Dereva akimchana live Chalamila
MY TAKE
Chalamila kaagiza Malori yote yanayo egesha kando ya barabara yakamatwe.
Lakini ICD zote zipo kando ya barabara na hazina Parking.
Maseva 50 wanaweza kukutana wote kwenye ICD ili washshe au wapakie. Unategemea nini kitatokea.
Mfano MOFAT saaa hivi...
Ayoub rioba afrika imeshakua na madikteta wengi sana ila cha ajabu wameshindwa kuondoa umaskini na kutengeneza taasisi imara kwenye nchi zao
Sasa unavyosema chanzo cha matatizo ya afrika ni madikteta ni wazi hujasoma historia ya bara la afrika
UKIWA CHANYA MUNGU ANAKUONDOLEA WATU HASI KWENYE MAISHA YAKO
Anza kubadilisha maisha yako, kuwa mtu chanya, Mtu chanya ni mtu ambaye anaishi maisha yenye kuona mambo kwa uzuri.
Mtu chanya ni mtu anayependa mafanikio ya wengine, ni mtu ambaye atoi maneno ya kukatisha tamaa wengine, ashiriki...
Kama uchaguzi umekwisha ondoa hii mipicha mitaani, please!
Watu walizichoma walizoweza, hawataki kuziona
Si kila kitu lazima ushindane na matakwa ya wananchi
Busara ya kawaida kabisa inakuelekeza upumzike sasa...uachie kijiti mtu mwingine nae aendeleze pale ulipotufikisha..huko ndiko kustaarabika.
Kwann usubiri kuondolewa kwa kuaibika kama wazee wenzio akina kasongo?
Kwanini usimuige Leodigar Tenga aliyeondoka hapo Tff kwa heshima.
Au kwasab unajua...
Ngono na watu wengi husababisha mikosi na kutofanikiwa kwa mambo yako. Upo uwezekano kwamba, unaanzisha mambo mbalimbali lakini hayafanikiwi.
Katika utaalamu, kila mtu unayefanya naye ngono huenda akaja na baraka au akaja na nuksi. Kwa wale waliotulia katika ndoa zao, huenda ngono ikawa chanzo...
Nchi hii inashindwa kufika mahali ilipotakiwa kufika kwa sababu ya kuongozwa na watu wasiojitambua, wasiojua wajibu wao wala mipaka ya mamlaka yao.
Kuna habari zinazunguka mitandaoni kuwa eti DC wa Nzega ameamuru mkuu wa Chuo Cha Madini Nzega awekwe ndani kwa sababu alishindwa kumjibu mkuu wa...
Jinsi ya kufuta Programu Usizotumia au zilizopitwa na wakati
1. Programu Endeshi Android:
Fungua Google Play Store > Upande wa Juu Kulia, Bofya alama ya ‘Profile’ > Kisha Bofya ‘Manage App & Devices > Bofya ‘Manage’ > Changua ‘App’ unayotaka kuondoa > Bofya ‘Unistall’
2. Programu Endeshi - iOS...
Huu ni ukweli usio pingika Hayati baba wa Taifa la Tanzania Mwl Nyerere alikuwa na ndoto japo ndoto hiyo aliiweka katika vipindi tofauti tofauti.
Aliwaza kutawala Maisha ila akasoma alama za nyakati akaona itakuwa makosa makubwa sana na uwenda alikumbuka Habari za rafiki yake Kambona na wengine...
Unaweza kuwa na lundo la videos ambazo huwezi kuja kuziangalia tena, huwa ni sawa na makorokoro,
Pc ama hata simu yako ni sawa na chumba, ni muhimu iwe na nafasi ya kupumua, toa makorokoro hayo chini ya uvungu ili kuwe na sehemu ya kupumua na kuwe na urahisi wa kuperuzi
karibu kusoma post za...
Katika pitiapitia yangu mitandaoni nimeona mapendekezo ya maboresho ya mtaala wa elimu.
Tumekuwa tukilialia kuhusu oooh, mfumo wa elimu/mtaala unatufundisha kukariri sana. Mara haufundishi watu kujiajiri. Mambo mengi tu. Je katika mtaala mpya tumeweka jambo lipi la kuwafundisha hawa watoto...
Mara kadhaa nimeona hili tatizo watu wakiliibua na hata humu ni juzi juzi kuna mtu kaanzisha uzi, nimeona ni vema nilete experience yangu.
Mimi hali ishawahi kunipata, dah we acha tu, nikafikiria mbali kwamba natembelewa na wachawi, nilipaniki sanaaaaa!! nilianza kulala saa tisa au kumi natumia...
Mheshimiwa Rais.
Nakuandikia waraka maalum juu ya hali ya mfanyakazi, hususan anayestaafu.
Nataka nikueleze kuwa, hiki kikotowo ulichokiweka hakina masilahi kwa mfanyakazi anayestaafu. Kiufupi ni dhuluma ya wazi.
Hali ya maisha imekuwa ngumu, gharama za maisha zinazidi kupanda. Kiufupi , hii...
Moja ya njia unayotumiwa na waalifu Duniani Kwa sasa nikuzichungulia fedha zinazotolewa na serikali au taasisi bila kulipwa kwenye akaunti husika. Kwa nchi nyingi za Afrika malipo ya fedha nyingi za kuendesha Ofisi yamewekwa kwenye safari na vikao; wakati mwingine mataifa corrupt ulazimisha hata...
OPERESHENI ONDOA WAVAMIZI KATIKA BONDE LA WAMI/RUVU imeanza ambapo Wafugaji wanaodaiwa kuwa ni wavamizi wamekutwa na ng’ombe zaidi ya 400 kwa siku ya leo tarehe 14-10-2022.
Wameondolewa katika Kijiji cha MSONGE ambapo waliweka KAMBI, pembezoni mwa Mto Ruvu. Askari kadhaa wakiwa na silaha za...
Hivi kweli Afrika ni masikini? Na kama ni kweli Afrika ni masikini kwanini Afrika ni masikini? Hili ni swali ambalo waafrika wengi na watanzania wamekuwa wakijiuliza, lakini je kwanza tujiulize ni kweli Afrika ni masikini?
Licha ya bara la Afrika kuwa na utajiri mwingi wa rasilimali na amali...
Ni sikitiko na masikitiko makubwa askari ambaye ana nyota moja yupo hapo barabarani akiwa amevalia kiraia na trafiki mmoja aliyevalia sare za kitrafiki, wanakamata magari yote yanayotoka Marangu Mwika, pamoja njia panda. Trafiki anasimamisha gari, hakagui gari, anachukua namba na leseni za...
Ni ushauri wangu wa Mwisho kukupa hutaki unaacha!
Mmekopa kushusha bei ya mafuta Ili bidhaa zishuke lakini wapi!
Mmemnanga marehemu Sana lakini wapi,
Mmetoa ahadi za uongo Napo pia wapi!!bila bila!!Leo nimeulizia gunia la mahindi,bati,simenti na sukari nikasema Hadi januari lazima mchutame...
Nimependelea kuandika mada hii kutokana na baadhi yetu kuteswa na mapenzi kiasi kwamba tunasahau kuna mambo mengi muhimu Sana ya kufanya katika hii dunia. Mume wako au mke wako kutopokea Simu si tatizo,au kutopatikana hewani Kwa kipindi flani si tatizo Bali tatizo ni mtazamo wako juu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.