Mwaka 2024 mwenye taarifa za miradi ya maendeleo Tanzania tukutane hapa!

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,830
21,460
Wakuu, happy new year 2024.

Wenye taarifa za miradi ifuatayo tukutane tujadiliane:
1. Uwanja wa ndege wa Msalato
2. Ujenzi wa barabara ya mwendokasi kuelekea uwanja wa ndege wa Dar
3. Ujenzi wa chuo kikuu Butiama
4. Ujenzi wa barabara Kwa kiwango cha lami kutoka SikongeTabora hadi Makongorosi mkoa wa Mbeya.
5. Mradi wa Nickel huku Kabanga Kagera
6. Mradi wa bwawa la kuzalisha umeme la Julius Nyerere
7. SGR kipande cha MWANZA kwenda Isaka, Dodoma kwenda Tabora, Dar kwenda Morogoro na Tabora kwenda Kigoma.
8. Ujenzi wa substation ya umeme wilaya ya Chunya mkoa wa Mbeya.
9. Ujenzi wa barabara za jiji la Mbeya.
10. Ujenzi au ukarabati wa barabara ya Arusha kwenda Moshi huko Kilimanjaro
11. Ujenzi wa bomba la mafuta Hohima nchini Uganda hadi Tanga Tanzania
12. Ujenzi wa bomba la gasi kutoka Tanga kwenda Mombasa.
23. DP world bandari ya Dar es salaam.
 
List mnazipata wapi,hapa Kola kigurunyembe wamejengewa changarawe wananchi wote tunaitamani,na wamejenga caravat mpaka upande ambao barabara haina watumiaji,kuuliza barabara IMEMFUATA MTU.nimesikitika sana,serikali kutoa hela ya ujenzi kisa boss fulani anaishi huko.
 
Back
Top Bottom