mzanzibari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mnaolalamika kuwa Mnadhimu wa JWTZ ni Mzanzibari, hivi akiteuliwa Mzanzibari kuwa Mkuu wa Jeshi na Mtanganyika akawa Mnadhimu wake mtatulia ?

    Ndani ya JWTZ kuna mfumo thabiti sana wa mgawanyo wa madaraka na udhibiti, tofauti kabisa na mtazamo wa watu wengi mnavyodhani kwamba kiongozi mkuu mmoja ana mamlaka ya kufanya kila kitu peke yake. Mnaolalamika kuwa Mnadhimu wa JWTZ ni Mzanzibari, hivi akiteuliwa Mzanzibari kuwa Mkuu wa Jeshi...
  2. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Maria Surungi: Deo Ndejembi ni Mzanzibari, Muislamu, pia ana uraia wa Uingereza

    ‼️UASILI WA DEO NDEJEMBI KUMBE UNA UZANZIBARI‼️ Kumbe Mama yake Ndejembi ni Mpemba anayeishi London? Eh watu mna siri! Alafu TISS bana mnamkubalia kimama amteue alafu mnakuja kutulalamikia pembeni Sasa wamemwaga data ila mambo kadhaa muhimu: 👉🏽Deo Ndejembi ni mjukuu wa Mzee Ndejembi ila...
  3. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Mzanzibari unaesoma huu Uzi taja ulipo

    Ebu nipe location yako chap Nifike hapo tuuweke mkono chini , zipigwe mtu bee pasipo Allah kuingilia, na hii battle ni bila sababu ya msingi zaidi ya mim kuwatamani tu wanetu. Jana usiku wa manane nimemkalisha mmoja wenu na upper cut za kutosha maeneo ya Kitengule hospital tegeta baada ya...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki hamtakiwi na mzanzibari, mlioko huko bado anzeni kufungasha

    Unganisha matamko ya TEC, wadada wa vijora, ukimya wa kkkt. Subirini mtaona, kwa mara ya kwanza hakutakuwa na mkatoliki katika uongozi wa juu!
  5. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania MSAADA wa picha nilio post nikiwa na mpenzi wangu mzanzibari

    Jamani kina member ana hiyo picha nimepiga nikiwa na mpenzi wangu wa miaka hiyo mzenji tafadhali NAOMBA alie nayo anipatie nilijisahau nikafuta baadhi ya documents nika futa na hiyo tafadhali nipate msaada member alie nayo anipatie ni kumbukumbu zilizo Baki kwenye maisha yangu. Siku hiyo...
  6. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Nakupa code; kwenye biashara yoyote ya delivery ukisikia sauti ya mzanzibari kimbia haraka

    Usije kusema sikukwambia, ila utajuta na utatamani uvuke bahari kwa mguu kwenda zanzibar kufatilia pesa yako
  7. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Kuna member mzanzibari mwenye asili ya asia nae alifariki mwaka jana mwezi wa tano au sio wasita, tumuombee nae

    Huyu mzanzibari alikua kama anko wangu nadhani jamii forum ndo iliyo tufanya tuwe kama ndugu, mi nilikua nimeajiriwa na mdogo wake wa kike, ndo tulipo fahamiana hapo. Alikua anafanya kazi smz kama si ardhi, basi mambo ya ujenzi sijui sikumchinguza sana, alikua akiishi stone town, mwaka Jana...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kabla ya sasa hivi tulishwahi na Waziri wa Fedha Mzanzibari kwenye muungano?

    Kwa nijuavyo, hatujawahi kuwa na waziri wa fedha mzenj tangia Nyerere hadi Magu. Najua Fedha si suala la muungano huenda ndiyo maana wote wenye akili timamu waliamua kutokuwa na mawaziri wa fedha wazenj. Je, ilikuwa ni ubaguzi, upendeleo, au mahitajio ya katiba ya JMT? Imekuwaje Samuya...
  9. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Kero za muungano zimeisha, Sasa kero ni muungano wenyewe, mzanzibari kutawala BARA, ILA mtanganyika zenji haramu

    Sijawai wapenda wazinzibar BILA shaka nao hawanipendi. Natamka tu kero za muungano zimeisha Sasa kero ni muungano wenyewe. Mzanzibari kutawala BARA ni sawa ILA mtanganyika kutawala zenji ni haramu
  10. E

    JamiiForums Tanzania Muungano Huu Shaghalabaghala: Mzanzibari ni Mtanzania, ila si kila Mtanzania ni Mzanzibari

    Kumekuwa na kauli tata kutoka kwa viongozi wa Zanzibar kuhusu Muungano, wakionyesha ubaguzi wa wananchi kutoka Bara kupata huduma au kushiriki fursa za kiuchumi, hali inayozua maswali. Kauli hizo zimekuja wakati kukiwa na mjadala wa kwa nini raia wa upande mmoja (Tanzania Bara/Tanganyika)...
  11. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Ukweli usiopenda kusema, pasipo kifo cha magufuli hakuna mzanzibari angetawala Tanganyika, hata ilimbidi awaue kwanza.

    Ni jumapili ambayo imetulia sana, tulivuuu HASWA natafakari mengi nabaini Kuna yaliyojil October 29.2025 nakumbuka Rafiki yangu, master tendwa, nakumbuka shekhe majini mzee wa kupaka kidevu Ina. GHAFLA naiona inveterview ya kikeke na hasha rose migiro katibu MKUU WA ccm, akisifia mauaji...
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rais Trump, huyu Mzanzibari Samia Suluhu akikusumbua, mfuate kama Nicolás Maduro, Ramani hii hapa

    Salaam Rais Mpendwa Donald Trump, wewe ni mtu unayesikiliza watu wote kwani hubagui. Nilipenda ulivyomfundisha adabu aliyejipachika Urais Venezuela bwana Nicolás Maduro. Isiishie kwa Maduro tu, njoo na Tanzania Baba, Yupo mwingine kajipachika Huyu Mzanzibari Samia akiwa Tunguu Zanzibar...
  13. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Kwanini mara nyingi watu wanashangaa ukijiita Mtanganyika, lakini ukijiita Mzanzibari wanaona kawaida?

    Kwanini mara nyingi watu wanashangaa ukijiita Mtanganyika, lakini ukijiita Mzanzibari wanaona kawaida?
  14. ngara23

    JamiiForums Tanzania Waliuliwa Watanganyika, mchunguzi ni Mzanzibari Leo ameamua kubagaza damu za Watanganyika

    Ningeshangaa report iandaliwe na Mzanzibari asimlinde dada yake? Hivi huku Tanganyika alikosa mzalendo wa kufanya uchunguzi? Watanganyika waliohudhuria wao ni kupiga makofi pindi ripoti ya tume ikisomwa Yaani mnasomea habari za mauaji mnapiga makofi ya Nini? Niliwaona mabolozi wa mabeberu...
  15. figganigga

    JamiiForums Tanzania Usimsikilize Mzanzibari Sama Ukitaka siku yako iishe Vizuri. Anabwatuka

    "Samia: Wakinikera mimi nabwatuka tu, acheni midomo ya uongo" . Zamani tuliuwa tulikuwa ttunasikiliza hotuba za marais. Ila huyu Mzanzibari Samia kapoteza Legitimacy. Mwenyewe anakuambia ans bwatuka. Hotuba yake inakakosa mvuto, vionjo. Anaongea kama kapewa nafssi asalimie wafiwa. Hata...
  16. figganigga

    JamiiForums Tanzania Wasaidizi Samia Suluhu waomba AFCON iahirishwe hadi 2028

    Ndo maana CAF hawataki Serikali kujihusisha na Mpira. Wasaidizi wa anayejiita Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, waomba AFCON iahirishwe hadi 2028. Wanadai Viwanja na maandalizi hayatakuwa yamekamilika. Wanadai eti Kenya itakuwa kwenye Uchaguzi Mkuu kwamba kunaweza kukatokea Vurugu...
  17. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kwamba TEC wanamchukia sababu ni Mzanzibari na muislamu? Wamuache amalizie muda wake! Huku ufisadi na Nepotism ikifanyika

    Hili sijalielewa kabisa? Kwamba niachieni kwanza nimalize hii ngwe iliyobaki. Huku ufisadi, dhuluma, utekaji, upendeleo wa familia zetu ukiendelea mpaka nimalize. Mnanichukia Sababu natoka Zanzibar na mimi ni muislamu!
  18. R

    JamiiForums Tanzania Watanganyika i.e vyombo vya usalàma vyote, vyote, mnaomlinda Mzanzibari anauza Tanganyika , jitafakari upya. Kwa nia njema tu kuweka mizania sawa.

    Tujitafakari sana wote, wote Watanganyika kwa nia njema tu na si kwa uhasama au mawazo hasi bali kuwekà mizania sawa
  19. Judi wa Kishua

    JamiiForums Tanzania Huyu mzanzibari Haji Omar Kheir swaiba wake Samia awe wa kwanza kuwajibishwa kwenye mauaji ya October 29. Tuanze na huyu!

    https://youtu.be/HxhQsqOlugM?si=S5Qr178OFL9BN_5w Mzanzibari, Haji Omar Kheir swaiba na mshauri wa Samia kwenye masuala ya kisiasa aingie kwenye orodha ya wataowajibishwa kwenye mauaji ya maelfu ya watanzania yaliyofanywa na serikali. Hakuna wa kusamehewa hakuna kusahau. Lazima avae karoti!!
  20. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania TANGANYIKA ina Mwanasheria Mkuu Mzanzibari na ZANZIBAR ina mwanasheria Mkuu Mzanzibari

    ni mimi tu ndio sielewi au katiba yetu haijawa wazi kwenye masuala ya muungano? Kuna Mkuu wa mkoa walikouliwa waandamanaji kwa mafungu huko Songwe ni Mzanzibari pia! Je Zanzibar kuna mkuu wa Mkoa Mtanganyika? kuna Mwanasheria mkuu mtanganyika? mbona mie sielewi?
Back
Top Bottom