NDEJEMBI HAJARIDHISHWA USIMAMIZI WA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA CHEMBA – DODOMA
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Deo J. Ndejembi (Mb) hajaridhishwa na hali ya usimamizi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa na Ofisi katika halmashauri ya wilaya...
MADARASA YA RAIS SAMIA- JIMBO LA NAMTUMBO
Tunaishukuru Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutatua changamoto ya miundombinu ya Elimu yaani madarasa 102.
Wanafunzi Wameripoti...
Tatizo kubwa linalosumbua nchi yetu ni viongozi kuamini wanahakili nyingi kuliko wasio viongozi, awamu hii ya sita imekuwa ikipeleka fedha nyingi kwenye miradi ya shule sekondari bila kufanya tathmini kuwa je bado kuna uhitaji mkubwa wa vyumba hivyo? Mbaya zaidi fedha inayopelekea huko ni ya...
Wote tunafahamu mwaka jana Rais Samia alipata mkopo wa civid-19 wa takribani Shilingi trilioni 1.5, fedha ambazo zimetumika kujenga vyumba vya madarasa na Hospitali.
Watanzania tukaaminishwa kuwa sasa changamoto ya madarasa na madawati imekuwa historia. Cha kushangaza kumeibuka tena wimbi la...
Mkurugenzi wa Jiji la Dar es salaam Jumanne Shauri amesema katika jiji lake kwa sasa darasa moja wanakaa wanafunzi kati ya 35 hadi 40 ndio maximum. Shauri amesema katika awamu iliyopita darasa moja lilichukua kati ya wanafunzi 70 hadi 80.
Shauri amemshukuru sana Rais Samia kwa uwekezaji mkubwa...
Igweeeeee
Awali nianze kwa kuipongeza serikali ya awamu ya sita chini ya rais Samia Suluhu kwa kuhakikisha changamoto ya madarasa kwa shule zote za sekondari hapa nchi kubaki historia ifikapo tarehe 17 january 2022 siku shule zote zitakapofunguliwa.
Lakini wasi wasi wangu upo upande wa walimu...
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amewataka wakuu wa mikoa yote kuhakikisha ujenzi wa vyumba vya madarasa na miundombinu mingine ya elimu ambayo Serikali Kuu imeipatia fedha inakamilika kabla ya Desemba 15, mwaka huu.
Alitoa agizo hilo jana wilayani Rungwe katika Mkoa wa Mbeya alipofanya ziara ya...
Kwako Mh Rais Samia Suluhu Hassan,
Slaam Mh Rais, NAKUSALIMIA KWA JINA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. Binafsi nikupongeze kwa kazi kubwa sana na ya kipekee sana ya kusukuma mbele gurudumu la maendeleo kwa ajili ya Tanzania na watanzania, Mh Rais binafsi nikupongeze pia kwa kazi nzuri ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.