Kwako waziri wa TAMISEMI, angalieni na namna ya kuwachuja wanaoomba kazi za ualimu walau hata kwa "Online aptitude test"

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
2,590
4,601
Mhe.Rais wa JMT,
Mhe.Waziri wa TAMISEMI

Nawapongeza kwa jitihada zenu katika kutengeneza na kutoa fursa za ajira nyingi sana katika kada ya ualimu na Afya. Ni ishara njema katika kupunguza tatizo la ajira nchini.

Mhe. Waziri wa TAMISEMI, maoni na mapendekezo haya ni kwa ajili ya ofisi yako ikiwa kama ofisi inayoratibu mchakato wa ajira za ualimu na Afya zilizotangazwa hivi karibuni. Maoni yangu yatasimamia katika mchakato wa kuomba mpaka kupangiwa vituo.

Ni ukweli usiopingika ,usaili au mtihani ni moja ya njia nzuri ya kupata watu walio bora na usaili ni moja ya mchakato muhimu katika ajira.

Hali imekuwa tofauti kwa ajira za TAMISEMI, labda pengine kutokana na wingi wa wanaoomba au kuwapunguzia gharama waombaji ,usaili au mitihani huwa sioni ikifanyika. Je, mna uhakika gani mliyepatia ajira ni bora kuliko mliyemuacha?

Utaratibu huu wa kuchuja na Kuwapatia ajira bila kuwepo usaili au mitihani lazima utaingiwa na dosari za upendeleo na kupatikana kwa watu wasio na sifa na wenye sifa kuachwa.

Ni vema utaratibu ukabadilishwa ili kutoa fursa sawa kwa waombaji na uangaliwe utaratibu wa kuwafanyia walau "ONLINE APTITUDE TEST" waombaji utazamwe. Kila muombaji ashiriki kwenye test kwa walau hata ya somo moja la atakalofundisha.

Pia katika utaratibu huu wa ONLINE APTITUDE TEST sio lazima waombaji labda walioomba kufundisha' biology' wafanye test ya aina moja, ili kuepusha kupeana majibu au udanganyifu wanaweza kupewa test tofauti au kama ni test ya aina moja mpangilo wa maswali ubadilishwe baina ya waombaji.

Tutumie walau njia hii kuondoa upendeleo wa aina yoyote au lawama kwamba nilikosa huku nikiwa Nina sifa.

Matumaini maoni haya yatakuwa ni msaada katika upatikanaji wa watumishi bora na sahihi.

Ahsante.
 
Yaani vigezo vya kuomba kazi viongezwe salary ile ile

Maboresho haya yaanzie kwenye mshahara na mazingira ya ufundishaji na ujifunzaji

Ukiweza hilo ongeza vigezo hata kwenye harusi tunazochangia tumeomba wapunguze maia na marembo mengi waongeze nyama watu wanachangia ety
 
Hii mada kubwa sana kwako, soma tu comment
 
Mhe.Rais wa JMT,
Mhe.Waziri wa TAMISEMI

Nawapongeza kwa jitihada zenu katika kutengeneza na kutoa fursa za ajira nyingi sana katika kada ya ualimu na Afya. Ni ishara njema katika kupunguza tatizo la ajira nchini.

Mhe. Waziri wa TAMISEMI, maoni na mapendekezo haya ni kwa ajili ya ofisi yako ikiwa kama ofisi inayoratibu mchakato wa ajira za ualimu na Afya zilizotangazwa hivi karibuni. Maoni yangu yatasimamia katika mchakato wa kuomba mpaka kupangiwa vituo.

Ni ukweli usiopingika ,usaili au mtihani ni moja ya njia nzuri ya kupata watu walio bora na usaili ni moja ya mchakato muhimu katika ajira.

Hali imekuwa tofauti kwa ajira za TAMISEMI, labda pengine kutokana na wingi wa wanaoomba au kuwapunguzia gharama waombaji ,usaili au mitihani huwa sioni ikifanyika. Je, mna uhakika gani mliyepatia ajira ni bora kuliko mliyemuacha?

Utaratibu huu wa kuchuja na Kuwapatia ajira bila kuwepo usaili au mitihani lazima utaingiwa na dosari za upendeleo na kupatikana kwa watu wasio na sifa na wenye sifa kuachwa.

Ni vema utaratibu ukabadilishwa ili kutoa fursa sawa kwa waombaji na uangaliwe utaratibu wa kuwafanyia walau "ONLINE APTITUDE TEST" waombaji utazamwe. Kila muombaji ashiriki kwenye test kwa walau hata ya somo moja la atakalofundisha.

Pia katika utaratibu huu wa ONLINE APTITUDE TEST sio lazima waombaji labda walioomba kufundisha' biology' wafanye test ya aina moja, ili kuepusha kupeana majibu au udanganyifu wanaweza kupewa test tofauti au kama ni test ya aina moja mpangilo wa maswali ubadilishwe baina ya waombaji.

Tutumie walau njia hii kuondoa upendeleo wa aina yoyote au lawama kwamba nilikosa huku nikiwa Nina sifa.

Matumaini maoni haya yatakuwa ni msaada katika upatikanaji wa watumishi bora na sahihi.

Ahsante.
Wazo zuri sana hili..
 
Duh
I agree with you, but we would be both wrong
 
Ni wazo zuri lakini pia hata wewe huna taarifa toshelezi kuhusu wale wote ambao hawakufanikiwa kuwa ndio wazuri "BIG NO"
Kada hizi zina idadi kubwa ya wahitimu na wengi pia wanahitajika kama utasema utumie mbinu ya mchujo kupitia interview basi rasilimali watu na pesa vitahitajika kwa kiasi kikubwa (Nakubaliana na wengi kuwa jambo jema lina gharama zake) lakini hata huu mfumo wa employment automatic system (sina hakika kama ni jina sahihi) hauna upendeleo anyone who meets criteria related to the job can be selected.
Tuendako huko mfumo wa interview utafaa zaidi ila haina maana kuwa mfumo wa sasa una upendeleo labda kwenye case ya uwezo na kwangu uwezo sio big issue but discipline ndio maana wanapitishwa kwenye mafunzo ili kukumbushiwa teaching methods all in all hakuna baya.
 
Naomba nikuulize swali: Hebu fikiria wewe ni meneja ajira na uamuzi wako ndio wa mwisho kwenye ajira. Ikatokea mnatafuta mfanyakazi mmoja na wakatuma maombi watu 20 ,mkawa shortlist wakabaki 5 bahati mbaya wote 5 wanasifa zinazolingana na uamuzi wako ndio wa mwisho hakutakuwa na usaili wala mtihani, utafanyaje ili kumpata huyo mmoja?
 
Kama umesoma vizuri mfumo ni set -lead criteria & total kwa hiyo Meneja itabidi asubiri candidates relating to criteria & number
 
Kama Wana sifa waajiriwe tu,uasiliwa Nini? Wote walimuwote wamefaulu, wote Wana vigezo.
La msingi waliowahi kupeleka maombi wapare.
 
Wenzentu wako mbele. Omba kazi West African countries. Lazima utakutana na Online Aptitude Test. Na inabadilika kulingana na selection unazokuwa unaweka. Hakuna kuangaliziana wala nini. Uki submit inakupa score na kama uta qualify utaendelea na hatua nyingine. Kama ni disqualify. Cancel Application.
 
Ni kupoteza muda na pesa tu. Mbona zamani walikuwa wanaajiriwa tu bila hata kutuma maombi.
 
Kama Wana sifa waajiriwe tu,uasiliwa Nini? Wote walimuwote wamefaulu, wote Wana vigezo.
La msingi waliowahi kupeleka maombi wapare.
Na
Ni kupoteza muda na pesa tu. Mbona zamani walikuwa wanaajiriwa tu bila hata kutuma maombi.
Hiyo ni zamani sasa ni wakati mwingine. Tazama katika jicho la haki na sio Mimi nimepata. Itafutwe means ya haki kuonekana imetendwa kwa walau kwa Jambo dogo.
 
Back
Top Bottom