Kwa nini hotel na lodge huwa hawajali mtu ameingia muda gani? Mtu hata akiingia saa tisa usiku ikifika saa nne asubuhi anatakiwa atoke sawa na aliyeingia saa tano asubuhi.
LODGE NZURI INAUZWA (MIL 170) GOBA NJIA PANDA YA TEGETA "A" KWA NIABA YA BANK
Ina Vyumba Tisa (9) Vyote Self Contained Na Frem Nne (4) Za Biashara
Umiliki: Mkataba Wa Mauziano
Ukubwa Wa Eneo: SQM 810
Imekamata Barabara Kuu Ya Kwenda Tegeta "A"
Umbali: 2 Kilometres Kutoka Goba Road
Maji...
Astaghfirullah!! nipo apa mapokezi kuwaonyesha vyumba na kuwakabidhi wateja funguo kiukweli ni mzozo.
Hivi uko kwenye ndoa mnaishi vipi mbona kina mama fulani na baba fulani wanapishana tu.
Habari za Jumapili.?
Kama heading inavyojieleza hapo, Ninao uzoefu wa kusimamia na kuendesha Airbnb na Hotel (3*) na kwa uzoefu huo ninaweza kusimamia na kuendesha Lodge na Camp Lodges pia.
Nipo Zanzibar lakini ninaweza kuhama na kurudi Bara kama nitapata kazi huko. Kwa sasa nilipokuwa...
Kwa mujibu wa World Bank (2023), ukuaji wa miji Afrika unaongeza uhitaji wa huduma za malazi, huku Tanzania National Bureau of Statistics ikionyesha kuongezeka kwa shughuli za kiuchumi mijini, hali inayochochea safari za kikazi na mahitaji ya lodging.
👉 Hii ina maana moja: Biashara ya lodge sio...
Mgambo wa maadili wa Sharia katika Jimbo la Katsina, Nigeria wakiwa na viboko na marungu wamevamia lodge mojawapo jimboni humo na kuanza kutandika wateja.
Majimbo 12 kati ya 36 ya Nigeria yana utawala wa Sharia wa Kiislamu ambapo huwa na mgambo waitwao Hisba kuhakisha Sheria ya Kiislamu...
Shalom shalom
Nipo kwenye group ambalo members wake asilimia 99 ni makafiri huku kobaz tukiwa wawili tu.
Vilevile huo mkoa asilimia kubwa ni hawa ndugu zetu katika imani asilimia 99
Chakushangaza washaanza memes za kudai kobaz wapunguze oda za Lodge na guests wakati kuhalisia hata kobazi wa...
Eti Hawa wadada ukiwaangalia usoni ni kama wamevimba macho LAKINI pia wengi Huwa wamejaa miwili YAKO shida KUBWA ni kama hawako sawa kisaikolojia YAANI ni kama wameathiriwa Kwa namna flani .
Je wewe ukiwa safari unaona wadada waguest WAKO sawa?
Unakuta mtu kajenga lodge au hotel yake nzuri kabisa, ila sasa kufanya marekebisho au renovation inakuwa mtihani sana.
Kuna mkoa nilienda mwaka 2022, nikafikia lodge X, ilikuwa nzuri kabisa ila vitanda na shower zake zilikuwa zishachoka. Nilirudi tena mwaka 2025 na nikakuta shower na vitanda...
President Museveni's New Year's Message | Nakasero State Lodge, 31 Dec 2025
https://m.youtube.com/watch?v=Fh84WRufRiI
This is the annual presidential message delivered on 31 December 2025, where the Head of State reflects on the year’s progress and outlines priorities for the coming year.
Nimelala lodge ya 25k hapa msamvu ila imebidi tu nikatishe usingizi wangu.
Kuna kunguni balaa.
halafu kingine kuna malaya kila saa wanagonga milango wanaulizia kama unataka huduma ya papuchi.
Nasikia sauti kama vile mtu anapiga makofi paa, paa, paa, paa, paa kwambali nasikia kama sauti ya mtu anagugumia. Inaweza kuwa nini?
CCM imetutoa mbali sana. Asanteni.
Wapendwa wamiliki wa Guest House na Lodge kote nchini,
Kwa heshima zote, nyenyekevu, na kwa maumivu ambayo hayawezi kuelezwa kwa lugha ya kawaida, tunawaomba kwa moyo wa dhati MUONDOE MAGRILL MADIRISHANI!
Hili siyo ombi la kawaida. Huu ni wito wa dharura kutoka kwa sisi watu wa vishughuli vya...
Naomba msaada kwa anayejua ntaweza kupata hotel au lodge ya Bei 15 hapa maeneo ya manzese anitajie Nina uhitaji mkubwa
Logde au hotel inayoanzia chumba 15 , naomba anitajie
Au naomba mnitajie Bei za hotel na lodge manzese
Katika miaka ya hivi karibuni, huduma ya Airbnb imekuwa ikiibuka kwa kasi kubwa nchini Tanzania na duniani kote. Hii ni jukwaa la kidigitali linalowawezesha watu binafsi kukodisha nyumba zao au vyumba kwa wageni kwa muda mfupi, na kuleta ushindani mkubwa kwenye sekta ya malazi ambayo hapo awali...
Naomba msaada kwa anayeijua vizuri Ngerengere, nina wageni wanataka kwenda huko je kunapatikana lodgings nzuri? Bei gani? Je upatikanaji wa chakula upoje? Na umbali gani kutoka stesheni ya sgr?
Natanguliza shukururani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.