Joyce Kiria, acha kulaumu wanaume muda wote. Anza sasa kufuatilia matatizo ya wanawake kwenye ndoa zao

Matope

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
892
679
Habari,

Nimekuwa nafatilia mada za huyu dada muda wote amekuwa mtu wa kulaumu wanawake kupigwa na waume zao je amewahi jiuliza changamoto ni nini Mpk wapate vipigo?

Wakati flani wanawake wanakera na kuudhi sanaaa wapo wanaowanyanyasa sana waume zao walalamike wapi?

Wanaume wasioweza kusema mara zote hukimbilia kupiga kama sehemu ya kupunguza hasira.

Sasa huyu Dada muda wote ni wanaume wamefanya hivi mara wameua mara sijui ikoje sasa fatilia kwa makini yapo matukio kibao mabaya ya kutisha ambayo wanawake wanawafanyia wanaume na hayasemwi popote.

Tuache porojo za kwenye mitandao kwenye Ndoa au mahusiano kila mmoja atimize wajibu wake ipasavyo kwisha.

Asante
 
Wanawake wanapigwa sababu ya midomo yao michafu, hakuna mwanaume yeyeto upenda kupiga tu lzm kuwe na kauli chafu, wengi public speaking ni zero awajui jinsi ya kuongea, kipi waongee busara ya kuongea ni zero sababu ya kurithi malezi mabovu toka kwa mama zao.
 
Joyce Kiria ni mhanga wa ukosefu wa malezi Bora utotoni kwa kuishi kwa kuumizwa ilitakiwa apate uponyaji wa ndani. Mzazi au mzazi ndie uijenga au uibomoa ndoa ya mwanae kupitia aina ya makuzi ampae. Mwanandoa yeyeto ni copy na kupaste Yale aliyoshuhudia utotoni.
 
Wanaume si waongeaji lkn wengi Sana wapo kwenye manyanyaso Sana toka kwa wake zao na manyanyaso makuu ni kauli chafu za dharau za maneno ya sumu toka kwa wake zao.
Wanawake wengi silaha zao ni kauli chafu hasira zao ukimbilia mdomoni kuropoka kauli chafu za kumuumiza mtu.
 
Sijui anataka wanawake wote Tanzania watalikiwe?
Joy sio mtetezi wa wanawake yule ni mvurugaji wa wanawake walio kwenye ndoa

Mke bila kipigo ndoa itaharibika,
yule ana amaudhi dah' mme wake naamini anashukuru kila uchao kulitua lile zigo la mavi. Yule alipaswa afungwe jela maisha asiharibu wake za watu.
 
Hata wanaume wengi chanzo kikuu cha upungufu wa nguvu za kiume chanzo ni wake zao kutoa maneno machafu kwa waume zao Yale maneno makali machafu yasababishwayo na ushetani ( negativity) itokayo kwenye kinywa cha mwanamke ni sumu mbaya uenda kubomoa na kuharibu kabisa moyo wa mwanaume na kuondoa upendo kabisa. Mwanaume akitukanwa akidhalilishwa kwa kauli chafu umuondolea thamani yake thus upelekea wanaume wengi kuzikimbia nyumba zao au kushinda Sana bar,na akishinda bar chance ni kubwa Sana ya kutekwa na wasaka pesa wao uyajua haya kwa kujifanya ni wafariji wa wanaume walioumizwa kwa kuzitafuna pesa zao.
 
Kosa kubwa la wanawake udhani kumpigia kelele mwanaume ndio kumbadilisha, wanaume awapendi kabisa kelele ukitaka ndoa yako idumu wakati mwingine ni bora ujifanye mjinga. Ndoa nyingi zinazodumu ni zile za wanawake wajifanyao wajinga wenye tabia za kupotezea japo ni wanawake wachache wenye kumudu kupotezea wengi ni lzm waongee ili kutoa sumu iliyomo moyoni mwao shida sasa hio sumu ni hatari ubomoa moyo wa mwanaume, kuishi na mwanamke mwenye mdomo ni sawa na kuishi na shetani nyumba moja ujui ni wakati gani atabadilika
 
Kalivyo hovyo unakuta kanasikiliza upande 1 tu hakajui kubalance story ili mume nae aseme yake.

Yule hakufaa kuolewa
Ndoa haitaki wote muwe werevu au kuruhusu kijitu kama kile from nowhere kuja kunusa nusa mnavoishi kwenye ndoa.
Sema wanawake wa siku hizi nao hovyo mno mmeshindwana ndani wazee wenu wapo waite au wajulishe myajadili muondoe tofauti zenu au viongozi wa kidini muwaone kuliko yule kinyamkera alieshindwa yake.
 
Shida sana hii
 
Hata wanaume wengi chanzo kikuu cha upungufu wa nguvu za kiume chanzo ni wake zao kutoa maneno machafu kwa waume zao Yale maneno makali machafu yasababishwayo na ushetani ( negativity) itokayo kwenye kinywa cha mwanamke ni sumu mbaya uenda kubomoa na kuharibu kabisa moyo wa mwanaume na kuondoa upendo kabisa. Mwanaume akitukanwa akidhalilishwa kwa kauli chafu umuondolea thamani yake thus upelekea wanaume wengi kuzikimbia nyumba zao au kushinda Sana bar,na akishinda bar chance ni kubwa Sana ya kutekwa na wasaka pesa wao uyajua haya kwa kujifanya ni wafariji wa wanaume walioumizwa kwa kuzitafuna pesa zao.
Usisingizie wanawake na kukosa kwenu nguvu za kiume, maana wanaume wengi sikuhizi ni suruali hawana mbele Wala nyuma, na wewe Kama mwanaume kwanini ukubali maneno ya kijinga kutoka kwa binadamu mwengine yakuharibu akili yako. Na maneno machafu wanawake hatuachi mpaka wote muwe james delicious
 
Wakati anaanza harakati zake nilidhani ana akili. Ila nilipoona stori zake zimeegemea upande mmoja kama pua yake nikajua ni wale wanawake wanaopenda kuona wanawake wenzao wakifuata nyayo zao za ujinga. Inshort anafanya wanawake na wao wajione wanaume
 
Ana stress za kuachwa...
Maumivu na majeraha ya kuachwa ndio yanayomtesa,halafu usikute yeye ndio alikuwa tatizo ila hataki kulikubali hilo kang'ng'ana na msimamo kuwa mwanaume ndio shida,so she is always full of hatrage againts men,haitamuacha salama kwenye maisha yake,amewabeba wanaume wa dunia nzima kwenye moyo wake kwahiyo anaumia bila kujielewa...
 
Usisingizie wanawake na kukosa kwenu nguvu za kiume, maana wanaume wengi sikuhizi ni suruali hawana mbele Wala nyuma, na wewe Kama mwanaume kwanini ukubali maneno ya kijinga kutoka kwa binadamu mwengine yakuharibu akili yako. Na maneno machafu wanawake hatuachi mpaka wote muwe james delicious
stop non-sense yaani kibailojia men wakiwa na stres pe.n.i.s erection inaweza ikashindikana au ikawa hafifu. Nmekuwa sehemu nyingi za kazi sister wanaume wengi wanateseka kutunza family zao isitoshe mke aje akuongezee stress, kuweni makini wanaume sio watu wakuongea kila linalowakuta kama unataka usilete maneno kama unataka ndoa iwe na furaha be polite to him. Ndomana wako wanaoenjoy sana mapenzi ya michepuko coz haina stress inajua kuhandle mambo(sorry sihamasishi uchepukaj but that is the reality)
 
Back
Top Bottom