Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,503
- 113,613
Wanabodi,
Namuangalia Waziri wa Elimu, Prof. Adolph Mkenda akizungumzia hatua za utekelezaji wa sera mpya ya elimu na mtaala mpya wa elimu, kiukweli kabisa Rais Samia apewe maua yake!
Wale wenye access angalieni...
Ukiondoa the landmark ya Baba wa Taifa kutoa bure elimu ya msingi, na JPM kutoa elimu bure mpaka secondary, ni Rais Samia anaacha the biggest landmark kwa elimu ya Tanzania, sasa elimu ya lazima ni mpaka kidato cha 4!
Tanzania ya sasa hakuna tena ile aibu ya mtu kuishia darasa la saba!
Kiukweli kabisa, kwenye hili la sera mpya ya elimu na Mtaala Mpya, wa elimu, Rais Samia Suluhu Hassan apewe maua yake!
Tumuunge mkono Waziri wa Elimu Prof. Mkenda na team yake, tunakwenda kupata Tanzania bora zaidi!
I was dam right kumhusu Samia since the beginning, angalia nilisema nini kumhusu Samia mara tuu baada ya kuingia wakati nilipohojiwa na Sauti ya Ujerumani, DW Radio Pascal Mayalla: Tanzania sasa inajenga Mifumo na sio kujenga watu kama enzi za Hayati Magufuli.
Kujenga kwenyewe mfumo sasa ndio huku!
Paskali