chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 971
- 1,969
Hiyo inakuwa ni degrees au ni Nini mkuu ningependa kujua11.4591559
Inqkuwa degree mkuu...halafu estimate hapoHiyo inakuwa ni degrees au ni Nini mkuu ningependa kujua
Sawa mkuu shukrani.Inqkuwa degree mkuu...halafu estimate hapo
PamojaSawa mkuu shukrani.
Diploma ya CertificateHiyo inakuwa ni degrees au ni Nini mkuu ningependa kujua
Unataka kubadili rad kuwa degree au degree kuwa rad?Naomba anayeweza kunisaidia jibu.
Hebu angalia Pepa ya advance math paper 1 ya mwaka 2021 swali la kwanzaUnataka kubadili rad kuwa degree au degree kuwa rad?
Hiyo 0.2 ni nini?
Hebu angalia Pepa ya advance math paper 1 ya mwaka 2021 swali la kwanza
Hapo:-
Nashukuru sana mkuu kwa msaada wako. Hiyo roman(i) ndo inasumbua
Mkuu Kuna jamaa kalipost swali zima hapo juu naomba lipitieInqkuwa degree mkuu...halafu estimate hapo
Jamaa kapost swali hapo juu naomba angalia roman (I)😅😅kijana badili kwenda degree 11.5°
Dah nakushukuru sana kiongoziHapo:-
1. weka hiyo Scientific calculator kwenye Rad na hizo 7dp
2. ingiza hiyo expression
3. Calculate as X=0.2
Uwe makini na Calculating device ndg.Dah nakushukuru sana kiongozi
Kweli mkuu najitahidi kuwa makiniUwe makini na Calculating device ndg.
Mkuu Ebu naomba paper lote
Naona kuna sehemu utakuwa wrong....Hapo:-
1. weka hiyo Scientific calculator kwenye Rad na hizo 7dp
2. ingiza hiyo expression
3. Calculate as X=0.2