozipata baada ya kufanya ngono ni Taarifa ya kukuonesha kuwa kuna kitu cha...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa chadema wakumbuka ibada baada ya ukata wa pesa za kujikimu na ugumu wa maisha kuwazonga

    Huenda uchangiaji pesa wa tone tone kwenye kibakuli ukahamia kwenye nyumba za ibada, baada ya uchangiaji wa tone tone kidigitali na kwenye mikutano ya hadhara kukauka na wanachadema kugoma kuchangia matapeli. Je, unadhani mpango huo wa kuomba omba kuchangiwa pesa za kujikimu Ibadani...
  14. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kuwa mwizi, kahaba /Malaya Ni tabia ya mtu wala sio ugumu wa maisha

    Ieleweke hivyo. Kutafuta visingizio eti kwa sababu ya ugumu wa maisha nikajikuta nimekuwa jambazi au Malaya hiyo ni tabia yako tu hata ungekuwa na hela tamaa ya wizi isingekutoka. Mifano ni mingi sana watoto wakike wengi wamezalishwa ovyo kwa tamaa ya kuwa na I phone au simu kali kali siyo...
  15. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa maisha bila kazi na Uchu wa Madaraka; Kisa cha "Endorsement" za Wallace Karia

    Katika mazingira ya sasa ambapo maisha ni magumu mno kwa vijana na wananchi wa kawaida mitaani, hali ya kushikilia madaraka au nafasi yoyote yenye fursa imekuwa ya kawaida. Watu wanapambana si kwa sababu wana uchu pekee, bali pia kwa sababu nchi imetengeneza mazingira ya ‘kila mtu abebe chake’...
  16. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa maisha na mafanikio ya binadamu

    "Ulishawahi kujiuliza kwa nini wengi wanaofanikiwa kimaisha au kuwa viongozi hutokea maisha duni? Ni kwa sababu mateso huwafundisha kusimama bila kuegemea, kuvumilia bila kulalamika, na kutamani mafanikio kuliko usingizi."— Alloyce, P.R.
  17. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa Maisha je, Serikali haifanyi kazi yake au Wananchi wanashindwa kuendana na mifumo ya Kimaendeleo ya Nchi

    Tuweke mjadala mpana zaidi hapa najua kuwa baadhi tunaweza kudokeza kuwa sera,mitazamo,mazingira,utamaduni na mengineyo kuwa ni tatizo,lakini upande wa serikali huwenda ikamuona mwananchi ndiyo tatizo sababu haoni fursa zinazoifungua nchi yake. Hivi kwa mitazami yetu kama wanajamii foroum,ni...
  18. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa maisha unafanya dawa za nguvu za kiume zinauzwa hadharani kama pipi zama hizi

    Vijana hawajali tena maana njaa sasa imewafika pabaya. Zamani vitu kama hivi viliuzwa kwa usiri na ukimya ila sasa hivi vijana wakiangalia tabu hii ukiunganisha na stress walizonazo wanaona acha niropoke tu hata kama nisiporopoka njaa haiwezi badirika. MAPAMBANO YAENDELEE
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa amvaa Wasira, adai Serikali ya CCM imetengeneza ugumu wa maisha

    Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Wakili Deogratias Mahinyila akiwahutubia wananchi wa Mpwapwa mkoani Dodoma amemvaa vikali Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira na kudai kuwa Serikali ya CCM imetengeneza ugumu wa maisha
  20. Akilindogosana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, Ugumu wa Maisha na Ukosefu wa ajira kwa vijana inawezekana kikawa Chanzo cha CCM kushindwa Uchaguzi ujao?

    Asilimia kubwa sana ya Watu wana MAISHA MAGUMU Asilimia kubwa ya vijana hawana AJIRA Lazima CCM watashindwa au kuwa wa mwisho au kushika Mkia Je, CCM watapata kura wapi wakati asilimia kubwa ya watu wana hali ngumu?
Back
Top Bottom