Kwanini sipati mwanamke wa kuoa na wakati nina pesa nyingi?

Kwema wakuu,
Sijui tatizo itakuwa ni nini mpaka sasa sijapata mwanamke aliyekubali nimuoe. Ishu ya uchumi na pesa niko vizuri sana maana pesa kwetu sio tatizo zipo za kutosha. Nisaidieni wakuu nijue nafanyaje
Je una swaggar? Gentleman inabidi huwe na swaggar fulani hivi kiasi kwamba nikikaa sehemu peke yangu wataanza kujivuta kuja kwangu! Nikienda sehemu nikampoint manzi fulani alafu nikamtuma mtu amuulize anakunywa/kula nini? Baada ya hapo ataniganda! Swaggar ni muhimu! Sio unakaa kihasarahasara kama umetoka kijijini hata kama mpunga hupo!
 
Sababu una akili ya kumsoma mtu.

Kama pesa umetafuta mwenyewe kwa jasho lako. Maana yake wewe una akili nyingi. Pesa hazipatikani kijinga

Ukiwa na akili utapata shida sana kupata mtu wa kuoa.. maana wenye akili wapo wachache.

High value men ngumu sana kukutana na high value woman.

Kwa ufupi smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni. Wanaopatikana kiurahisi ni wale vilaza wanaofosi ndoa wapate wepesi wa maisha
 
Je una swaggar? Gentleman inabidi huwe na swaggar fulani hivi kiasi kwamba nikikaa sehemu peke yangu wataanza kujivuta kuja kwangu! Nikienda sehemu nikampoint manzi fulani alafu nikamtuma mtu amuulize anakunywa/kula nini? Baada ya hapo ataniganda! Swaggar ni muhimu! Sio unakaa kihasarahasara kama umetoka kijijini hata kama mpunga hupo!
Naishi maisha yangu real kabisa
 
Back
Top Bottom