Sijaona faida yoyote kuacha pombe, nataka niendelee kunywa

chamaclotus

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
971
1,969
Wakuu,

pombe.jpg

Kuna muda nilisitisha pombe ila sijaona faida yoyote. Jana nimekunywa kreti nzima ya bia naona niko vizuri.

Naona mambo ya kuacha pombe nipige chini.Ndo naanza tena upya hapa, kama unataka nicheki nikutumie hela unywe ka kreti na wewe
 
Ushakuwa mlevi kuacha ni ngumu na ukiacha una kufa ugonjwa wa dalili za alcohol withdraw....so usiache bila kumuona daktari maana wewe ni sokomoko mlevi komba......ukimuona daktar atakupa mbinu na dawa za kuacha bila kuleta madhara kwenye mwili......... ukisema uendelee kunywa sawa tu ila maini moyo figo uwe una pima pima ....kufa wote tunakufa shida kufa kijana au kabla miaka 75.....
 
Wakuu,


Kuna muda nilisitisha pombe ila sijaona faida yoyote. Jana nimekunywa kreti nzima ya bia naona niko vizuri.

Naona mambo ya kuacha pombe nipige chini.
kilevi kikishakolea, huachi, unapunguza au unapumzika tu kidogo 🐒

matumizi ya pombe kupita kiasi ni hatari kwa Afya yako 🐒

kunywa kistaarabu 🐒

haiuzwi kwa under18🐒
 
Back
Top Bottom