Nakumbuka miezi kadhaa huko nyumba kuna watu waliiandikia serikali kuhusu madhara ya juice fulani za Azam kwa watumiaji, wakitoa ushahidi na hata kutumia nyaraka za Umoja wa Mataifa kuonyesha kwamba juice hizo hazikufaa kwa matumizi ya binadamu. Jibu la serikali na TBS lilikuwa kwamba hizo...
Kuna watu hawawezi kuamini, lakini huu ndio ukweli
Kuna watu karibu kila siku ya Mungu jioni lazima tupige kamnyweso binafsi me ni ka wine kangu kana 19% V/V. Sababu pekee inayoweza kuwafanya wasinywe ni kuugua tu. Na kwa bahati nzuri watu wa hivyo huwa hawana tabia ya kuugua kiasi cha...
Habari Wadau
Naomba Tujadili suala jambo hili kama title inavyojieleza
Kwa wanaume wengi ,mtu akisimulia KUPOTEZA pesa kwa kamari au kupata stress kwa namna fulani.
Mara nyingi wengi husema BAADA ya kucheza kamari na KUPOTEZA pesa huishia kuangalia video za ngono na kujichua kama NJIA ya...
Mambo vipi wakuu?
Leo nimekuja na shida yangu kubwa ni ulevi uliopindukia wa pombe kali kuna muda hadi narudishwa nyumbani na watu maana nikianza kunywa tu naweza fululiza ata siku mbili na kula unakuta nashindwa,yaani nimejaribu kuacha nimeshindwa kuna kipindi nimewahi pia kuomba ushauri na...
Nimejaribu kuiga lakini nimeshindwa, yaani vile navyokula Kuku Mkavu na Pembeni Mayai ya kuchemsha naanza kukumbuka wanangu na Mke wangu.
Sijajua ni Shetani ananifata data au vipi, hata nililazimisha kula bata bado sipati furaha. Najikuta nabeba kilo zangu za vitoweo napeleka kulia Nyumbani...
Kuna mifano kibao ya watu maarufu na watu wa kawaida ambao maisha yao yaliathiriwa na matumizi ya pombe kupita kiasi.
Wengine walipoteza Afya na maisha yao. Mifano ya watu maarufu kama Proff Jay ambaye aliwahi kuzungumza hadharani kuhusu athari za kiafya alizokutana nazo Kuna marehemu kibonde...
Habari wakuu mi ni kijana wa kiume Miaka 27 sijaoa Bado nafanya biashara (x) .Nimezaliwa kwenye familia ya walokole mi mwenyewe nimeokoka ila sasa Nina changamoto kuu mbili kwenye maisha yangu kununua Malaya na pombe.Naweza nikasema nijitahidi sasa nisifanye nifocus na mambo yangu ya kazi n.k...
Gen Z wanapiga sana shisha mnooo! kuliko kunywa hizo ngano, au tusema wanafanya maandamano kila sehemu:cool:
===========
Kizazi cha Gen Z kinabadilisha kwa njia ya kimya kimya moja ya sekta kubwa zaidi za matumizi duniani. Katika miaka ya karibuni, vijana wamepunguza kwa kiasi kikubwa unywaji wa...
Mitandao ya kijamii imekuwa sehemu ya maisha ya kila siku kwa vijana wengi, lakini pia imegeuka kuwa uwanja wa changamoto zisizo na maana wala faida yoyote kwa jamii.
Hivi karibuni, kijana anayejulikana kwa jina la Tonie Professor ameibua mjadala baada ya kuanza kurekodi na kusambaza video...
Mamlaka ya Kitaifa ya Kampeni dhidi ya Matumizi Mabaya ya Pombe na Dawa za Kulevya (NACADA) inapanga kutekeleza sheria kali zaidi kuhusu uuzaji na unywaji wa pombe na dawa za kulevya.
Sera ya taifa hilo ya kudhibiti matumizi haramu ya pombe, na dawa za kulevya ya mwaka 2025 inapendekeza hatua...
Kama ulikuwa huna habari, kisayansi, pombe ni sumu. Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa Ethanol, kiambato kikuu katika pombe, ni dutu ya sumu kwa mwili wa binadamu. Shirika la Afya Duniani (WHO) through International Agency for Research on Cancer (IARC) linaiainisha pombe (ethanol in alcoholic...
Wakuu mimi sio mnywaji ila nimejihisi kufunuliwa nianze kurahaika na pombe haraka sana.
Kitaani kwetu huwa nawaona wanaokunywa pombe wengi wakionekana kujiamini sana na wengi ni watu wenye furaha na uhuru mwingi sana rohoni lakini kikubwa wanavyopendwa na kuzungukwa wengi. Kwa sasa nmeshatia...
Kama ilivyo kawaida, Ijumaa huwa napenda kwenda kupumzisha akili moja baridi, moja moto kwenye viwanja. Lakini leo hali ilikuwa tofauti kidogo. Rafiki yangu mmoja aliniomba nimpe kampani twende kwenye kiwanja ambacho yeye amekizoea.
Sikuwa na shida, tukasafiri pamoja hadi huko. Tulipofika...
===
Afisa mmoja wa Saudi Arabia alikanusha Jumatatu taarifa za vyombo vya habari zilizodai kuwa ufalme huo, ambao ni mahali palipozaliwa Uislamu, ungeondoa marufuku ya miaka 73 dhidi ya pombe, ambayo imekatazwa kwa Waislamu.
Taarifa hiyo, ambayo iliripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari vya...
Kwa sisi tuliokunywa pombe zaidi ya mara moja inatakiwa tupigwe viboko Hadi tufe. "Enyi mlioamini msiingie katika swala mkiwa mmelewa" .. " hakika pombe, na kamari na kupiga ramli ni miongoni mwa amali au matendo ya sheitani..Hizi ni baadhi ya Aya nilizozinukuu kutoka kwenye kitabu kitukufu Cha...
Hii hali huwa inanitokea tena sio mara moja, yaani nikinywa pombe kesho yake nashinda na huzuni sana, mpaka muda mwingine najihisi kutaka kulia .
Nilihisi ni hangover lakini hali hii sio hangover...kwanini? Au roho yangu haitaki mambo Haya nafanya kumlazimisha Tu.
Wakuu, jana nimetoka kwenye mishe zangu nikapitia bar flani ya jirani kupooza koo kidogo.
Wakapita walokole flani hivi tunafahamiana nikawapungia mkono,wakaniita pembeni,jambo Lao kubwa likawa wananiambia eti niache kunywa pombe kwani unywaji wa pombe ni dhambi kubwa sana.
Nikawaitikia ila...
Biblia moja inatumiwa na Wakristo wengi japo wengine ina vitabu 66, wengine ina zaidi ya vitabu 66.
Wanaotumia vitabu 66 kuna vingine walivipunguza kwa sababu mbalimbali, ila Wakristo wengi Biblia yao haipungui vitabu 66 ambavyo ni common kwa wote.
Je, pombe ni halali au ni haramu (ni dhambi...
Habari,
Kwa Sasa napitia wakati mgumu nina matatizo binafsi nahitaji msaada wa kisaikolojia nitamlipa.
Nipo kKgamboni naomba mnisaidie
Pm kuko wazi.
Msinijibu ovyo mtaendelea kuniumiza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.