miamala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sky Eclat

    Ucheleweshaji wa miamala ulioletwa na tozo ni kero

    Tozo la miamala limepitishwa na bunge, kwa unyonge tunaishi nalo. Kero ikiyopo ni ucheleweshwaji wa miamala mpaka wakate tozo lao. Wengi tunatumia njia mbadala kutuma pesa ingawa zina usumbufu katika muda na usalama. Juzi nimepata dharura ilibidi nirushe pesa iwafikie walengwa. Mpaka leo...
  2. BAK

    Askofu Bagonza aandika kuhusu tozo za miamala na kodi ya majengo

    TOZO YA MIAMALA na KODI YA MAJENGO. Mwigulu Ayaone haya: 1. Wasamaria wema wamemuokota aliyegongwa na gari barabarani. Wakamkimbiza hospitali. Daktari anataka laki tatu kumtibu. Linaundwa group kuchangisha. Serikali inakata tozo badala ya kulipia matibabu ya raia wake! 2. Wawili wamependana...
  3. J

    Naibu Spika: Bunge litapitia Kanuni za Tozo za Miamala zilizoandaliwa na Waziri wa Fedha kuona kama hazikiuki Sheria!

    Naibu Spika Dr Tulia Ackson amesema bunge litazipitia kanuni za sheria ya tozo za miamala ya simu zilizoandaliwa na waziri wa fedha ili kujiridhisha kama hazikinzani kazi itakayofanywa na kamati ya sheria ndogo ya bunge. Endapo itaonekana kanuni ziko sawa basi sheria itapelekwa kwenye bunge...
  4. Erythrocyte

    Serikali ya Rwanda yaondoa Tozo kwenye miamala ya benki kwenda mitandao ya simu kuwalinda watumiaji

    Hii hapa taarifa kamili. Mungu ibariki Rwanda. ================ No charges and fees will henceforth be incurred when transferring funds from one’s bank account to their mobile money wallet and vice versa (push and pull charges). The Central Bank has scrapped costs in their latest directive...
  5. D

    Ukoloni wa miamala haukubaliki; wananchi tukiwa na msimamo tunaweza kuupinga kwa nguvu utapeli huu; Kapu la VAT 18% linatosha wagawane huko

    Baadhi ya mambo ukiyatafakali yanadhihilisha wazi baina yetu bado tuna imani za kikoloni kichwani! Elimu haijatukomboa kabisa, hatuna ubunifu kichwani kabisa! Ni bure kabisa! Hivi kazi ya VAT ni nini? Na matumizi ya fedha hiyo ni yepi? Hivi kuna sababu gani ya mimi kukatwa 18%ya VAT, Halafu...
  6. wajingawatu

    Makusanyo ya tozo ya miamala 48bn ndani ya siku 45. Je, hii kweli?

    Mwenye ufahamu wa kiasi cha pesa kinachotumwa/kupokelewa kwa mwezi kwenye mtandao ya simu atuwekee hapa ili tuujue ukweli au uongo wa Madelu kuweza kutukamua 48bn. ndani ya siku 45
  7. Kasomi

    Mimi si Mwanasiasa, ila kwenye hili la Tozo hapana

    Wakuu najua uzima upo wa kutosha sema mtakuwa na stress za Tozo tu nyie. Baada ya kuwasalimu ngoja kidogo na mimi nitie neno. Binafsi mimi si Mwanasiasa wala sijawahi kushabikia chama ila kwenye hili ngoja na mimi nilopoke kidogo. Awamu hii ya sita ambayo inaongozwa na mama shupavu kwango kama...
  8. BAK

    Kususia kutumia miamala kuendelee

    Mapato ya kodi ya miamala yalitakiwa yawe 137.5 billions kwa mwezi lakini wamekusanya bilioni 48 tu chini ya nusu ya mapato yaliyostahili. KUSUSIA MIAMALA KUENDELEE. Mkumbukushe ndugu yako, jirani yako na rafiki yako.
  9. kavulata

    Tozo za miamala ni njia ya kufidia pesa zinazokujenga miradi kama Burigi National Park na Ikulu Dodoma?

    Ingekuwa sawa kama ongezeko la tozo za miamala na mafuta kwa wanyonge lingelenga kwenda kununua meli kubwa za uvuvi ili tuvue kisasa kwenye kina kirefu, kununua matrekta kwa wakulima ili walime mashamba makubwa, kuchimba madini ya kimkakati kama chuma au kusambaza nishati ya gesi nchini ili watu...
  10. Roving Journalist

    Mwigulu Nchemba: Serikali imekusanya bilioni 48 kutoka kwenye Tozo za miamala ya simu kwa wiki nne

    Wakuu, Waziri wa Fedha, Dr Mwigulu Nchemba anazungumza na waandishi wa habari muda huu kuhusu miradi ya Serikali pamoja na Tozo za miamala ya simu pamoja na mafuta. Kuwa nami kukujuza yanayojiri ========== Mwigulu Nchemba-Waziri wa Fedha na Mipango =▷ Itakuwa aibu mtanzania yoyote alie hai...
  11. K

    SoC01 Watanzania na maumivu ya tozo za miamala

    Tanzania ni taifa lenye watu wa hali mbali mbali, wengi wao wakiwa ni wavuja jasho, walala hoi, kula kwao ni kwa mahangaiko, wanachokipata kwa siku huishia mdomoni mwao huku walio juu hawakumbuki hisani ya wanaowazunguuka na wakiziba masikio yao kunenepesha matumbo yao na familiya zao tu. Watu...
  12. robinson crusoe

    Zanzbar pia kuna tozo la miamala?

    Naona matatizo ya Muungano na hasa tunapokuwa na Rais kama huyu anayetokea Z'bar. alipoingia alianza ku-balance mambo; Meli nyingine itapelekwa Z'bar, kila kitu akisema pesa nyingine ipelekwe Z'bar. Sasa hili la tozo na malengo yake tunataka kujua kama hata Z'bar kuna makato ya miamala. Kama...
  13. B

    Tozo Miamala ya Simu bado kimeumana

    Alisikika Mh. Rais kuwa tozo kwenye miamala ya simu zimeridhiwa na wananchi kwa maslahi yao. Mapema aliwahi kusikika Dkt. Mwigulu akisema tozo zenyewe ni ndogo tu. Bila shaka msomi huyu alisahau kuwa chochote cha zaidi kwenye nyingi zilizopo, hakuufanyi mzigo wa tozo zote kwa watu kuwa...
  14. K

    Tozo kupitia miamala ya simu ikiendelea itakuja kuigharimu Serikali ya CCM

    Wananchi wametoa malalamiko yao kwa Serikali lakini bado kimya, watu wengi wameacha biashara ya miamala ya simu na hii inapelekea familia zao kupata shida, hata malengo ya Serikali yaliyotarajiwa hayatafikiwa kwa sababu watu wengi wameacha kutumia huduma hii. Mfano mimi leo nimetuma Tshs.1m/=...
  15. Shujaa Mwendazake

    Rais Samia: Watanzania hawajakataa Tozo za miamala ya simu

    Wengi wetu tumeangalia habari kwenye gazeti pendwa la uhuru kuwa Mama hatagombea 2025. KUNA KIHABARI NDO KIMENIVUTIA HABARI NA MPAKA SASA NATAFUTA GAZETI SILIONI BARABARANI. Kwamba Sisi watanzania hatujakataa Tozo za Miamala ya simu. Wewe ulimtuma waziri mkuu kuwa umesikia kilio chetu na...
  16. VUTA-NKUVUTE

    Rais Samia, ulitaka wananchi tukataaje tozo za miamala ya simu?

    Rais na Mwenyekiti wangu wa CCM Taifa, umenifikirisha na kunisikitisha sana. Nimekusikiliza na kukutazama kwenye mahojiano yako na mwandishi na mtangazaji nguli Salim Kikeke. Nimekufuatilia hadi nikalia ulipokuwa ukijibu maswali bila kujali athari. Juu ya tozo za miamala ya simu, nimekusikia na...
  17. Memento

    Rais Samia, ni Watanzania gani hao waliokubali hizo tozo?

    Nimeshangaa na kufadhaishwa sana naa kauli ya raisi kuwa eti watanzania hawajakataa tozo na wapo tayari kuchangia hizo tozo ila tu zipunguzwe. Hii kauli imenifanya nijiulize sana kuwa either amechoka kuongoza au hajui afanye nini. Watanzania gani hao wanaokubali tozo hizi? Mmekaa wenyewe...
  18. Thailand

    Serikali inawahamisha wananchi wasahau na wasiongelee tena TOZO ya miamala ya simu. Wananchi tuendelee kuwalaani viongozi wetu waliotuletea huu wizi.

    Huo hapo juu ni wizi na hujuma za waziwazi tunaofanyiwa na serikali yetu. Cost of living imekuwa kubwa, uchumi wetu wa kusuasia unazidi kuwa hoi hasa wazazi na ndugu zetu wanaotegemea mpesa, tigopesa, airtel money kufanyiwa miamala yao. Fikiria ndani ya ada za miamala kuna 18% kodi inayoenda...
  19. Kiboko ya Jiwe

    Hakuna Mtanzania atakayempigia kura ya ndio kiongozi aliyemletea tozo za miamala ya simu

    Habari, Endapo uchaguzi mkuu utafanyika leo au hiyo 2025, hakuna Mtanzania (ukiondoa tabaka tawala) atampigia kura kiongozi ambaye amemletea tozo za hovyo za miamala ya simu kienyeji. Muamala ambao mtu alikatwa shilingi 2700 sasa anakatwa karibu elfu tano nzima. Mtanzania wa chini alikuwa...
Back
Top Bottom