Najuta sana kusomea Dar es salaam

Mji ulinichanganya sana hata mchumba wangu wa kijijini nikamsahau. Sasa najuta maana hamna nilichoambulia na mchumba ashaolewa kijijini
Mshukuru Mungu kama ameolewa alikuwa sio saizi yako.
Taguta pengine huenda ukapata japokuwa sikuhizi hakuna muoaji wala muolewaji! Wote ni bomb lakulipuka muda wowote.

Angalia kwanza huko mtaani/ Kitna na Hawa wakina mama wanavyoyataka makuu! Unaweza usitoboe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom