Kutokana na kuendelea kuharibika kwa miundombinu ya barabara kwa mvua, Waziri wa TAMISEMI aagiza marekebisho kwa fedha za dharura

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,403
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa ameuelekeza Wakala wa barabara Vijijini na Mijini (TARURA) kutumia Bilioni 40 fedha za dharura kukarabati miundombinu ya madaraja na barabara zilizoharibiwa na mvua za Elinino zinazoendelea kunyesha nchini.

Akizungumza katika kikao kazi na TARURA, Waziri Mchengerwa pia amewaelekeza Viongozi wote ngazi ya Mikoa, Wilaya na Halmashauri kusimamia na kufuatilia kwa makini na kutoa taarifa za kazi za ukarabati wa miundombinu hiyo.


Pia soma: DOKEZO - Ubovu wa barabara za mtaa Luis kata ya Mbezi


 
Back
Top Bottom