Hakuna mapenzi ya kweli duniani. Wanawake wanaangalia pesa

Pesa na mapenzi ni vitu viwili tofauta na havijawahi kuwa sawa pesa ni miti iliopondwa pondwa ikageuzwa karatasi na karatas lika printiwa na kupigwa machata ikatokea kwa hy pesa chanzo chake mtii na mapenzi ni mtu na mtu ni mwili na mwili ni ndan yake kuna hisia na mtu ndie alietengeneza pesa kwahy unaanza vipi kuipenda pesa nyote nyiny ni mtu najua kama huna iQ KUBWA hapahujanielewa labda niongee ki IQ ndogo ili unielewe maana yake ili uwe huru na uelewe....ngoja nakuja
 
Back
Top Bottom