Ni kwanini wanawake wanapenda wanaume wanaokunywa pombe?

Mlevi akitaka mzigo anakuambia leta ****.... panua vizuri akikutamani anakuambia... akikupenda anakuambia... hajizungushi kama mbaya atasema kama mzuri atasema hana siri kama ana hela ya kukupa atakupa kama hana hafichi atakueleza mpango mzima, mlevi ni papa bila cupi...ya mbuzi iko wazi
 
Wasalaam
Hii nimeshuhudia sana. Kama mtu anakunywa pombe ni rahisi kuwapata Wanawake ila kama hunywi ni ngumu sana. Najiuliza sana sababu ni nini.
Wanapesa sana old man na sio wabahili hawana stress kama wabahili walivyo na mistresss yao... We tafuta pesa then kunywa pombe utaona maajabu yake kifupi ulevi ni kama muujiza
 
Back
Top Bottom