kizuri

Kizuri-Kamikita Station (衣摺加美北駅, Kizuri-Kamikita-eki) is a railway station on the Osaka Higashi Line in Higashiōsaka, Osaka Prefecture, Japan, operated by West Japan Railway Company (JR West). The station was opened on March 17, 2018.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Nimeokota chungu kizuri njia panda kilikuwa na madawa, nataka nikasafishe nitumie kupikia. Ni sawa kweli?

    Habari zenu wana Forum, Leo wakati natembea nimekuta chungu kizuri sana kimefunikwa njia panda. Nilivyokiangalia, ndani kilikuwa na mabaki ya madawa fulani hivi ya kienyeji na bado kiko kwenye hali nzuri sana na hakijavunjika. Kwa jinsi kilivyo kizuri na thabiti, nimeona ni haramu kukiaacha...
  2. bless on

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupangilia chumba au sebule yako bila gharama:

    Watu wengi wanaamini kuwa ili uwe na sebule au chumba kinachovutia kama picha za kwenye mtandao, lazima utumie mabilioni ya fedha kununua samani za gharama. Ukweli ni kwamba, siri ya muonekano wa kisasa na wa kifahari (cozy vibe) ipo kwenye mpangilio, rangi, na vitu vidogo vidogo. Kama unataka...
  3. Internet-Money

    JamiiForums Tanzania Crypto utakuwa ni kiboko kizuri Cha Mabenki

    Leo nimeenda CRDB tawini kwao, kwa sababu ya changamoto ya ku-login kwenye app yao ya SimBanking na kupata card. Nikawapa 5000 cash , ila chakushangaza ni baada ya masaa 3 nikiwa mbali na bank yao wakanikata tena 5000. Pili nilijaribu USSD yao *150*03# bila kuangalia Salio, nikakutwa pia...
  4. Akilindogosana

    JamiiForums Tanzania Wimbi la watu kupeleka fedha kwenye kununua Bonds, Hisa, UTT, hatifungani, fixed deposits, je ni kitu kizuri au kibaya?

    Kwa sasa habari ya mjini ni kununua hisa, bonds, mifuko ya uwekezaji n.k, je ni kitu kizuri au ni kibaya? Ni kitu cha kudumu au ni upepo tu? Je hao watu wanatengeneza hela kweli au ni mamotivesheni spika wanawajaza upepo. Binafsi naamini wale waliokuwa na pesa nyingi enzi hizo wakanunua hisa...
  5. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Vita Kali Dhidi ya Atheists Season 1, Episode 1: Kwanini Kilamtu anajua "hiki ni kibaya au kizuri," bila makubaliano yeyote ?

    Fikiria mtoto wa jirani yako mdogo, hana kosa alafu mtu mkubwa anamtesa kwa starehe zaake tu. Jibu kwa uaminifu hilo ni baya, au ni opinion yako tu? Kama ni opinion yako tu basi mtu anayesema 'kwangu ni sawa sio vibayya' hana makosa. anakua ana opinion tofauti tu. Lakini hakuna mtu hapa...
  6. Beberu Mwitu

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kituo kizuri cha kujiandaa kurudia mtihani wa Kidato cha Sita

    Natumaini kila mmoja wetu hapa yupo na siku nzuri kabisa; Nimekuja kwenu asubuhi hii ili kuomba ushauri wa mambo ya kielimu; hasa kurudia mtihani wa kidato cha sita. Kitaaluma mimi ni mwalimu wa ngazi ya cheti, pia nilisoma kidato cha sita mwaka 2014 mchepuo wa PCM. Sikufanya vema...
  7. The Eric

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kizuri kinauzwa Tabata kwa Swai 45mil...tu

    Hello Ukubwa wa kiwanja ni 500sqm... Bei Tsh.45mil45mil..... Kina document ya hati miliki .
  8. haszu

    JamiiForums Tanzania Kizuri kinajiuza, kibaya chajitembeza, kisicho na haya chalazimisha

    Kuna jambo limenichefua sana, la kulazimishwa kupenda mtu au kumpa sifa. Huwezi lazimisha watu wakupende au wakusifie, haiwezekani. As Human beings, we have a free will, we observe, we think and we draw a conclusion. Forcing someone to draw the same conclusion as "yours", is the same as trying...
  9. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Kufanya Matusi, Ngono ni majina mabaya yaliyopachikwa kwenye kizuri ili kionekane kibaya

    Wahuni sio watuwazuri. Kitendo cha watu wa jinsi 2 tofauti kuungana kimwili ni kitendo chenyeraha isiyo kifani hasa ikichagizwa na miguno. Sasa sijui katokea mtu wapi huko eti anadai kitendo kile kinaitwa kufanya matusi.
  10. proton pump

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kusoma kitabu kipi kizuri hadi hivi ukikikuta unatamani ukinunue?

    Kuna kitabu ukikisoma kutokana na utamu au maudhi yake unavutiwa kukiazima au kukinunua. Yaani huwezi poteza kumbukumbu kwa haraka. Iwe ni hadithi (riwaya, tamthilia,) ushairi. Mf. Hiki kitabu cha Ng'ugi wa Thiong'o "I WILL MARRY WHEN I WANT" Kuna vitabu vingi vizuri kweli kweli Wenye nakala...
  11. Bosspraise

    JamiiForums Tanzania Madale kiwanja kizuri kinauzwa SQM 1200

    Kiwanja kinauzwa madale karibu na shule ya atlas Kina ukubwa wa SQM 1200 Kipo Mita 150 kutoka barabara ya lami Bei ni millions. 150 tu tsh Kipo kwenye neighbourhood nzuri Sana Usikikose tajiri Wasiliana nasi. 0742892195 call and WhatsApp
  12. Bosspraise

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kizuri goba sqm 540

    KIWANJA KINAUZWA – GOBA NJIA NNE 📍 🔹 Mahali: Goba njia ya kuelekea Madale 🔹 Umbali: Km 1 tu kutoka barabara kuu, unaingilia kupitia KB Shell 🔹 Ukubwa: SQM 540 – za kutosha kujenga nyumba ya ndoto yako 🔹 Bei: Milioni 38 tu! ✅ Eneo zuri, tulivu na linalofikika kirahisi ✅ Tayari linafikika kwa...
  13. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Bora Mtu umalize form four na miaka 30 kama yule jamaa ambaye hazeeki kuliko kununua cheti kwakuwa utakuwa na cheti kizuri ila kichwani hamna kitu.

    Wanasiasa Ambao mnavyeti vyamagumashi kiukweli Mnaonekana kuwa hampo vizuri kiutendaji . Mimi nimeona hilo.
  14. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania EBM Scholar (Makulilo) anazungumza Kiingereza kizuri sana

    Mwamba kashachukua uraia. Kiingereza kimenyooka kuzidi wazawa. Asante Kigoma.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Restaurant Chakula kizuri morogoro

    Wakuu naomba kujua ama kuelekezwa Niko Morogoro wapi wanauza Chakula kizuri nakitamu,kama ilivyo migahawa ya wasomali
  16. F

    JamiiForums Tanzania Cheo cha Ubunge ni kizuri sana Tanzania

    Wanajukwaa hiki cheo ni kizuri sana, kikubwa sana au kitamu sana hapa nchini kwetu? Unajiuliza kinachotokea jijini Arusha mnyukano wa mkuu wa mkoa na Mbunge wa sasa unahusishwa na mbio za Ubunge. Yaani mtu hataki kuongoza mkoa anataka majimbo ndani ya mkoa tu.Vile vile Mzee Masatu Wasira...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA ni kielelezo kizuri cha uzalendo

    Mimi siyo CHAWA wa chama chochote lakini nitoe pongezi Kwa viongozi wa CHADEMA kwani kazi Yao ni kazi iliyotukuka. CHADEMA wanaonekana ni wanaharakati uchwara kwasabab ya upeo mdogo wa akili wa WATANZANIA tulio wengi. Familia za viongozi wakubwa wa CHADEMA hazipo NCHINI na hazina njaa lakini...
  18. KOMANDO YOSO

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanza isipate Uwanja mzuri wa mpira?

    KWANINI Mwanza isipatiwe kiwanja cha mpira kizuri kama jiji la Dar, Arusha na Dodoma. 1.Mwanza ni jiji la pili Tanzania kwa watu wengi 2.Mwanza inatoa vipaji vya mpira vingi sanaa kama Aisha masaka,mrisho ngasa na wengine wengi. 3.Mwanza pia ni jiji lenye vivutio vya utalii pia na ni...
  19. H

    JamiiForums Tanzania NETO wanaweza kuwa Chama cha Upinzani kizuri na kushika dola kuliko vilicyopo!!

    Habarini, Ni wazi kabisa kwa wenye akili kujua vyama vya upinzani vilivyopo ni matawi ya ccm na viongozi wake ni mamluki wa ccm wanaojinufaisha na familia zao kwa kujificha kwenye upinzani kama ajira zao Kama kweli tunataka mabadiliko ya kweli ndani ya Tz basi NETO wabadili style yao ya kwenda...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata chumba kizuri cha 30000 kwa Dar es Salaam

    Naombeni mnisaidie sehemu yenye vyumba vya 30000 kwa dar
Back
Top Bottom