meseji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kabwinyola

    JamiiForums Tanzania Zinazodaiwa kuwa Meseji za Polisi wakichat kumteka Heche zavuja

    Anaandika Astra ambaye mara nyingi anasema yuko Oysterbay polis https://x.com/tzastra2014/status/2070933680667971696?s=46&t=wVwOX7Oilw0E0zILKPC7xg Hii ni Hatari
  2. K

    JamiiForums Tanzania Halotel wana shida gani nimekuwa nikituma meseji masaa manne sasa meseji zinaandika not sent na kwa ninao zungumza nao zinakuja zikijurudia?

    Halotel wanashida gani nimekuwa nikituma meseji masaa manne sasa meseji zinaandika not sent na kwa ninao zungumza nao zinakuja zikijurudia sms moja mara mbili had sita, mtando piah umekuw ukisuasua nini shida maana imekuw kero sasa.
  3. Stability

    JamiiForums Tanzania Binti alinisema sana kuwa amenizidi maisha ingawa shuleni nilikuwa kinara leo ameuza kila kitu anapitisha daftari ya kuchangiwa, kila siku meseji

    Maisha ni muvi. Mtaa niliokuwa nimepanga classmate ndio amekuwa amejenga nyumba. Siku wahi kujua alipata wapi pesa za maana hivi ila nachojua ni mrembo sana na ana makebo makubwa. Kipindi napalangana kuielea familia yeye alikuwa anaielea bmw yake alafu gari anaipaki lilipokuwa dirisha la...
  4. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Huyu demu alikua hanijibu meseji Sasa hivi anajibu nikiwa Sina mzuka nae inakuaje hii wazee

    Yaani alikua ananisumbua kinyama Sasa nashangaa Sasa hivi anashobo na Mimi nishamchoka hata kabla sijagonga aisee yaani nashangaa tu sinamzuka nae hizi meseji za Jana sijamjibu mpaka Leo ananiambia piga ila nimekausha kiufupi Sina mzuka nae kabisa Sasa hivi wezangu mlishawahi kukutana na hii...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mossad wamehack simu za wanajeshi na wanausalama wa IRGC na hii ndio meseji wanaowatumia mara kwa mara

    "Silaha zenu hazina thamani dhidi ya mashambulizi yetu ya anga. Mnakufa katika mapigano ambayo tayari mmeyapoteza. Makamanda wenu wamewauza. Wanajificha katika anasa, wakichukua pesa walizoiba, huku nyinyi na familia haziambulii chochote bali makaburi" Castle_Lite mcTobby
  6. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Waarabu wa Chakechake wameshaanza kutuma meseji za Ki-Polisi kwa wananchi

    Inaonekana waarabu wa Zenji wameshapewa mamlaka ya kutuma meseji kwa niaba ya Jeshi la polisi. Sharia ndio nini?
  7. figganigga

    JamiiForums Tanzania GE2025 VODACOM: Kama hutaki tukutumie Meseji za Uchaguzi 2025, Kalalamike TCRA

    Kampuni ya Mawasiliano Tanzania ya Vodacom, iimewataka wananchi ambao hawataki kutumiwa meseji za Uchaguzi, waende kushitaki au kulalamika TCRA. Meseji utake usitake utapokea tu. Huna uhuru wala haki yoyote ya kuamua wala kuchagua kwa mtakwa yako. Pumzika kwa amani Alfonce Mawazo. Muda huu...
  8. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Nyie mnao nitumie meseji ya JITOKEZE NASEMA HIVI, "mnikome"

    Nasema live nawachukia nyinyi mnao jiita JITOKEZE tena nasema mnikome tafadhali sana staki mazoea na nyinyi Mnaniambia nijitokeze KUPIGA kura wakatinajua hata mlo Mmoja sijala Nina siku ya NNE, alafu nikayachague majizi ya fedha za UMMA ?
  9. D

    JamiiForums Tanzania Walimwengu ninechanganyikiwa; Nimezifuma meseji za mpenzi wangu akimuomba jamaa amuoe kwa kutumia vocha yangu!!

    Mbaya zaidi amezituma muda mfupi tu baada ya kumtumia vocha, Kinachouma sana ni kwamba kazituma akiwa ndani ya gari anakuja kwangu baada ya kumtumia nauli (nilidhani atakuwa ananifikiria Mimi kumbe sivyo mbwa huyu)., Inasikitisha amemshawishi jamaa ikiwezekana abadilishe dini hata kwa kuzuga...
  10. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Hivi hii meseji humu JF huwa inatokana na nini

    Unakuta thead ina kichwa cha habari kinachokuvutia uisome,ila ukitaka kuifungua unakutana na "You do not have permission to view this page or perform this action",what the hell?.
  11. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kwa hizi meseji wazazi wa sasa kazi mnayo tena kubwa sana!

    Leo katika pita pita zangu , nilienda msalimia Dada mmoja age 38 ana mtoto wake wa kike umri 14 yupo secondary. Huyu Dada ana shida ya macho kwahiyo maandishi ya kwenye simu hawezi kuyasoma hivyo huwa anamtumia mtoto wake kumuangalizia mambo mawili matatu. Sasa iliingia Meseji akanipa nimsomee...
  12. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Nimepiga simu NIDA makao makuu wananiambia kitambulisho kimeshatoka ila meseji sijapata

    Aisee hii nchi sijui inaongozwa Kwa akili Gani yaani nimepiga simu nikaambiwa kitambulisho cha nida kimetoka ila mijitu haijatuma sms tunaenda kufuata vitambulisho vyetu tunaambiwa mpaka sms wakati Mimi ndio muhusika wa hicho kitambulisho na sura yangu inaonekana sio kwamba sionekani sura na...
  13. Stability

    JamiiForums Tanzania Niko maeneo ya buza getoni kwa shemeji yenu. Sasa mrembo huyu amenipikia haya majitu, sijui ni nini au kunas meseji gani anajaribu kunifikishia?

    Namuuliza, eti yeye ananiambia wewe kulaa bwana
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tuone screenshot ya meseji yoyote kwenye simu yako iliyo kukushangaza, kukufurahisha, kukuhuzunisha, etc

  15. B

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu Tanzania, kwanini mmezuia neno "SEX" kwenye meseji?

    Ukituma meseji yenye neno sex haiendi. Hii maana yake nini? Kwamba ndio mnalinda maadili ama nini? So mnataka tuwe tunaandika meseji kama watoto wa elfu2 sex tuandike sx au xex. Acheni utoto nyie
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mabinti bwana, ukianza nae mahusiano meseji anakujibu neno moja moja, sasa ngoja muanze kukaa nae ndani inakuwa vice versa 😂😂

    KABLA YA KUISHI PAMOJA: WEWE: "unajua baby xxxxxxxxxxxxxxxxxx xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxccc" YEYE: "k" MKIANZA...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania NMB acheni kuwahadaa watumishi wa umma kwa meseji za mikopo hadi milioni 200!!!

    Hivi karibuni watumishi katika idara mbalimbali wamekuwa wakipokea meseji kutoka NMB Benki zikiwataka kukopa hadi milioni 200 huku Benki ikijua kuwa watumishi hao hawakopesheki kutokana na mikopo walaiyo nayo. NMB acheni kuwahadaa watumishi.
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kutuma meseji ya kawaida(normal text) kutoka Airtel Tanzania kwenda United Kingdom(UK)

    Nduguzangu wasalaamu, kuna namba ipo UK, inaanzia na +44, haipo Whatsapp wala telegram wala wapi, nalazimika kutuma meseji kwa normal text tu, naombeni mnisaidie ni kifurushi kipi kutoka laini yangu ya Airtel hapa Tanzania, kitaweza kufanikisha hilo, au ni muda wa maongezi wa kawaida? Au...
  19. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania TBT: Tundu Lissu aelezea Meseji za Ben Saanane za vitisho

  20. J

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Yas na meseji za kero

    Kila muda meseji za ovyo ovyo, Mara Yas majift,mara upuuzi wa marathon,mara sijui ujinga gani, ujinga ujinga tu muda wote!
Back
Top Bottom