Search results

  1. Matope

    Naomba Ufafanuzi wa X Trail mpya kuanzia 2008

    Habari wakuu naona kuna utitili wa hizi xtrail new model mjini hapa Dar tafadhari naomba kujua kama na zenyewe zina changamoto kama ya zile za mwanzo! Nataka kujitwisha Consumption ya mafuta ikoje?
  2. Matope

    Siku yake ya kuzaliwa (Birthday 🎉) Pia ni tarehe na Mwezi ambao Baba yangu mzazi alifariki! Nafanyaje?

    Wakuu hii ni seriously kdg huyu ni mke kbs miaka 10 Sasa lkn inakuwa shida wakati yeye anafurahia kuzaliwa kwako me nakuwa kwenye machungu ya kuomboleza kifa cha baba yangu! Hii imeleta shida mara nyingi ingawaje mara nyingi nachukulia poa lkn nikitamani kufanya ibada ya kumshukuru Mzee katika...
  3. Matope

    Hotel nzuri Ruaha National Park ni ipi?

    Wakuu, Msaada wenu naomba kujua hotel nzuri yenye view Kali, yenye kila kitu naweza nipate namba za Simu jina na maelezo ya ziada nahitaji kwenda kuanzia Dec 15 mpk 20 kabla ya kwenda kuhesabiwa Asante.
  4. Matope

    Tafsiri ya Sticker za Walemavu kwenye vyombo vya Moto ni sawa?

    Wakuu naombeni Tafsiri ya hizi sticker za Walemavu wamekuwepo watu mbeya wakishimamisha magari na kutaka ukate sticker swali je zipo kisheria ilihali barabara zetu mara nyingi tunaona hizi za 50,zebra ,stand na zingine za kawaida tu?
  5. Matope

    UFAFANUZI KUHUSU MILABAHA ILIYOTOLEWA MANENO NI MENGI MH RAIS LIANGALIE NA HILI NI TATIZO

    Habari Mh Rais! Kuhusu kinachoendelea kwenye suala la milabaha kinachoonekana mahesabu take yametengenezwa katika mazingira ya kiupigaji na kizurumati , Kuna wasanii wakubwa sana wa zamani hawapo kwenye list na hiyo milabaha na wengine kupewa pesa kiduchu sana Sasa kwa inavyoonekana ni kama...
  6. Matope

    Bolt, Uber na Taxfly hawa madereva ndo chanzo cha foleni Dar

    Wakubwa tafiti ndogo hawa majamaa, wanaendesha magari kama mabovu vile pole poleeee hata kama barabara nyeupe mnarundika foleni ndefuuuu, kumbe mbele kuna IST sijui raumu upuuzi mtupu. Rekebisheni driving zenu bana mnaboa sana
  7. Matope

    Ubovu wa barabara kipande cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kama unaenda Changanyikeni

    Wajameni kwa kweli nimeona nilete hii hoja hapa angalau inaweza fanyiwa kazi. Kutoka geti la Chuo Kikuu Dar es Salaam kama unaenda Msewe kwenda geti la kutokea kama unaenda Changanyikeni katikati au jirani na School of Education. Kuna mashimo mawili ni kama choo. Gari zinapita upande mmoja tu...
  8. Matope

    Tumekosa watunzi wa Nyimbo kama za Banza Stone RIP Mwalimu

    Kiukweli nyimbo za dansi zimepotea sana yanaimbwa makelele tupu leo nimepata kusikiliza nyimbo za Marehemu Banza Stone hakika zilikuwa nyimbo haswaaaaa za dansi wasanii wa dansi shida nini jamani siku hizi imekuwa mapenzi mapenzi tu nyimbo nzima RIP Banza stone search nyimbo kama Umepotea...
  9. Matope

    CCM kuzindua rasmi kampeni jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma - Twende na Dkt. Florence Samizi

    Haya haya kumekucha Jimbo la Muhambwe Kigoma Kampeni rasmi kuzinduliwa za CCM kesho na Mlezi wa Mkoa Mh Kassim Majaliwa mambo ni moto. Mji wa kibondo umependeza kwa rangi ya kijani kila mtaa. Wana Tot kutoka makao makuu wameshafika wakiwa na Loli kubwaaaa kama treni. Kiufupi kesho ccm...
  10. Matope

    Mamlaka tunaomba zitusaidie, daladala za Mwanza zimezidi kuwekewa ‘Tinted’

    Habari Wakuu naomba kuwakilisha hili suala la usafiri wa abiria hasa tumezoea kusema daladala kwa upande wa mkoa wa Mwanza zimezidi kuwekewa Tinted Yaani asilimia kubwa zimewekewa tena nyeusi hasa Tafadhari hata kama gari zenu lakini mnabeba abiia iweje mchana tu hata kuona nje inakuwa shida...
  11. Matope

    Wataalamu wa lugha tunaomba tafsiri ya neno PISI

    Wakuu samahani naomba kujua tafsiri ya neno PISI linatumiwa sana Mawingu studio na Millard kwa walimbwende wa Mashindano ya Taifa! Na kama haijakaa sawa kutumiwa kwa walimbwende hawa inakuwaje baraza la sanaa wamekaa kimya? Kama Taifa ndio tumefikia kutumia maneno ya mtaani kwenye mambo ya...
  12. Matope

    Joyce Kiria, acha kulaumu wanaume muda wote. Anza sasa kufuatilia matatizo ya wanawake kwenye ndoa zao

    Habari, Nimekuwa nafatilia mada za huyu dada muda wote amekuwa mtu wa kulaumu wanawake kupigwa na waume zao je amewahi jiuliza changamoto ni nini Mpk wapate vipigo? Wakati flani wanawake wanakera na kuudhi sanaaa wapo wanaowanyanyasa sana waume zao walalamike wapi? Wanaume wasioweza kusema...
  13. Matope

    Uchaguzi 2020 Kampeni meneja wa CCM 2020 ni nani? Nayaona makosa ya kiufundi mengi sana

    Habari wakuu, Kampeni meneja wa CCM uchaguzi huu ni nani? Nayaona makosa mengi mno kwenye uchaguzi kipindi hiki. Kwa maeneo waliyofanya kampeni mpaka sasa hivi, watu wameshasahau kilisemwa nini. CCM huwa wana mpangilio wa kampeni zake kwa miaka yote, huko nyuma imekuwa cha kushangaza kuna...
  14. Matope

    Traffic Police, SUMATRA na Magari ya Sauli hapa Kibaha, kulikoni?

    Wakuu, Kuna shida gani na haya mabasi kila mara ni kupigwa mkono weka pembeni nusu saa au lisaa lizima. Kama hamtaki wawe wanasafiri futeni vibali vya magari kama ndio hivyo, ni mambo yasio na maana. Mnachelewesha abiria wasio kuwa na kosa lolote. Asante
  15. Matope

    Msaada Lodge nzuri maeneo ya Makumbusho Dar

    Wakuu msaada naomba kujua lodge nzuri maeneo ya makumbusho isiozidi 25,000 Jina.......... Bei............ Asante
  16. Matope

    Nyimbo zangu bora kabisa za Kikongo niwapo safarini muda wote

    Wakuu yaani hizi ni lazima niwe nazo kwa ajiki ya kunifariji safari hasa nikiwa naambaa na kona za Iyovi yaani nasikia raha kabisa 1.Werasin-Blandine 2.Tshala Muana-Tshibola 3.Felle gola-100 kilos 4.Madilu system - frere edward 5.Fally Ipupa -canne sucre 6.Mbilia belle - Nadina 7.Super Mazembe...
  17. Matope

    Ukurasa wa Clouds Fm ina followers 5.6 Milioni kulikoni comment chini ya 100???

    Wazee napata shida kuamini kama wafuasi wa Clous fm ni halali maana wako 5.6 milioni yaani kifupi ndo ukurasa wenye wafuasi wengi zaidi kwenye tasnia ya habari, Kichekesho sasa ndo page yenye wachangiaji wachache zaidi sasa swali hao watu wote ni halali kweli?? Mbona page za Wasafi fm wafuasi...
  18. Matope

    Tafsiri ya Viapo vya Utii na Maadili mtumishi akitoa siri za Umma nini kitamtokea?

    Wakuu habari, Nimetafakari leo viapo vya utii na maadili kwa mfano ikatokea ukatoa siri za kambi nini kinatokea? Kwa mfano Bwana Paul Makonda akaamua kutumegea nini kipo huko akatoa siri za mabaya yote ya ofisi ya mkoa na aliyoamrishwa kufanya inakuwaje? Kuna Sheria inayombana au kumfunga kabisa?
  19. Matope

    Mbeya: Magari yote ya Matangazo yatakiwa kusajiliwa upya kwanza kabla ya kutangaza chochote

    Kama mnavyotambua ujio wa Mh Lissu Mbeya ni alhamis hii kwa Jiji la Mbeya, Mamlaka imeziamuru gari zote za matangazo kufanya usajili upya kwanza kabla ya kutangaza matangazo na gari yeyote itakayobainika kufanya matangazo bila kuruhusiwa hatua kali zitachukuliwa ikiwemo kufutiwa kibali kabisa...
  20. Matope

    Kabila la Wanyakyusa wanaongoza kwa matatizo ya kifamilia

    Habari wakuu, Nimepata kuishi mikoa kama 8 hivi hapa Tanzania kwa kanda tofauti tofauti Lakini hali imekuwa tofauti upande wa Mbeya wakati fulani nilikuwa nawalaumu marafiki zangu kwa nini hawapendi kuja kwao Kujumuika na ndugu zao katika furaha na majonzi lakini mnisamehe sana marafiki zangu...
Back
Top Bottom