Mzee Kikwete huenda ameondoka kwa aibu sana Kenya

data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
26,151
22,726
Kenya is an Elite state..
Tanzania has been made an Ignorant state, an illiterate and a shamming state for years by the rulling CCM.

JK alienda kuangalia uchaguzi wa Kenya. Akaulizwa swali la kimtego sana akaingia kichwakichwa.. aliuzwa.. Je! Maoni yako ni yepi Kenyata kuandamana na kumsapoti Raila ktk kampeni!??

Akalijibu kiCCM akifikiri Kenya kuna majinga... Akasema... Huku akicheka teh tehh...ni sawa tu hata Tanzania tunafanya hivyo.." aisee alichemka sana.

DIAMOND ... Namsifu! Kaenda kupiga hela ndefu kaondoka.

Kikwete na Diamond hawa watu ni very infuential East Africa. Raila na kundi lake walifikiri Wakenya watapumbazwa na maarufu yao.

Wakawakomesha. Mwisho wa siku Ruto akaungwa mkono kutoa adabu. Ccm msifikiri kwamba ujinga mliotujaza wa tanzania mnaweza mkautapanya hovyohovyo kila mahali.

JK next time be careful when you get asked of your opinion on other countries' political affairs.

Diamond endelea kupiga hela ukiitwa tena.
KENYA NI NCHI ILIYOELIMIKA.
 
Umechanganya mambo mengi mno hivyo hata point ya thread imepotea. Mara kina fulani ni watu influential, mara Kikwete akaulizwa hakujua ni mtego... Anyways, Kenya angalau wanafanya mambo kitaalam na wasomi wake wanaonekana kufanya mambo yanayokubalika. Tanzania ni vigumu kujua tofauti kati ya Profesa na darasa la saba.
 
Kenya is an Elite state..
Tanzania has been made an Ignorant state, an illiterate and a shamming state for years by the rulling CCM.
Wewe Ndio Hukuelewa Labda Nikuulize Swali Ikiwa Kenyatta Anaruhusiwa na Katiba Ya Kenya Unadhani Kikwete ana Haki ya Kupinga?

Kwanza Katiba ya Kenya Ipinge Halafu Muulize Swali Uone

Au Ngoja Ajibu Kwa Akili Yako Aseme Si Sahihi Wakati Katiba Inasema Ni Sahihi
We Unaonaje Hapo?

Au Una "NONGWA" NA KIKWETE?
 
Mstaafu Jakaya kaenda kama msimamizi katoa maoni yake Kwa jinsi uchaguzi ulivyofanyika akamaliza na akasepa, umetoka zako na machuki yaliokujaa ukaanzisha na Uzi usio na kichwa wala miguu. Mstaafu ana miaka 72 Sasahivi na mungu hamnyimi kicheko, kadri unavyomchukia ndivyo unavyompa umri mrefu zaidi. Pambana na maisha yako.
 
Kenya is an Elite state..
Tanzania has been made an Ignorant state, an illiterate and a shamming state for years by the rulling CCM.

JK alienda kuangalia uchaguzi wa Kenya. Akaulizwa swali la kimtego sana akaingia kichwakichwa.. aliuzwa.. Je! Maoni yako ni yepi Kenyata kuandamana na kumsapoti Raila ktk kampeni!??

Akalijibu kiCCM akifikiri Kenya kuna majinga... Akasema... Huku akicheka teh tehh...ni sawa tu hata Tanzania tunafanya hivyo.." aisee alichemka sana.

DIAMOND ... Namsifu! Kaenda kupiga hela ndefu kaondoka.

Kikwete na Diamond hawa watu ni very infuential East Africa. Raila na kundi lake walifikiri Wakenya watapumbazwa na maarufu yao.

Wakawakomesha. Mwisho wa siku Ruto akaungwa mkono kutoa adabu. Ccm msifikiri kwamba ujinga mliotujaza wa tanzania mnaweza mkautapanya hovyohovyo kila mahali.

JK next time be careful when you get asked of your opinion on other countries' political affairs.

Diamond endelea kupiga hela ukiitwa tena.
KENYA NI NCHI ILIYOELIMIKA.
Acha kufanya Conclusion ili hali hujui Wizi. Subiri Appeal ipite ndio uandike kwa mbwembwe.
 
Mleta mada hii nadhani huwa anakunywa pombe ya wanzuki na ya maziko saa nane! Reference ya Kenya ndiyo unatuletea hapa? Nenda hamia huko haraka sana! Kuna nini cha kujivunia Kenya hadi unatulinganisha sisi na hao Wakenya! Bull shit!
 
Hakuna mwanaccm mwenye aibu
 
Kikwete alivojibu ivo ww simply kichwani kwako jawabu lako alikua na maana gani? HEBU KWANZA NICHEKE kabla hujajibu
 
Wewe Ndio Hukuelewa Labda Nikuulize Swali Ikiwa Kenyatta Anaruhusiwa na Katiba Ya Kenya Unadhani Kikwete ana Haki ya Kupinga?

Kwanza Katiba ya Kenya Ipinge Halafu Muulize Swali Uone

Au Ngoja Ajibu Kwa Akili Yako Aseme Si Sahihi Wakati Katiba Inasema Ni Sahihi
We Unaonaje Hapo?

Au Una "NONGWA" NA KIKWETE?
Ni NONGWA mkuu, NONGWA!
Mtoa mada ni muwakilishi wa walee 'jamaa zetu' waovu na wasiowapenda wa kipindi hiki, walioamua kugomea katakata maamuzi ya Mwenyezi Mungu na kujimilikisha uzushi na fitina na 'kituturi' chao cha kutupia hayo yote ni kwa JK (na Samia, of course).

Ile kuitwa tu kwa JK kwenda kule Kenya walichukia kwelikweli; walisahau kuwa organs za kimataifa haziendeshwi na mihemko ya kihisia. LAKINI, ile kumaliza tu salama shughuli yake kule wameumia zaidi......walikuwa wanaomba aharibikiwe wapate la kusema. Amefanya vizuri wamepagawa na sasa hara wanachokisema hakieleweki. Mada hii, ni mfano wa wazi wa mtu aliyechanganyikiwa na kugadhabika kwa mafanikio ya asiyempenda. Anajichanganya tu haeleweki anaongea nini......
 
Kenya is an Elite state..
Tanzania has been made an Ignorant state, an illiterate and a shamming state for years by the rulling CCM.

JK alienda kuangalia uchaguzi wa Kenya. Akaulizwa swali la kimtego sana akaingia kichwakichwa.. aliuzwa.. Je! Maoni yako ni yepi Kenyata kuandamana na kumsapoti Raila ktk kampeni!??

Akalijibu kiCCM akifikiri Kenya kuna majinga... Akasema... Huku akicheka teh tehh...ni sawa tu hata Tanzania tunafanya hivyo.." aisee alichemka sana.

DIAMOND ... Namsifu! Kaenda kupiga hela ndefu kaondoka.

Kikwete na Diamond hawa watu ni very infuential East Africa. Raila na kundi lake walifikiri Wakenya watapumbazwa na maarufu yao.

Wakawakomesha. Mwisho wa siku Ruto akaungwa mkono kutoa adabu. Ccm msifikiri kwamba ujinga mliotujaza wa tanzania mnaweza mkautapanya hovyohovyo kila mahali.

JK next time be careful when you get asked of your opinion on other countries' political affairs.

Diamond endelea kupiga hela ukiitwa tena.
KENYA NI NCHI ILIYOELIMIKA.
Acha kulinganisha Kenya na ........according to Trump.
 
Mleta mada hii nadhani huwa anakunywa pombe ya wanzuki na ya maziko saa nane! Reference ya Kenya ndiyo unatuletea hapa? Nenda hamia huko haraka sana! Kuna nini cha kujivunia Kenya hadi unatulinganisha sisi na hao Wakenya! Bull shit!
Acha roho mbaya kenya wako mbali mno.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom