Search results

  1. C

    I Love you too much Lamomy

    Hi ni mara ya pili nimenasa kwake ila bado hajanipa majibu ila nimerudi kwa mara nyingine ili ajue Kama nilimpenda sana. Ila Kama haiwezekani basi
  2. C

    Kwa wale wa physics hapa tunafanyaje?

    Kwenye hiyo roman yenye figure 1
  3. C

    Value ya 0.2 radian ni ngapi kwenye scientific calculator?

    Naomba anayeweza kunisaidia jibu. Hebu angalia swali la kwanza a(I)
  4. C

    Najuta sana kusomea Dar es salaam

    Mji ulinichanganya sana hata mchumba wangu wa kijijini nikamsahau. Sasa najuta maana hamna nilichoambulia na mchumba ashaolewa kijijini
  5. C

    Nampataje huyu mtoto anaitwa Lamomy?

    Kwa huyu nitatoa ng'ombe 100. Na nipo tayari kwenda kujitambulisha kwao. Nipeni mbinu wakuu
  6. C

    Sijaona faida yoyote kuacha pombe, nataka niendelee kunywa

    Wakuu, Kuna muda nilisitisha pombe ila sijaona faida yoyote. Jana nimekunywa kreti nzima ya bia naona niko vizuri. Naona mambo ya kuacha pombe nipige chini.Ndo naanza tena upya hapa, kama unataka nicheki nikutumie hela unywe ka kreti na wewe
  7. C

    Yanga ni kikundi cha wahuni

    Hakuna mpira pale. Jana walinunua mechi. Hawana tofauti na kikundi cha Ngoma.
  8. C

    Huyu mshikaji kamtongoza na kumpata Mwanamke wangu, huku akijua nina mahusino naye

    Kwema wakuu, Najiuliza nimfanyeje huyu jamaa. Anajua kabisa huyu demu alikuwa mchumba wangu na nilikuwa na malengo ya kumuoa lakini kamtongoza na kumpata na demu kanipiga mimi chini. Sasa nawaza huyu mshikaji nimpoteze kabisa.
  9. C

    Kwanini sipati mwanamke wa kuoa na wakati nina pesa nyingi?

    Kwema wakuu, Sijui tatizo itakuwa ni nini mpaka sasa sijapata mwanamke aliyekubali nimuoe. Ishu ya uchumi na pesa niko vizuri sana maana pesa kwetu sio tatizo zipo za kutosha. Nisaidieni wakuu nijue nafanyaje. Najiuliza nikifa pesa zangu atarithi nani?
  10. C

    Jana alinitumia meseji ya usiku mwema sawa moja jioni.

    Huwa tunachati mpaka sawa tano usiku, ila cha kushangaza saa moja jioni naona meseji ya usiku mwema. Sikujibu ila nilimpigia simu haipatikani. Leo sijamtafuta naye hajanitafuta
  11. C

    MaIsha ya dar vs mikoani

    Kwema wakuu, Hasa kwetu sisi vijana ambao bado tunatafuta, we unaona wapi bora kati ya dar es salaam na mikoani. Karibu
  12. C

    Hivi wanawake huwa mandate na mtu mmoja kweli au mko standby

    Huwa siamini kama kina dada mna date na mtu mmoja kwa dhati. Huwa naona kama mmejishikiza mda wowote mnabadili gia na kuwa na mtu mwingine
  13. C

    Kwa wanawake ambao mmewahi kunyanyaswa kingono.

    Kwa wale wanawake ambao mmewahi kunyanyaswa kingono, semeni ilikuwaje. Lengo ni kujaribu kupambana na hii hali katika jamii yetu.
  14. C

    Yuko wapi jf member katoto kazuri

    Huyu member nna muda sijaona comments zake hapa jf. Namkumbuka kwa michango yake hapa jukwaani ila kwa sasa Kawa kimya.
  15. C

    Hakuna mapenzi ya kweli duniani. Wanawake wanaangalia pesa

    Huo ndo ukweli mchungu. Kama huna pesa lazima mke wako agongwe nje.
  16. C

    Ni kwanini wanawake wanapenda wanaume wanaokunywa pombe?

    Wasalaam Hii nimeshuhudia sana. Kama mtu anakunywa pombe ni rahisi kuwapata Wanawake ila kama hunywi ni ngumu sana. Najiuliza sana sababu ni nini.
  17. C

    Nampataje huyu dada wa JF nipate kumuoa?

    Kwema wakuu, Huyu dada ni member wa jamiiforums, namkubali sana nimekuwa nikimtumia ujumbe pm lakini hajibu. Kusema kweli namuelewa sana nataka awe mama watoto ila hataki kujibu pm. Nishamwambia kama ni suala la pesa asiwaze kabisa. Nipeni mbinu nifanyaleje wakuu. Nataja jina lake baadae.
  18. C

    Vijana mkipata wasichana wanaojitambua, oeni

    Wasalaam, Kama kijana ukipata binti anajielewa muoe haraka maana ukimtosa utakuja kujuta baadae. Kwa upande wangu alikuwepo binti alinielewa sana ila mimi nikaona mimi ndio mimi, nikaona nile ujana kwa kuendelea kubadili wasichana. Leo yule msichana namkumbuka sana, maana alishakufa na mpaka...
  19. C

    Mambo ambavyo mwanaume unatakiwa kufanya au kutofanya

    Kwema wakuu Kuna mambo ambavyo mwanaume unatakiwa ufanye na mengine usifanye 1. Mwanaume hutakiwi kurudiana na mwanamke aliyekucheat. 2. Mwanaume hutakiwi kumpa mtu mkono ukiwa umekaa Mengine ongezeeni wakuu ili tuzidi kujengana...
  20. C

    Nimepigana na jamaa niliyemkuta na demu wangu

    Kwema wakuu, Uvumilivu umenishinda imebidi nivurumishe makonde kwa huyu jamaa ambaye anataka kunipora demu. Kesi Iko polisi. Sikuwa na namna maana demu namuelewa sana.
Back
Top Bottom