saashisha mafuwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Saashisha Mafuwe: Milioni 300 Kujenga Daraja Machame

    MBUNGE SAASHISHA MAFUWE: MILIONI 300 KUJENGA DARAJA MACHAME Daraja la Makoa lililopo Machame, ambalo limejengwa kipindi kirefu na ambalo lilikua ni kero kubwa imeanza kujengwa upya kwa gharama ya shilingi Milioni 300. Akizungumza baada ya kufika kukagua ujenzi wa daraja hilo, mbunge wa jimbo...
  2. Stephano Mgendanyi

    Makonda: Mbunge Saashisha Mafuwe ni Hazina

    MAKONDA: MBUNGE SAASHISHA MAFUWE NI HAZINA "Na hapa mna bahati ya kuwa na Mbunge Kijana (Saasisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai) na Mimi nilimuona Bungeni hata kabla sijawa Kiongozi anavyopigania hasa ardhi zenu, amehangaika sana na Vyama vya Ushirika na kutetea ardhi ya wana Hai ibaki...
  3. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Saashisha Mafuwe amlilia Katibu wake, Mwal. Benson Lema

    Mbunge Saashisha Mafuwe Amlilia Katibu wake, Mwal. Benson Lema Aliyekuwa Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Hai Mwl. Benson Lema azikwa kijijini kwao Nronga – Machame. Mamia ya waombolezaji wakiongozwa na mbunge wa jimbo la Hai Saashisha Mafuwe wameshiriki katika ibada ya maziko ya aliyekuwa katibu...
  4. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Saashisha Mafuwe aishukuru Serikali ya CCM kwa kumaliza mgogoro wa muda mrefu KIA

    Mbunge wa Jimbo la Hai Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Saashisha Mafuwe amekishukuru Chama Cha Mapinduzi na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kufuatia kwa zoezi la kumaliza mgogoro wa Ardhi katika Uwanja wa Ndege wa...
  5. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Saashisha Mafuwe akichangia Bungeni Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2024-2025

    "Katika taarifa ya Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2024-2025, Matarajio yangu ni kuona sasa kuwa na Mipango ya Nchi yetu ambayo inatekelezeka kwa muda mfupi na muda mrefu. Mipango ambayo itajibu matarajio ya wananchi" - Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai "Ili...
  6. J

    Waumini Wamzawadia gari mpya Askofu Mkuu Mstaafu wa KKKT Dkt. Shoo

    Askofu Mkuu Mstaafu wa KKKT Dr Shoo amekabidhiwa gari mpya Toyota Landcruiser ya Mwaka 2023 mpya kabisa 0 km iliyonunuliwa kiwandani Ahadi ya kumnunulia Zawadi ya gari ilitolewa kwenye misa ya shukrani ya Mchungaji Dkt. Kimaro ambapo Wabunge, Mawaziri, Viongozi wa Dini, Viongozi wa Siasa na...
  7. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Saashisha Mafuwe Asisitiza Mtaala Mpya Uzingatie Talanta ya Mwanafunzi

    MBUNGE SAASHISHA MAFUWE ASISITIZA MTAALA WA ELIMU UZINGATIE TALANTA YA MWANAFUNZI Mbunge wa Jimbo la Hai, Mhe. Saashisha Elinikyo Mafuwe akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Elimu iliyosomwa Bungeni na Waziri wa Elimu Mhe. Prof. Adolf Mkenda leo tarehe 16 Mei, 2023 kwa mwaka wa fedha...
  8. Z

    Waliotumwa kuivuruga CCM jimbo la Hai wameanza kuweweseka, mchana wapo CCM usiku wapo Chadema

    WALIOTUMWA KUIVURUGA CCM JIMBO LA HAI WAANZA KUHAHA, MCHANA WAKO CCM USIKU KWA MBOWE Na Imani Kwayu Uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi katika Jimbo La Hai umeacha makovu makubwa Kwa wasaliti wa Chama hicho waliokuwa wamejichimbia kimyakimya wakitega michongo yao ya namna ya Kupenyeza watu wao...
  9. Kisambusa

    Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Hai, msikilize Chongolo

    Kuna kila dalili mbungewa Hai kuingilia uchaguzi wa chama wilaya ya Hai na amepuuza kauli ya bosi wake comred Chongolo.
  10. Mwanamakunda

    Miaka 15 ya hadaa za Mbowe, miaka 2 ya Vitendo vya Saashisha, WanaHai wamepata masihi

    MBOWE ALIPENDWA KWA HADAA ZA MANENO YAKE, SAASHISHA ANAPENDWA KWA UHALISIA WA MATENDO YAKE Na Manka Lema, Mwananchi Wa Jimbo la Hai Leo katika pitapita zangu na ka-starlet kangu nilitembelea kiwanda chenye historia kubwa mkoani kilimanjaro kiwanda cha Machine Tools kujionea uwekezaji mkubwa...
  11. Mwanamakunda

    Freeman Mbowe ni Kinyonga Mwenye sura Mbili, Wazee wa Machame wamuonya, Saashisha apewa heko

    MBOWE UMEZEEKA SASA, ACHA KUTENGENEZA ZENGWE JIMBONI HAI, WANANCHI WALISHAAMUA KWENDA NA SAASHISHA MAFUWE Na Rogan Swai, Narumu Blog Habari za Siku nyingi Mwenyekiti wa kudumu wa Chama chetu Cha Ufipa, natambua unaendelea na matibabu Kwasasa baada ya afya yako kuzorota Kwa muda Fulani, pole...
  12. A

    Mbunge wa Hai, Saashisha Mafuwe anachochea mgogoro kati ya muwekezaji wa Makoa Farm na Wananchi

    Mbunge wa Hai ndugu Saashisha Mafuwe amekuwa source ya mgogoro kati ya muwekezaji wa makoa farm na wananchi wa kijiji cha uduru ambao ndiyo wamiliki wa shamba hilo. Muwekezaji huyo mjerumani aitwaye Elizabeth ana mkataba wa uwekezaji unaofika ukomo mwaka 2039. Mapema mwezi huu mbunge SAASHISHA...
  13. K

    TAKUKURU mchunguzeni Mbunge wa Hai, Saashisha Mafuwe

    Mbunge wa Hai SAASHISHA MAFUWE na baadhi ya wajumbe wa chama cha ushirika cha uduru wanatuhumiwa kuongwa kiasi cha shilingi 70,000,000/= na Mrusi aitwaye ALEX au ALTEZA, ili kutengenezea mizengwe muwekezaji wa Makoa Farm Mjerumani aitwaye Elizabeth ili mkataba wake na chama cha ushirika cha...
Back
Top Bottom