Yapo maeneo mabadiliko ya mtaala mpya ni kukurupuka kulekule alikofanya makosa Mungai

Annie X6

JF-Expert Member
Mar 16, 2023
405
751
Mapendekezo yamesambaa kila kona. Ni mpuuz pekee atasapoti kufuta somo la uraia na general studies

Kuona mwalimu mwenye degree anajua kuliko mwenye diploma katika level za sekondari ni mjinga pekee atakuelewa. Awali sheria ilimtaka mwenye degree afundishe 3 to 4, diploma 1 na 2 ilikuwa bora.

Elimu ya Tanzania haitakuja kuendelea kutokana na kugeuzwageuzwa.
 
Nadhani wakati wa kupitisha sera mpya ya elimu ilitangulia maoni ya wadau wa elimu, pengine ilionekana hii ni bora kuliko ulilowasilisha hapa, lakini pia sera hii ina muda bado kutumika mpaka 2027.
 
Kuna watu wanai push kwa nguvu sana hata sielewi wana matarajio yep.

Kikubwa Mh Rais Samia asikubali mambo ya kulazimisha, ataingiza nchi sehemu mbya. Wengine wanatumiwa na viongozi.

Kwa mfano ya mambo ya nchi za nnje hii inaypigiwa debe ni hatari sNa kuingiza nchi matatizo. Huku wanabadili elimu huku Sera za nje.

Tutaingia vitani.

Elimu isibadilishwe badilishwe. Kinachotakiwa wawekeze kwenye elimu 50 percent darasani 50 percent vitendo

Nimeshangaa sana kwenye elimu hakuna kilimo maajabu makubw wamejaza mambo masomo ya dini yaan ndio kuiingiza nchi matatizo

Embi angalia hizi tahasusi

IMG-20240101-WA0030.jpg

Yaani kombi ya kilimo imewekwa kama dawa.
IMG-20240101-WA0029.jpg
IMG-20240101-WA0031.jpg

IMG-20240101-WA0016.jpg

Yaani nchi ina maeneo ya kilimo hakuna msisitizo kwa a
Shule za kilimo

Maajabu Haya hapa ndio utaona kuna watu wanaua nchi hii
 
mzee kasome, uzuri degree anapaswa ajikubali kuliko wewe mwl wa diploma. Nenda kasome mzee acha kulalamika.
 
Kuna watu wanai push kwa nguvu sana hata sielewi wana matarajio yep.

Kikubwa Mh Rais Samia asikubali mambo ya kulazimisha, ataingiza nchi sehemu mbya. Wengine wanatumiwa na viongozi.

Kwa mfano ya mambo ya nchi za nnje hii inaypigiwa debe ni hatari sNa kuingiza nchi matatizo. Huku wanabadili elimu huku Sera za nje.

Tutaingia vitani.

Elimu isibadilishwe badilishwe. Kinachotakiwa wawekeze kwenye elimu 50 percent darasani 50 percent vitendo

Nimeshangaa sana kwenye elimu hakuna kilimo maajabu makubw wamejaza mambo masomo ya dini yaan ndio kuiingiza nchi matatizo

Embi angalia hizi tahasusi

View attachment 2866901

Yaani kombi ya kilimo imewekwa kama dawa.
View attachment 2866898View attachment 2866899
View attachment 2866900
Yaani nchi ina maeneo ya kilimo hakuna msisitizo kwa a
Shule za kilimo

Maajabu Haya hapa ndio utaona kuna watu wanaua nchi hii
Majina ya combs za Biashara yanachekesha balaa.
Khaaaah
 
Nadhani wakati wa kupitisha sera mpya ya elimu ilitangulia maoni ya wadau wa elimu, pengine ilionekana hii ni bora kuliko ulilowasilisha hapa, lakini pia sera hii ina muda bado kutumika mpaka 2027.
Kwa shule za msingi mtaala unaanza kutumika January hii 2024 kwa elimu awali, darasa la kwanza, la pili na la tatu.
 
Back
Top Bottom