• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

loan

 1. Hakimu Mfawidhi

  Benki ya Dunia yachelewesha tena kuipa Tanzania mkopo wa Dola 500M

  Bank ya Dunia imeahirisha kupiga kura ya kuikopesha Tanzania mkopo wenye masharti nafuu wa Dola za kimarekani milioni 500 sawa na shilingi trillioni 1.3 za kitanzania kwa ajili ya kufadhili elimu. Kama mnakumbuka Benki ya Dunia ilikuwa ipige kura wiki hii kuamua kama iikopeshe Tanzania au la...
 2. Jamii Opportunities

  Loan Officer/ Credit Officer at Wezesha Mzawa Microfinance

  Position: Loan Officer/ Credit Officer We are seeking a motivated, experienced Loan Officer/ Credit Officer to join our growing company. In this position, you will evaluate and approve or deny loan applications. You will act as liaison between financial institutions, individuals, and...
 3. Kijana258

  Msaada: Naomba ufafanuzi wa majibu haya ya rufaa niliyopata kutoka Bodi ya Mikopo

  Habari wana JF. Mimi niliomba mkopo na leo wametoa majibu ya appeal ila status walizoweka wameniambia appeal successfully halafu upande mwingine not successfully. Msaada jamani maana nimepanic.
 4. Goodluckmkali

  Sasa unaweza kopa hadi shilingi milioni moja za kitanzania kupitia simu yako janja ya mkononi

  Sasa unaweza kopa hadi shilingi milioni moja za kitanzania kupitia simu yako janja ya mkononi na kurejesha kidogokidogo mahali popote na wakati wowote. Ili kupata mkopo inabidi uwe na vitu vifuatavyo:- (a)uwe na kitambulisho, eidha cha kupigia kura, cha taifa au leseni ya udereva. (b)laini ya...
Top