Search results

  1. data

    Hivi inawezekana Mke wako akajua mahusiano yako ya nje na akayavumilia, akayaishi ikiwa hutoki relini?

    Yani. Uko On point kila mahala. School fees Family and relatives support Daily chores..domestics upo. On Bed even better.. Yani you are perfect. Kuna haja ya mkeo kusema lolote zaidi ya kumshukuru huyo msaada wa pembeni..!?
  2. data

    ViDEO: Je, Diamond na Zari wamerudiana?

    Anybody say something please. This is the best couple that ever existed in Bongo flavour industry Semaa Mondi nae vipi !! Kwani hiyo saa shing ngapi!? Au anahamisha mjadala wa Saa ya Madame President.!?🤗🤗 Nifah p'se.. say whatever..
  3. data

    Hakuna kitu kizuri Kama kumfikisha mwanamke wako kileleni

    Kilele kinashinda yote Katika ma penzi. Je, umewahi kukutana na experience hii when a woman is on top. Kukubana Sana mbavu zakoo kwa magoti yake. Kukuchomeka vidole vyake masikioni Hadi unavitoa coz anakuumiza kumbe yeye ndo kafika. Kukudondoshea udenda...Yale matemate ya utamuu..kifuani...
  4. data

    Ushauri kwa Serikali juu ya matokeo haya yaliyotoka, FTNA

    Wadau wa Elimu na Wazazi. Mtokeo ya Dara's la nne na kidato Cha pili yametangazwa leo. Napenda kulipongeza Baraza La Mitihani kwani kiukweli kabisa mwaka huu yamkuja matokeo halisi sawa na watoto tunavyowafahamu huku mashuleni na mtaani. Naomba niseme hivi... Kidato Cha pili wanfunzi wengi...
  5. data

    Hivi inawezekana hii nchi saivi ikawa iko kwenye "auto pilot"?

    Yani Haina mwenyewe.. inajiendea tu. Alafu No one is in Control... Yani inawezekanaje... Haya mamvua yote yanayonyesha alafu bado tuambiwe shida ya umeme itaisha March...!? How is it possible, mafuta yameshuka, Nauli zilipanda na ziko palepale!?? Saivi tunasikia Mkurugenzi akiamua tu kubadili...
  6. data

    Wanawake siku hizi mnajipaka nini husoni uso unakuwa kama yai? Au kama unataka kumwagika?

    Hivi wanawake mnajua kwamba mkijipaka hayo mnayojipaka kupitiliza mnapoteza kabisa maana. Yani ni mayai sijui mnajimwagia.. Halafu unaposimama mbele ya watu kuhutubia. Mambo ya msingi kabisa kitaifa na umejipodoa yani uso umegeuka YAI...unafikiri unasikilizwa? Hivi nyie wanawake mbona hamna...
  7. data

    Kuna wakati mwingine sisi wanaume huwa tunahitaji ngono ya kimalaya 'rough sex' kwa wake zetu

    Yani unataka upate kitu cha tofauti toka kwa Mke wako. Ile fujo ya kingono isiyo na aibu. Unamletea na ka beer/ wine ili atoe aibu expecting that in bed she is gona give it all, jamani ile mnafika kwa bed unamshika..anajinyongolota as always, Mvivu, mzembe na ma excuses kibao. The rough sex...
  8. data

    Ewe mwanamke kwanini umpumbaze mumeo? Una faidika nini!?

    Unapomnyang'anya mumeo Sauti, Mamlaka, Hadhi ya ubaba inakusaidia nini!? Na kwanini unafanya hivyo.!? Mbona kijana wa watu hana hatia kabisa. Uhuru unaoutaka wa kujiachia, kuwa na Wanaume wengine,kuushika mshahara wake, kumzalia watoto wasio wake n.k. inakusaida nini!? Kwanini usiachane nae...
  9. data

    Huwezi ukaongoza nchi kwa visasi ukafanikiwa. NEVER!

    Magufuli alikuja hivihivi kwa visasi.. timuatimua wateuliwa wootee wa JK na kuweka wake. Akimnanga JK kila mahala, nchi ilipigwa..watanzania mmeibiwa saanaa..sisi sio masikini... Akaenda. Mama akaja, yaleyale. Vijembe kwa mtangulizi wake, Ametimua woote wa Magufuli na kuweka wake. Mbaya zaidi...
  10. data

    "I love you Maria Keboo keboolaa, keeboo kebolaa"

    Wakuu mwenye huu wimbo naomba anisogezee... Old skulaars...
  11. data

    Kwanini unamuingiza mtu kwenye kundi (group) bila ridhaa yake?

    Ewe admin, Labda mtoto wako anaoa, anagraduate, kipaimara, au la shule huko, hivi kwanini una muadd mtu tu bila taarifa? Yaani nani kakwambia kwamba I'm interested in groups' chat? Halafu nani kawaambieni nyinyi maadmin kwamba ukimuadd mtu then akaleft hataki shirikiana nanyi? Kwani ukishanipa...
  12. data

    Elimu ya Tanzania ni bandia

    Ndugu wananchi, elimu ya Tanzania ni fake. Vijana wanaenda shule kuitika majina, watu wanahitimu wanarudi mtaani wameharibika zaidi. Watizameni form four walorejea huko home/mtaani. Hitimisho Elimu ya Tanzania ni fake.
  13. data

    Mambo mamboo.. shida hizi!

    Huwa ni makusudi kabisa. Uchokozi
  14. data

    Mzee Kikwete huenda ameondoka kwa aibu sana Kenya

    Kenya is an Elite state.. Tanzania has been made an Ignorant state, an illiterate and a shamming state for years by the rulling CCM. JK alienda kuangalia uchaguzi wa Kenya. Akaulizwa swali la kimtego sana akaingia kichwakichwa.. aliuzwa.. Je! Maoni yako ni yepi Kenyata kuandamana na kumsapoti...
  15. data

    Kikosi cha Vipers kina wachezaji wa nje wangapi na wazawa wangapi?

    Na je waliocheza leo wa nje wako wangapi!?? Msaada wadau kuna kitu nataka hitimisha.. maana TZ nafikiri akili zetu nyeusi sanaa... Mods please!
  16. data

    Posho ya kujikimu kwa watumishi wa Umma yaongezwa, Ndugu Wanasemina mnaoendelea na semina mnapaswa kufahamu haki na stahiki zenu

    Ahh nawasalimu, Tuendelee kupambana na bei za mafuta na wafanyakazi tuendelee kusaga meno kwani yalishawahi semwa ' tutasagia meno na tutaishi kama mashetani'. Hicho ni kibwagizo tu ila sio nia yangu. Nia ya uzi huu ni kushea maoni au mawazo yangu kwa zoezi la kitaifa linaloendelea nchi nzima...
  17. data

    Askofu Ammeus Bandekile Mwamakula dhidi ya Kashfa ya Sensa Mbeya

    KASHFA YA KAZI YA SENSA MBEYA: UMMA UNASUBIRI KAULI YA KAMISHNA WA SENSA, UONGOZI WA JUU WA CCM NA SERIKALI. Mantiki (logic) inatutuma tutoe hitimisho hili: kama Katibu wa CCM wa Wilaya ya Mbeya Mjini alimuandikia barua Mtendaji wa Kata ya Ruanda kumtaka awape kazi ya Sensa vijana 10 wa CCM...
  18. data

    Taifa limekuwa la kamari. Kila kona kila mahali kamari. Watu wanaibiwa pesa zao

    Naanza na swali, Je ! Hivi ni sahihi!? Radioni, TV , Simu, Michezoni, Mpira(kubeti) ni kamari tupuu. Hivi ni sawa!!? Na je hii michezo haramu haina age restriction!? Hivi ni nini kinaendelea nchini. Yani hapa nimewasha Radio huyu mtangazaji anavyohimiza watu wacheze hiyo buku ni hatari, yani...
  19. data

    NBS hizi errors haziwi fixed.. rekebisheni haraka..

    Rekebisheni...watu wanataabika.
Back
Top Bottom