Mbunge Mpembenwe: Jimbo la Kibiti Mpaka Juni 2023 Lilipokea Bilioni 31 za Miradi ya Maendeleo Kutoka kwa Rais Samia

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,898
942

MBUNGE MPEMBENWE: JIMBO LA KIBITI LILIPOKEA BILIONI 31 ZA MIRADI YA MAENDELEO KUTOKA KWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

"Katika Jimbo la Kibiti, Rais Samia Suluhu Hassan ametupatia fedha nyingi za maendeleo. Juni 2023 nilisoma utekelezaji wa Ilani, tulipewa Shilingi 31,634,560,924.43. Sekta ya Elimu ni Bilioni 8.1, Maji ni Milioni 8.2, Miundombinu ni Bilioni 10.1, Afya ni Bilioni 4.1, Nishati ni Milioni 637" - Mhe. Twaha Ally Mpembenwe, Mbunge wa Jimbo la Kibiti

"Wazee Niwaombe sana tukiwa tunakaa kwenye sala zetu tumuombee sana Mama Samia Suluhu Hassan. Rais amefanya mambo makubwa sana, Afrika inajua, Dunia inajua, Watanzania wanamuelewa na sisi watu wa Kibiti tunamuelewa" - Mhe. Twaha Ally Mpembenwe, Mbunge wa Jimbo la Kibiti.


 
Back
Top Bottom