coding

  1. African Geek

    Framework gani ya backend inafanya uwe productive zaidi? Laravel / Django

    Ukiachana na serverless backend kama Firebase, Supabase, etc. Ni Framework gani inamfanya developer awe productive zaidi kati ya Laravel na Django? Binafsi, huwa natumia Node js kufanya backend lakini pia nimefanikiwa kutumia serverless backends (Firebase &, Supabase). Changamoto kubwa ya node...
  2. A

    Muongozo wa kuwa programmer

    Ulishawahi kuskia au kuona robots wenye uwezo wa kutake care of patients, magari yenye uwezo wa kujiendesha yenyewe, Games, System zenye uwezo wa kumanage kazi zote za kampuni, websites(tovuti), apps kama Facebook Insta TikTok hata hii JF, software maarufu kama Photoshop n.k. Hivi vitu vyote...
  3. African Geek

    Unafanya coding ukiwa kwenye mazingira gani?. Episode 2

    Hapa nipo zangu kwenye mtumbwi wa kizungu nakula kipupwe na jua la manjano nikiwa naelekea zangu Dar mji wa mahangaiko. Je wewe unacode ukiwa kwenye mazingira gani?
  4. African Geek

    Unafanya coding ukiwa kwenye mazingira gani?

    Coders / Developers mnacode mkiwa mmejifungia chumbani au mnatembea na laptop kama mimi kwa ajili ya kubadilisha mazingira ya kazi. Nipo zangu zanzibar nakula upepo huku kazi ikiendelea
  5. African Geek

    Naombeni mchango wa mawazo juu ya hii Project.

    Habari wana JF, Mimi ni Developer ( Web & Mobile ). Nina uzoefu na web development upande wa Backend na Frontend. Pia nimejifunza mobile app development kwa Flutter na nimefanikiwa kufanya project kadhaa ndogo ndogo kwa ajili ya kujiimarisha na kupata uzoefu wa kile nilichojifunza. Kwa sasa...
  6. Step_Rocker

    Coding, programming, software development na software engineering nini maana yake na utofauti

    CODING Coding inahusisha uandishi wa maelekezo fulani kwa lugha ambayo inaeleweka na kompyuta. Lugha hizo ni kama python, C, C++ n.k. Lakini pia coder anaweza kua na uzoefu na scripting kama vile bash scripting n.k. Kwa ujumla coder anatakiwa kua na skills zifuatazo ama zaidi ya hizi baadhi...
  7. Nafaka

    Mtaala mpya wa elimu kufundisha coding katika shule za msingi na sekondari

    Serikali ya Kenya imepitisha mtaala mpya ambao wanafunzi wa shule ya msingi na sekondari watafundishwa coding. Halafu baadae turudi kukataa ukweli kwamba hawa wakenya likija suala la ubunifu katika teknolojia na startups wanatuzidi. Sisi bado hatuko serious katika mambo mengi hata elimu yetu pia...
  8. Binadamu Mtakatifu

    PC gani bora ninunue kwa ajili ya masuala ya Coding

    Habari kama kichwa kinavyojieleza ni PC gani nzuri kwa ajili ya mambo ya software development (coding) ambayo itakuwa chap plus inaweza kuinstall windows 11 bila kuedit file zake yaan full supported. Ahsante.
  9. kali linux

    Customized Software development courses by me. I'll teach you how to geek in coding

    Hello bosses, Ni kwa muda sana sijaandika makala kuhusu computer programming. Kiukweli kuna watu wanahitaji kufahamu Programming na kuweza kuitumia kupata kipato, nina uhakika na hilo kwa sababu wengi wamekua wakinifuata PM kuniomba guide. Leo hii natoa guide generally kwa wote wenye UHITAJI...
  10. musabuze

    Jinsi ya kutengeneza App ya news bila ujuzi wa Coding wala Programing

    Habari Wana JF, Siyo Kila anayehitaji Android App Kama ya News, Chating,Live Tv ana Haja ya yeye Kujua Programing au Coding. Inabidi Totofautishe Kati ya Kazi na Mahitaji, Programing au Coding ni Kazi Kama Kazi Zingine ila Kuwa na Shauku ya Kuwa na App Yako ni Mahitaji Kama Yalivyo Mahitaji...
  11. Analogia Malenga

    Tafiti: Wanawake ni wachache wanaojifunza 'Coding'

    FreeCodeCamp ni mmoja kati ya mtandao unaotoa elimu nyingi kuhusu kuandika ‘codes’ ili kutengeneza ‘projects’ mbalimbali ikiwemo kutengeneza ‘App’ za android, vikokotoo na tovuti Hivi karibuni wamefanya tafiti kwa watu 65,000 na mtokeo yalionyesha kuwa wanawake 7.7% walikuwa wanajifunza, wakati...
  12. agudev

    Website za kujifunza programming kwa vitendo kwa njia ya mashindano (competitive programming)

    Habari za leo wadau, natumaini mko poa. Leo nataka nije na uzi unaoelezea kuhusu namna ya kujifunza programming kwa vitendo na kushiriki katika mashindano ya coding online ambapo pia unaweza kushinda kitita cha pesa kama ukiwa umejinoa kwelikweli. Zipo websites mbalimbali zinazofanya vitu kama...
Back
Top Bottom