Upinzani umezikwa rasmi Tanzania

Ikitotanzila

JF-Expert Member
Sep 22, 2020
1,409
2,263
Ukishaona Serikali inakwambia eti kosoa kwa staha basi upinzani kwishney. Kukosoa siku siku zote hakuwezi kuwa kwa staha huo siyo ukosoaji. Ukosoaji lazimi uwe madhubuti na strong.

Msitegemee tena madai ya katiba mpya maana huko ni kukosoa na kuleta vurugu ambapo Serikali imesema kosoa kwa staha!
 
FB_IMG_16464946443255373.jpg
 
Ukishaona serikali inakwambia eti kosoa kwa staha basi upinzani kwishney. Kukosoa siku siku zote hakuwezi kuw kwa staha huo siyo ukosoaji. Ukosoaji lazim uwe madhubuti na strong.
I so loved Chadema and Mbowe, ila naamini Mbowe kavua vazi la Mapambano, labda kawekeza kwenye uhuru wale.
 
Ukishaona serikali inakwambia eti kosoa kwa staha basi upinzani kwishney. Kukosoa siku siku zote hakuwezi kuw kwa staha huo siyo ukosoaji. Ukosoaji lazim uwe madhubuti na strong.
Mbona hukumsaidia mbowe alivyowekwa Jera ungekaa na wewe week 1 tu! Mwache akatafute maisha yake
 
Ukishaona serikali inakwambia eti kosoa kwa staha basi upinzani kwishney. Kukosoa siku siku zote hakuwezi kuw kwa staha huo siyo ukosoaji. Ukosoaji lazim uwe madhubuti na strong.
You might be right, but not absolute! Ukikosoa kwa kutukana unamwambia unayemkosoa ku+&%#m&*%^%# sasa hio ndiyo kukosoa? Unakosoa kwa facts and evidence. Hapo kuwa strong na usiyumbe!
 
Msitegemee Tena madai yakatiba mpya maana huko Ni kukosoa na kuleta vurugu ambapo serikali imesema kosoa kwa staha
Fanya wewe Sasa ili tukuone
 
Umoja ni nguvu
Sasa Watanzania uoga wetu ndio kiama chetu..

Mtu mmoja anatuonyesha njia ya ukombozi, tunasaliti mapambano..

Hivi Watanzania tunaogopa Polisi Kwa maandamano ya siku Moja.. kesho yake Polisi wataweza huo umati wa watu?

Tunisia waliandamana, na Sasa hivi Kuna Serikali mpya inayojali watu

Hawa viongozi wa upinzani hawafiki hata 100, unataka wapambane na Police, Usalama wa Taifa, Mahakama,Hela?
 
Haki haitaletwa na wakina mbowe, haki ni jukumu lakila mtanzania niujinga kutaka haki zetu ziletwe nakikundi au mtu fulani,kote duniani katiba inayasimamia( haki) utu na usawa ililetwa na wananchi siyo mtu mmoja au kikundi, linapokuja swala lakuandikwa katiba mpya ccm wanakuwa wamoja kupinga kwa nguvu zote ila wananchi hatushtuki tu, tena wanasema wanaodai katiba niwataka madaraka tuache kukebehi wanaojitoa kwa ajili ya watanzania kudai haki.
 
Ukishaona serikali inakwambia eti kosoa kwa staha basi upinzani kwishney. Kukosoa siku siku zote hakuwezi kuw kwa staha huo siyo ukosoaji. Ukosoaji lazim uwe madhubuti na strong.

Msitegemee Tena madai yakatiba mpya maana huko Ni kukosoa na kuleta vurugu ambapo serikali imesema kosoa kwa staha
Kosa kubwa la CCM ni kumruhusu mwendazake kufanya siasa za visasi, mauaji, kuteka, kutesa na kudhalilisha..hizi siasa zilitumika duniani karne ya 17 ama kabla.

Sasa CCM tuna kazi kubwa kurudisha chama chetu kwa wananchi...chama kimejaa damu na roho ya kukataliwa.

Tuna kazi kubwa sana wana CCM, Samia Mh. katuonyesha road map ila sisi baadhi yetu wana CCM tunambishia, na tunaazimia kupeleka hoja ya kutenganisha kofia mbili iwe moja kwenye mkutano mkuu ujano..

Jamani huu ndiyo uungwana na uadiligu kwetu wana CCM?
 
Ukishaona serikali inakwambia eti kosoa kwa staha basi upinzani kwishney. Kukosoa siku siku zote hakuwezi kuw kwa staha huo siyo ukosoaji. Ukosoaji lazim uwe madhubuti na strong.

Msitegemee Tena madai yakatiba mpya maana huko Ni kukosoa na kuleta vurugu ambapo serikali imesema kosoa kwa staha
Kuna watu ujinga NI kipaji Chao ! Kianzishwe chuo cha kuendelea vipaji vya ujinga !
 
You might be right, but not absolute! Ukikosoa kwa kutukana unamwambia unayemkosoa ku+&%#m&*%^%# sasa hio ndiyo kukosoa? Unakosoa kwa facts and evidence. Hapo kuwa strong na usiyumbe!
Kuna watu wa ajabu sana katika nchi hii !! Wapo watu walitaka Mbowe aitishe mkutano wa hadhara jangwani siku hiyo hiyo alipotoka jela ??!!! Haingii akilini !!
 
Ukishaona serikali inakwambia eti kosoa kwa staha basi upinzani kwishney. Kukosoa siku siku zote hakuwezi kuw kwa staha huo siyo ukosoaji. Ukosoaji lazim uwe madhubuti na strong.

Msitegemee Tena madai yakatiba mpya maana huko Ni kukosoa na kuleta vurugu ambapo serikali imesema kosoa kwa staha
Wewe Katiba Unahitaji? If yes. Kwanini uitegemee kwa upinzani? Wewe kama raia role yake ni ipi? Kuwa keyboard warrior?
 
Ukishaona serikali inakwambia eti kosoa kwa staha basi upinzani kwishney. Kukosoa siku siku zote hakuwezi kuw kwa staha huo siyo ukosoaji. Ukosoaji lazim uwe madhubuti na strong.

Msitegemee Tena madai yakatiba mpya maana huko Ni kukosoa na kuleta vurugu ambapo serikali imesema kosoa kwa staha
Kichaa sio lazima ale jalalani
 
Back
Top Bottom