birthday

A birthday is the anniversary of the birth of a person, or figuratively of an institution. Birthdays of people are celebrated in numerous cultures, often with birthday gifts, birthday cards, a birthday party, or a rite of passage.
Many religions celebrate the birth of their founders or religious figures with special holidays (e.g. Christmas, Mawlid, Buddha's Birthday, and Krishna Janmashtami).
There is a distinction between birthday and birthdate: The former, other than February 29, occurs each year (e.g., January 15), while the latter is the exact date a person was born (e.g., January 15, 2001).

View More On Wikipedia.org
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Happy birthday daughter

    My lovely daughter ShesRise_1 ❤ May your birthday be as wonderful, bright, and beautiful as you are. Wishing you a day filled with love, laughter, and everything nice. Hope your special day is full of the sweetest, happiest moments. May your birthday be the start of your most extraordinary new...
  2. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Happy birthday to me ShesRise_1 ♥️

    Heri ya mwaka mpya kwangu. ❤️ Huu ni mwaka mwingine kwenye maisha yangu 🤗 Katika mwaka huu mpya, nazika ya kale yasiyo na manufaa Nikibeba tu mafunzo yaliyonijenga Sitaki tena kubeba maumivu ya yaliyopita wala kujilaumu kwa mambo ambayo tayari yamepita Nataka kuishi sasa, kuchukua hatua sasa...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Happy's birthday To Me🎊

    Leo Tarehe 20 mwezi wa 08 kama Leo Mimi Muyabi colors ndo nimezaliwa Najitakia siku. Njema ya kuzaliwa natimiza miaka kadhaa ndugu zangu, Pia ruksa kusema umezaliwa mwezi na tarehe kama hii HERI YA KUZALIWA Muyabi colors Najitakia heli,baraka neema na Reema, MWENYEZI MUNGU Anipe Afya abariki...
  4. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz Amwaga Vibunda kwenye NayaBill Birthday Party

    Msanii maarufu wa Tanzania, Diamond Platnumz, ameonekana kuvutia hisia za mashabiki baada ya kuonyesha ukarimu mkubwa katika sherehe ya siku ya kuzaliwa ya NayaBill. Katika hafla hiyo, Diamond alionekana akimwaga fedha huku akisherehekea pamoja na wageni wengine, jambo lililozua gumzo na...
  5. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Today is my birthday.... Happy Birthday to me Instinct desire

    Tar 1/08/1986 nilizaliwa Ninafuraha kubwa kusherekea siku yangu ya kuzaliwa huku nikifurahia upendo wa Mungu juu ya maisha yangu. Nichukue nafasi hii kuwashukru moderators wa jukwaa hili kwa kuendelea kunilinda maana wajumbe wengi walipendekeza nipigwe ban 🤣 🤣 Once again "HAPPY BIRTHDAY TO...
  6. Leejay49

    JamiiForums Tanzania Happy birthday to me

    Chapter +1. Still the main character👸 May this new age of mine be good and kind as i am…. 🥂to more many steps ahead 🥳🥳🥳
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni jeuri ya pesa ? Gachuma, tajiri wa Mwanza kampeleka Diamond Tarime kwajili ya Birthday wakati angehitajika harusi ya mtoto wa tajiri wa Katoro

    Tajiri wa Katoro sio mtu wa kupenda unyonge! Hapana kabisa! hana dogo, anapenda kujulikana kwamba ana mkwanja mrefu kama mguu wa twiga! Na usidhani ni maneno tu, tuliona video wiki iliyopita zilizotuteka headlines mitandaoni. Kwenye sendoff ya mtoto wake alianza kwa kum book Ali Kiba na wala...
  8. Mahondaw

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Smart911

    To the love of my life: Thank you for being my friend my best friend my life mate my everything! You’re not just my love sweetheart you’re my destiny my heart a perfect match. No words can explain how much you mean to me Smart . Wishing you a day full of happiness joy and laughter. Happy...
  9. papag

    JamiiForums Tanzania Happy birthday John Wegesa Heche

    MUDA, HAKIMU ASIYEPOKEA RUSHWA Na Emily Mwakilembe Mwanadamu anaweza kujenga ukuta wa uongo, lakini muda huufanya uchakazwe na upepo wa ukweli. Anaweza kununua sifa kwa fedha, lakini hawezi kununua heshima ya historia. Anaweza kuficha makosa kwa kipindi fulani, lakini hawezi kuuzuia muda...
  10. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Happy birthday to me mwachii

    Happy birthday to me Uzee una kuja kwa kasi
  11. Mawardat

    JamiiForums Tanzania Happy birthday shadeeya🥰

    Assalaam Kheri ya siku ya kuzaliwa kwako kipenzi😍, Allah akujaalie kheri,uzima afya njema,uishi sana uone Hadi vitukuu🥰 Happybirthdaymywizzzz🥰
  12. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Mshana Jr 🎂✨

    Siku kama ya leo, mwezi wa sita, mwaka fulani… ndio tulibarikiwa Mganga wa JF😎 kabla ya wokovu aliitwa Mganga wa kilingeni msata hukooo Ila now kama ni Mganga basi ni wa level nyingine… not ulozi tena, but something different, deeper Kila mtu ana jina lake la kumuita, but me I prefer kumuita...
  13. Eronda

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Gen Muhoozi Channels Shs100 Million Birthday Run Proceeds to Child Cancer Foundation

    The donation follows the Gen MK 52nd Birthday Run held on April 26, 2026, at Kololo Independence Grounds under the theme “Run for Charity, Run for Hope,” which attracted thousands of participants. The Chief of Defence Forces and Senior Presidential Advisor in charge of Special Operations...
  14. Smart911

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Mahondaw ❤️

    Leo ni siku ya kipekee sana kwako. Ninayo furaha sana kukutakia kheri ya kuzaliwa. Wewe ni zaidi ya mpenzi kwangu, ni rafiki yangu wa kweli, faraja yangu na sababu ya tabasamu langu kila siku. Nakutakia maisha yenye furaha, afya njema, mafanikio na upendo usioisha. Mungu akupe miaka mingi...
  15. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania PENTECOST birthday of the church, sikukuu ya kuzaliwa kwa ukristo na kanisa

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Leo katika kanisa tunafanya kumbukumbu ya kushuka kwa roho mtakatifu ahadi ya Baba YESU KRISTO alisema kwamba wasitowaacha yatima nitawaleteen msaaidizi na atakapokuja huyo roho atawambia kweli, aliongeza kuwa lazima mimi niondoke ili...
  16. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Maxence Melo🎉🥳

    Happy Birthday Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica 🎉🥳 Kwa niaba ya wana jamvii Tuna kutakia afya njema, furaha, mafanikio na maisha yenye baraka tele Thank you for your great contribution and for keeping the JF community active and connected every day Mungu akuongezee hekima, strength na...
  17. MANAGER DOCTOR WENGER

    JamiiForums Tanzania Niki wa Pili ameshow love kwa Binti yake mzuri

    Niki ameshow love kwa Binti yake zuri, nakum wish happy birthday, wale mnaosema kachapiwa mtafuteni aliemchapia nick wa pili aende akamchukue mwanae. Wabongo bhana kwa kukuza, wape picha maneno wanayo, jamaa YUKO na mwanae na alie kuwa mpenzi wake na maisha yanaendelea watu kimya.
  18. realMamy

    JamiiForums Tanzania Happy birthday to me

    Katika maisha Kuna mengi tunayokutana nayo,mengine tunayashinda na Kuna yanayotushinda. Kwa hiyo Kuna mengi ya kumshukuru Mungu katika haya. Nahitaji miaka mingi zaidi Ili niendelee kupata uzoefu na kujifunza zaidi. Happy birthday to me.
  19. Eronda

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Thousands Join 13th Kabaka Birthday Run for Health and HIV Fight

    As is the tradition since its launch in 2014, thousands of Ugandans yesterday hit the various streets running in commemoration of the 13th edition of Kabaka Ronald Muwenda Mutebi's 71st birthday run. Photo credit: Nile post Sunday’s turnout reflected sustained progress. For the first time in...
  20. realMamy

    JamiiForums Tanzania April Born Babies

    Hello April born babies.🥰 Kila mwaka ikifika mwezi kama huu Huwa nakuwa na furaha sana. Huu ni mwezi wangu wa kuzaliwa na Huwa naufurahia sana. Naendelea kukua na kuwaza mambo makubwa zaidi. Mliozaliwa mwezi mmoja na mimi tuendelee kufurahia na kumshukuru Mungu kwa uzima na afya.
Back
Top Bottom