CCM kuzindua rasmi kampeni jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma - Twende na Dkt. Florence Samizi

Matope

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
892
679
Haya haya kumekucha Jimbo la Muhambwe Kigoma Kampeni rasmi kuzinduliwa za CCM kesho na Mlezi wa Mkoa Mh Kassim Majaliwa mambo ni moto.

Mji wa kibondo umependeza kwa rangi ya kijani kila mtaa.

Wana Tot kutoka makao makuu wameshafika wakiwa na Loli kubwaaaa kama treni.

Kiufupi kesho ccm wanazindua na kusherehekea ushindi tayari wazee wanasema nyota njema huonekana tangu asubuhi.

Nani kama mama Jimbo la Muhambwe Twende na Mama Dkt Florence Samizi George , OHOOOO huyu mama Mchaga anapiga Kiha kama hana akili nzuri.

Unachukua unaweka Dkt Florence Samizi George.

Kila idara imekaa mahala pale Karibuni sana Muhambwe Mh Muenezi taifa na Naibu katibu Mkuu ccm Taifa.

Vijana tupo tayari kwa Sherehe hiyo Kubwaaa ya uzinduzi ambayo haijawahi kutokea.

JIMBO LA MUHAMBWE
CCM - FLORENCE SAMIZI GEORGE

IMG-20210408-WA0004.jpg
 
Samahani, uchaga wa mgombea wa Jimbo la Muhambwe kwa tiketi ya CCM unatokana na kinasaba gani?.. Nataka kujifunza tu.🤔
 
Samahani, uchaga wa mgombea wa Jimbo la Muhambwe kwa tiketi ya CCM unatokana na kinasaba gani?.. Unataka kujifunza tu.🤔

Kwamba mgombea wa ccm ni mchaga sio mzaliwa wa kibondo

kumbe ni muhaaa haswaaa
 
Haya haya kumekucha Jimbo la Muhambwe Kigoma Kampeni rasmi kuzinduliwa za CCM kesho na Mlezi wa Mkoa Mh Kassim Majaliwa mambo ni moto.

Mji wa kibondo umependeza kwa rangi ya kijani kila mtaa.

Wana Tot kutoka makao makuu wameshafika wakiwa na Loli kubwaaaa kama treni.

Kiufupi kesho ccm wanazindua na kusherehekea ushindi tayari wazee wanasema nyota njema huonekana tangu asubuhi.

Nani kama mama Jimbo la Muhambwe Twende na Mama Dkt Florence Samizi George , OHOOOO huyu mama Mchaga anapiga Kiha kama hana akili nzuri.

Unachukua unaweka Dkt Florence Samizi George.

Kila idara imekaa mahala pale Karibuni sana Muhambwe Mh Muenezi taifa na Naibu katibu Mkuu ccm Taifa.

Vijana tupo tayari kwa Sherehe hiyo Kubwaaa ya uzinduzi ambayo haijawahi kutokea.

JIMBO LA MUHAMBWE
CCM - FLORENCE SAMIZI GEORGE

Apite tu kwa Haki na si kwa Kupitishwa.
 
kwani waha wameisha mpaka wamchague mchaga huku wahani? hebu nenda kule marangu au machame kama unaweza pata kura hata moja ukitoa yako na ya familia!
kila mtu akagombee kwao ili awakilishe watu wao.
 
Back
Top Bottom