tozo za miamala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Waziri Mwigulu Nchemba: Rais Samia Suluhu Hassan amepunguza tozo za miamala ya simu ili zisiwaathiri vijana wengi waliojiajiri kwenye huduma za fedha

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Rais Samia Suluhu Hassan amepunguza tozo za miamala ya simu ili zisiwaathiri vijana wengi waliojiajiri kwenye huduma za fedha kwa njia ya simu. Amewataka Watanzania kutochukulia tozo kama uhasama, bali njia ya kuboresha maisha yao. Rais Samia Suluhu...
  2. Nyankurungu2020

    Waziri Mwigulu Nchemba jiuzulu; ulilazimisha wananchi wanyonywe kupitia tozo kubwa

    Uliwadharau Watanzania na ukatoa kauli za kebehi kuwa hii ni sheria ya bunge hivyo kila mtanzania anatakiwa kulipa tozo za kizalendo ili kujenga shule, zahanati na vituo vya afya. Watanzania wakakuona hufai maana ulibuni chanzo cha mapato kisichofaa na kinachowanyonya watanzania wanyonge. Maana...
  3. Emanuel Eckson

    Tozo za miamala zapungwa kwa 40%

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Agosti 31, 2021 ametia saini mabadiliko ya tozo za miamala ambapo serikali imepunguza 30% na makampuni ya simu Kupunguza 10% kutoka kwenye gharama za awali za ufanyaji wa miamala.
  4. beth

    Tozo za Miamala: Serikali yapunguza viwango kwa 30%. Watoa huduma za simu waridhia kupunguza 10%

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesaini marekebisho ya Kanuni za Tozo za Miamala ya kutuma na kutoa Fedha na kupunguza viwango vya tozo kwa 30% Pia Serikali imejadiliana na watoa huduma za simu ambao nao wameridhia kupunguza viwango vya tozo wanazotoza kati ya mtandao na mtandao mwingine kwa...
  5. pakaywatek

    Bunge linamjadili mtu kwa uchungu kuliko kujadili yanavyoumiza wananchi

    Ukifuatilia jinsi wabunge wanvyo mjadili mtu unashindwa kuelewa hawa wawakilishi walitumwa nini huko bungeni. Swala la tozo linaumiza mwananchi Hakuna hata wa kuligusia lakini ukisikia wanavyomjadili Silaa na Gwajima utafikiri ndo hayo waliomba kura wakayajadili huko bungeni.
  6. MUSIGAJI

    Mpaka muda huu, kuna yeyote aliyepata mrejesho wa ya tamko la tozo?

    WanaJF, Kutokana na kauli ya msemaji ww serikali aliyoitoa juzi, Leo ndo siku ya tamko rasmi juu ya mustakabali wa tozo za miamala. Je, mpaka muda huu, kunaueyote ambaye amepata update ya tamko tajwa atujuze?
  7. Erythrocyte

    Maendeleo: Mkoa wa Dodoma wapokea gawio la Tsh mil 500 lililotokana na Tozo, kujenga vituo vya afya

    Hii ni taarifa aliyoitoa Mkuu wa Mkoa huo, Antony Mtaka alipokuwa anawasilisha taarifa ndani ya vikao vya CCM vilivyofanyika mkoani humo.
  8. Z

    Malalamiko ya Tozo za miamala na kodi za majengo kupitia Luku yamepungua, safi sana

    Watanzania sasa wamemuelewa Mama na kukubali kulipa Tozo na kodi kwa moyo mmoja. Katika mitandao malalamiko hayo yamepungua, na leo kulikuwa na Thread moja tu ya kulalamikia kuchelewa kwa muamala kwa ajili ya Tozo na si lalamiko la tozo. Ni suala la utendaji tu Hii imetokana na watanzania...
  9. JF Member

    Uwezo wa raia kununua/kufanya manunuzi umeshuka

    Ni wakati mgumu sana kwa wafanya biashara; purchasing power ya wananchi imeshuka mno. Pesa inaenda moja moja serikalini bila kupitia kwa wafanya biashara Tozo ni laana kali Sana. Wachumi fanyani kazi yenu la sivyo kila kitu itasimama. Hakuna tena kuzungusha hela ni kulipa Tozo tu. Wenye...
  10. Memento

    Rais Samia kwanini unafanya hivi? Ni wapi tumekukosea?

    Mama Samia kwa nini mnafanya hivi, mbona hii sio fair? Ni wapi tumekukosea? Kabla nilitegemea ulipoingia ungepunguza ukali wa maisha Ila ukali ndio unazidi. Mama Samia mbona hakuna aliyekataa kulipa Kodi? Ndani ya miezi minne kufanya haya mabadiliko makubwa hivi huoni ni kama unatutesa sana...
  11. Lord denning

    Hadi sasa Rais Samia ndiye bora zaidi, anafanya kila kitu kwa ustadi mkubwa

    Haongei sana bali Anatekeleza sana! Hana papara Ila anafanya kila kitu Kwa ustadi mkubwa. Sio mtu wa kupanic Ila anaamini kwenye anachofanya Amewekeza sana kwenye kupanga mikakati kabambe na kuhakikisha inatekelezwa ipasavyo Kwa utekelezaji madhubuti wa Serikali Nimefuatilia katika hili suala...
  12. U

    TAMISEMI yatoa orodha ya vituo vya afya 90 vitakavyojengwa kwa tozo za miamala

    Awamu ya kwanza ya Vituo vya Afya 90 kati ya 207 katika Tarafa zisizo na Vituo vya Afya, ambazo zimepokea fedha Mil. 250 kwa ajili ya ujenzi wa Jengo la kuhudumia wagonjwa wa nje (OPD), Jengo la Maabara na Kichomea Taka hii hapa.
  13. chiembe

    China, Marekani na Ulaya walitozana sana kufikia hapo. Maendeleo ni gharama, serikali isigeuke nyuma!

    Watanzania waelewe, serikali haina vyanzo vingine vya mapato zaidi ya kodi ya Watanzania. Watanzania tunataka maendeleo,barabara nzuri,reli,umeme, shule,hospitali, miji iliyopangika,maji, serikali yenye ufanisi,ulinzi na usalama,lakini ili upate vitu hivyo lazima ugharamikie kwa tozo na kodi...
  14. BilioneaPATIGOO

    Watanzania, tujiulize yale makato/tozo yalikwenda wapi

    Ni kilio kilio cha tozo, makato, kila mahali. Ila watanzania wenzangu tukiendelea kusikilizia maumivu haya makali kabisa, embu kwa pamoja tujiulize maswali tafakuri yafuatayo Je, makato na tozi za zamani katika miamala ya simu, vilienda wapi? Je, tulishawahi kufanyiwa press conference ya...
  15. mshale21

    Askofu Bagonza ahoji maswali 8 tozo za simu, majengo

    ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe Mkoa wa Kagera, Dk. Benson Bagonza ametoji maswali nane juu ya tozo za miamala ya simu na majengo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kagera … (endelea). Tangu kuanza kwa tozo hizo, zimeibua mjadala kwa wananchi huku Serikali...
  16. M

    Huenda Rais Samia anawaamini wasaidizi wake walioshiba wanapowasemea wenye njaa

    Nachukua fulsa hii kumpongeza mama kwa kazi kubwa anazo zifanya kwa taifa hili tena ukizingatia amepokea kijiti kama mpira wa krosi ya kubabatizwa, lakini anajaribu kuutuliza mpira utulie hili aweze kuucheza. Nikirudi katika mada Hili lilionekana zaidi ile siku alipokuwa akihojiwa na Idhaa ya...
  17. Mmawia

    Watanzania tuamke, Bunge la chama kimoja limezaa tozo

    Watanzania muda tulio nao kwa sasa na matatizo tunayo pambana nayo liwe fundisho. Mwaka 2020 October tukubali kuwa tulichezewa sana na tukakubali na matokeo yake ndiyo haya sasa. Bunge lililopatikana ni matokeo ya sisi kukubali kudanganywa kwa maneno mazuri lakini sasa tunaonja shubiri...
  18. Lord OSAGYEFO

    Tanzania nchi yenye ardhi nzuri kwa kilimo na makazi lakini wananchi wake ni masikini

    Tanzania nchi yenye kila aina ya raslimali nchi yenye nguvu kazi ya kutosha watu mil.60 Nchi yenye ardhi nzuri kwa kilimo na makazi lakini wananchi wake ni masikini wa kutupwa wamerundikiwa furushi la tozo kila mwananchi kalibeba furushi Ili tuyaepuke hayo maisha ni muhimu katiba mpya...
  19. bryan2

    Kodi na Tozo zinazowaumiza Watanzania: Tumekosea wapi ili tutubu?

    Ndugu zangu Watanzania tumekosea wapi mbona siku hadi siku mambo yanazidi kuwa tight sana mtaani huku. No pesa ukitumia ka hela kako kidogo unakutana na makato ya ajabu,ukiweka Vocha usalimie ndugu & jamaa napo tabu. Day after day wanakuja na mbinu mpya sio kwa ajili ya kumpa ahueni Mtanzania...
Back
Top Bottom