miradi ya maendeleo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Naomba nielimishwe juu ya umuhimu na faida za mwenge wa uhuru unaokimbizwa kila mwaka nchi nzima

    Habari ya muda huu ndugu zangu. Nimekaa nimetafakari nikashindwa kupata majibu juu ya huu mwenge wa uhuru unaokimbizwa nchi nzima kila mwaka. Mbio za mwenge za kila mwaka zinabajeti kubwa sana na zinagharimu pesa nyingi mno ambazo zingeweza kutumika katika matumizi mengine ingeleta tija sana...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa tamko: Miradi ya Maendeleo itaendelea hata baada ya Marekani kusitisha misaada

    Serikali imesema itaendelea kutekeleza miradi ya maendeleo ambayo ilikuwa ikipata ufadhili wa kifedha kupitia taasisi za Marekani baada ya tamko la usitishaji wa misaada lililotolewa na Rais Donald Trump.
  3. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mavunde agawa Matofali 41,000 na Saruji mifuko 2,050 kwa Kata zote za Dodoma Mjini kwa Miradi ya maendeleo

    Waziri wa Madini ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde, amegawa matofali 41,000 na mifuko ya saruji tani 102 (sawa na mifuko 2,050) kwa kata zote 41 za jimbo hilo kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo kupitia Mfuko wa Jimbo. Akizungumza wakati wa zoezi hilo...
  4. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati ya siasa ya CCM mkoa wa Lindi yaipongeza Kilwa kwa utekelezaji wa miradi ya maendeleo

    Kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Lindi ikiongozwa na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa, Kuruthum Issa Runje, imefanya ziara maalum Wilayani Kilwa kwa ajili ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa chini ya Ilani ya CCM ya mwaka 2020–2025...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wa Bwiregi wampongeza Sagini kwa Sh Bilioni 1.5 iliyotumika kwenye miradi ya maendeleo

    Wananchi wa Kata ya Bwiregi wamempongeza Mbunge wa Jimbo la Butiama na Naibu Waziri Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini kwa kufanikisha Bilioni 1.5 ambayo ilitumika katika miradi mbalimbali ya maendeleo. Akizungumza kwenye mkutano na wajumbe wa CCM na wananchi katika Ziara ya Mbunge kwenye...
  6. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira apongeza kasi ya utekelezaji miradi ya maendeleo Tabora

    Serikali ya awamu ya sita imepongezwa kwa kupeleka mradi wa maji wa Miji 28 katika Wilaya 3 za Mkoa wa Tabora ambazo zilikuwa na changamoto kubwa ya upatikanaji huduma ya maji. Pongezi hizo zimetolewa jana na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Steven Wasira alipokuwa...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG - Miradi ya Maendeleo kwa Mwaka wa Fedha 2023/24

    Nina furaha kuwasilisha Taarifa yangu ya Jumla ya Mwaka kuhusu Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 kwa mujibu wa Ibara ya 143(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977, na Kifungu cha 34 cha Sheria ya Ukaguzi wa Umma, Sura ya 418. Taarifa hii...
  8. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Mukhtasari wa Ripoti Ya CAG Kuhusu Ukaguzi Wa Miradi Ya Maendeleo Kwa Mwaka 2023/2024

    RIPOTI YA JUMLA YA MWAKA YA MDHIBITI NA MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI JUMLA KUHUSU UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO YA MWAKA WA FEDHA 2023/24 Taarifa hii inawasilisha matokeo ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo iliyotekelezwa na Mashirika ya Umma nchini Tanzania kwa mwaka wa fedha unaoishia tarehe...
  9. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Diaspora Ubelgiji wampongeza Rais Samia kwa miradi ya maendeleo na kudumisha amani

    Watanzania wanaoishi nchini Ubelgiji wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uongozi wake thabiti unaoendelea kuleta mafanikio makubwa katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo pamoja na kulinda amani na mshikamano wa kitaifa. Pongezi hizo...
  10. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania EIB kuongeza ufadhili kwa miradi ya maendeleo nchini Tanzania

    EIB KUONGEZA UFADHILI KWA MIRADI YA MAENDELEO NCHINI TANZANIA • Yatangaza ufadhili mpya kwa miradi mitano nchini. Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (European Investment Bank – EIB) imeahidi kuongeza ufadhili na mikopo ya masharti nafuu kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo nchini Tanzania...
  11. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM Iringa vijijini yatembelea miradi ya maendeleo mboliboli

    Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, leo tarehe 3 Aprili 2025, Umefanya ziara ya kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo katika kata ya Mboliboli, tarafa ya Pawaga, Wilaya ya Iringa. Ikiongizwa na Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Iringa Vijijini, Elia Juma...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu wa NEC Zanzibar: Serikali zetu hazitohofia kukopa kutekeleza Miradi ya Maendeleo

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema Serikali zake hazitohofia wala kuacha kukopa kwenye Taasisi za Kimataifa za Fedha na Benki ya Dunia kwa minajili ya kutekeleza shughuli za miradi na ujenzi wa miundombinu . Pia chama hicho kimeahidi kitasimamia ahadi na sera za msingi kwa kumaliza changamoto...
  13. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi walalamikia kutokushirikishwa kuibua na kutekeleza miradi ya maendeleo

    Wananchi wa Kata ya Katesh, wilayani Hanang, mkoani Manyara, wamelalamikia kutoshirikishwa katika kuibua na kutekeleza miradi ya maendeleo ikiwemo ya elimu na afya hivyo kushindwa kusimamia uwajibikaji na kulinda miundombinu ya miradi hiyo inayogharimu mamilioni ya fedha za umma. Wananchi hao...
  14. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Sendiga afanya ziara kukagua miradi ya maendeleo Hanang'

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, ameendelea na ziara yake ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo wilayani Hanang', ambapo ameshuhudia uchimbaji wa kisima katika Kijiji cha Endasworld, kata ya Gitting. Kisima hicho ni miongoni mwa visima 25 vinavyochimbwa kwa ushirikiano kati ya...
  15. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kigoma: CCM yawatembeza mabalozi mia sita wa serikali za mitaa kukagua miradi ya maendeleo

    Karibu mabalozi mia sita wa Chama cha Mapinduzi CCM katika manispaa ya kigoma Ujiji wametembelea miradi mikubwa inayotekelezwa na serikali ya awamu ya sita katika mji wa Kigoma ili kujionea maendeleo ya miradi hiyo. Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Kigoma Cde. Christopher Palangyo...
  16. L

    JamiiForums Tanzania UFAFANUZI juu ya Deni la Taifa na namna Rais Samia alivyotumia vizuri kila Senti aliyokopa katika Miradi ya Maendeleo

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeona nitoe Ufafanuzi wa kina na maelezo ya kutosha na yenye ushahidi wa Kutosha kuelezea suala la Deni la Taifa na kile kilichofanywa kwa kila senti iliyokopwa na serikali ya Rais wetu Mpendwa kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kama pesa zote za miradi ni za Rais Samia, sasa hili deni la taifa ni la Serikali au deni la Rais Samia?

    Miradi yote inajengwa kwa fedha ya rais samia. Kila fedha ni ya Rais samia. Tuwe na consistence, Like wise, na deni mikopo ya tanzania la liwe ni deni la Rais samia!
  18. S

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Serikali inadaiwa Shilingi Bilioni 7.90 kama fidia kwa wananchi waliopisha miradi ya maendeleo

    Wakati akiwasilisha ripoti ya ukaguzi kwa Rais, Mkaguzi mkuu wa serikali Charles Kichere amesema kuwa serikali inadaiwa kiasi cha shilingi Bilioni 7.90 kama fidia kwa waliopisha miradi ya maendeleo. Aidha ameshauri pesa hizo kulipwa kwa wakati ili kuepusha riba inayoweza kutokea kutokana na...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali kutoa bilioni 335.6 ya miradi ya maendeleo Manyara

    Serikali imepanga kupeleka shilingi bilioni 335.6 kwa mwaka wa fedha 2025/2026 ili kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo katika mkoa wa Manyara. Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Sendiga, alitoa taarifa hiyo akiwa Kijiji cha Muungano, Kata ya Laghanga, Wilaya ya Hanang’ wakati akianza...
  20. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti Halmashauri ya Nachingwea ataja Miundombinu duni kuwa chanzo cha ucheleweshaji wa utekelezaji wa miradi ya maendeleo

    Tarehe 20 Machi, Adnan Mpyagila, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Nachingwea, amefanya ziara ya kutembelea miradi ya ujenzi wa shule za sekondari. Ameangalia ujenzi wa Shule ya Sekondari Kata Mtua ,Kata Chiumbati, Rugwa Boys (mabweni), Shule ya Kata ya Nachingwea, na Shule ya Naipanga Sekondari...
Back
Top Bottom