Kuna Watumishi wa Wizara ya Maji wanaolalamikia kutokudhibitishwa kazini licha ya kuwa wamekaribia kutimiza miaka miwili tangu waajiriwe.
Watumishi hao wanasema hawaelewi sababu ya kucheleweshewa kuthibitishwa kazini baada ya kutimiza masharti ya kiutumishi yanayohitajika kwa hatua hiyo...
▪︎Mpango wa Gridi ya Taifa ya Maji utaendelezwa ili kupeleka maji kutoka vyanzo vya uhakika kama maziwa na mito makubwa hadi maeneo yenye uhaba mkubwa wa maji. Mradi huu ni muhimu katika kuhakikisha usambazaji wa maji salama nchi nzima.
▪︎Katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na ukame...
Tujiulize na kujihoji . Wizara ya habari utamaduni na michezo ina umuhimu gani kupewa bil 562? Kuwapa motisha wakata viuno na content creators?
Kama Jiji kama Dar ea salaam kuna shida ya maji. Kwa nini hii wizara isipewe pesa nyingi na wizara ya Wakata viuno na wacheza ngoma ikapewa bil 100...
Habari,
Kwa takribani miezi miwili kwa vipindi tofauti tofauti maji ya DAWASA upande wa Mbezi Beach yamekuwa yakitoka na rangu nyeusi au yawe machafu ambapo ukikinga kwenye ndoo au tank baada ya muda kuna mchanga/ udongo “una-Settle” kwa chini kwa chombo ulichokikingia.
Mbali na hayo mimi...
Wakuu, salama?
Kuna hali inashangaza sana.
Mimi ni mkazi wa meneo ya Goba, kabla ya mwezi November mwaka jana (2025) tulikuwa tunapata maji vizuri kabisa na kwa presha kubwa lakini nakumbuka kuelekea mwishoni mwa mwaka jana around hiyo November kuna hali ya upungufu wa maji ilitokea maeneo...
Serikali, Wizara ya Maji shida nini? Kuna mgao bado tena mgao mkali Kimara na viunga vyake, wamewakosa nini wale walipa kodi? Tulimwona Waziri wa maji kaenda China kujifunza vipi haijamsaidia kidogo hata kupunguza huu mgao ?
Pia Soma ~ Ujenzi kituo cha kusukuma maji Golani wafikia asilimia 80...
Sisi wakazi wa Bagamoyo na Kilole, Wilaya ya Korogwe Mjini, tunalalamikia changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji safi na salama katika maeneo yetu.
Kwa muda mrefu sasa kumekuwa hakuna ratiba maalumu ya mgao wa maji hali inayotusababishia usumbufu mkubwa katika maisha ya kila siku. Cha...
Waziri wa Maji, Mhe Jumaa Aweso ameongoza mapokezi ya Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Bi Rose Zakaria Ambrose aliyeteuliwa hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hasaan mapokezi yaliyofanyika mapema leo katika ofisi za DAWASA Mkoani Dar es salaam.
Katika...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameongoza mapokezi ya Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Bi Rose Zakaria Ambrose aliyeteuliwa hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hasaan mapokezi yaliyofanyika mapema leo Februari 9, 2026 katika ofisi za DAWASA Mkoani Dar es...
Spika wa Bunge, Mussa Zungu ameitaka Wizara ya Maji kufuatilia sababu za kuendelea kutolewa bili za maji kwa wakazi wa Dar es Salaam licha ya kuwapo kwa uhaba mkubwa wa maji kwa kipindi kirefu.
Akizungumza leo Jumatano, Januari 28, 2026, bungeni jijini Dodoma, Zungu amesema hali hiyo ni kero...
Wafanyakazi Chombo cha Watoa Huduma ya Maji Ngazi ya Jamii (CBWSOs) kiukweli tunapitia changamoto nyingi sana kwani tunafanya kazi nyingi usiku na mchana kuhakikisha huduma za maji zinakuwepo
Tunaomba tupewe ajira za kudumu, tupewe haki za kiutumishi kama wengine
Miezi mitatu bila mshahara...
Habari Tanzania !
Wizara ya Maji mnaonaje pawepo na "Water Pipeline" nchi zima kwaajili ya Uunganishaji wa maji kwenye Mikoa yote.
Watu waburudike wafurahie nchi yao.
Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi muungane kimajukumu na Wizara ya Maji; maana maji mengi yanapotea sehemu zenye Barabara na...
WIZARA ya Maji imezindua na kukabidhi kisima cha Maji chenye uwezo wa kuzalisha lita 12000 kwa siku ambacho kitahudumia watu 120 wanaoishi katika eneo la Shule ya Msingi ya Buigiri wasioona wilayani Chamwino mkoani Dodoma.
Akizungumza kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, mara baada ya...
Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso leo Alhamisi tarehe 8 Mei 2025, atawasilisha Bajeti ya Mageuzi Sekta ya Maji kwa Mwaka wa Fedha 2025/26 Bungeni jijini Dodoma.
https://www.youtube.com/live/u309s_YjOQc?si=PnE9QNFGBwbC6PIJ
Mafanikio ya Sekta ya Maji yamechochewa na Uongozi wa Rais Samia na...
Serikali kupitia wizara ya Maji imehaidi kutuma timu ya wataalam na mitambo ya kisasakufanya utafiti maalum wa upatikanaji wa maji baridi katika maeneo yenye changamoto ya maji chumvi hususani katika wilaya ya Maswa na Meatu mkoani Simiyu.
Ahadi hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Raslimali za...
Wakuu habari za asubuhi?
Mwaka 2022 nililipa kuunganishiwa maji kwenye nyumba yangu nilikaa zaidi ya miezi 4 bila kuwekewa huduma niliyolipia hadi ikapelekea kununua vifaa vyote vya kuunganishiwa maji isipokuwa mita pekee ndio nilipewa na Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira(TANGA UWASA)...
Wakuu,
Akizungumza leo wakati wa uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji, Rais Samia ameagiza kuanzishwa kwa mfumo wa kidijitali utakaowawezesha watumiaji wa maji kulipia huduma hiyo kulingana na matumizi yao.
Kupitia mfumo huo, wananchi watahitajika kulipia maji kabla ya kuanza kuyatumia kwa kutumia...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Mwajuma Waziri, ametangaza kuwa hali ya upatikanaji wa maji nchini imefikia asilimia 83 vijijini na 91.2 mijini. Ametoa takwimu hizo leo, Machi 22, 2025, katika uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji ya mwaka 2002 Toleo la Mwaka 2025, uliofanyika katika Ukumbi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.