Matope
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 892
- 679
Wajameni kwa kweli nimeona nilete hii hoja hapa angalau inaweza fanyiwa kazi. Kutoka geti la Chuo Kikuu Dar es Salaam kama unaenda Msewe kwenda geti la kutokea kama unaenda Changanyikeni katikati au jirani na School of Education.
Kuna mashimo mawili ni kama choo. Gari zinapita upande mmoja tu ikitokea bahati mbaya ukakanyaga haya mashimo ujue unenda kubadilisha tairi na kunyoosha rim.
Tatizo liko wapi wakuu chuo chetu kinazalisha enginers kibao wa barabara kuziba haya mashimo hata kwa udongo tatizo liko wapi?
Miezi miwili nyuma kipande cha mbele cha Changanyikeni kililekebishwa why upande wa Chuo Kikuu barabara iwe na mashimo makubwa kiasi hicho?
Gari kibao zimeshaharibu tairi na zinaendelea kuharibu kila siku.
Msaada wenu kurekebisha hayo maeneo wapeni hata vijana wa engineering wazibe kama field yako wajameni.