miamala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Je, mkopo wa tril 1.3 wote umetumika kujengea madarasa? Vipi kuhusu madarasa yaliyokuwa yanajengwa kwa tozo za miamala? Ukaguzi ufanyike tupate ukwel

    Ni suala ambalo watanzania bado linawaumiza kichwa maana kwa tozo tunazokamuliwa alafu tukaambiwa na Ummy Mwalimu kuwa tozo zinatumika kujenga madarasa, zahanati vituo vya afya na kununua vifaa tiba. Ghafla bin vuu tukasikia ili kukabiliana na uhaba wa madarasa mkopo wa Uviko upatao tril 1.3...
  2. Mayova

    JamiiForums Tanzania Kuhusu line za uwakala wa miamala ya simu

    Naombeni uzoefu jamani..hizi laini za uwakala wa miamala ya simu unaweza kutumia muda gani kuipata baada ya kuwa umeshapeleka vile viambatanisho wanavyovitaka mfano leseni ya biashara, TIN namba na namba ya nida? .....Naomba kuwasilisha.
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Ghana yamuiga Rais Samia kuanzisha Tozo ya Miamala. Wabunge watwangana Makonde

    Hii ndo maana sahihi ya Muongoza njia. Hatimaye Serikali ya Ghana imemuiga Mama asiye na maneno mengi bali matendo mengi, asiye na mbwembwe za kujitangaza hovyo na promo za kijinga anayependa vitu kwenda kwa usahihi na kupata matokeo sahihi, Si mwingine ni Rais Wa Tanzania Samia Suluhu Hassan...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Zitto: Tozo za miamala ziondolewe kwa sababu kuna hela ya IMF

    Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema tozo za miamala ziliwekwa na serikali katika bajeti ya serikali ya mwaka 2021/2022 ili kuwezesha ujenzi wa madarasa nchini. Hivi karibu Serikali imepata fedha kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa(IMF) ambazo zimetangazwa kutumika kujenga vituo na...
  5. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania House4Sale Banda la Miamala linauzwa, keko Dar es salaam

    Nipigie 0713096076 bei 250,000
  6. comte

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya wenye katiba mpya na ambapo tozo la miamala halipo nako diseli na petroli imepanda bei

    Kenyans voice fury over fuel price hikes Kenyans voiced fury on Thursday at a jump in fuel prices, which threaten to pile on the misery for a population already suffering economic hardship because of the Covid-19 pandemic. Fuel prices are now at record levels after the country's energy...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini tozo za miamala zisitumike kuajiri walimu?

    Uhaba wa walimu kimekuwa kilio kikubwa na hatimaye kimegeuka wimbo wa taifa unaoimbwa kila kukicha. Juzi kwenye taarifa ya habari tumesikia mkoa wa geita ukilalamikia ukosefu wa walimu wa masomo ya sayansi. Ukienda shinyanga kilio ni hicho hicho, tabora kilio hicho hicho, ukienda kusini huko...
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Watu milioni 30 wanaofanya miamala ya Sh1 hadi Sh999 kwa siku hawakukatwa tozo ya kutuma na kutoa fedha

    Serikali ya Tanzania imesema watu milioni 30 wanaofanya miamala ya Sh1 hadi Sh999 kwa siku hawakukatwa tozo ya kutuma na kutoa fedha. Hayo yamesemwa leo Septemba mosi, 2021 na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba katika mkutano wake na wanahabari akibainisha kuwa lengo ni...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Serikali imekusanya Tsh Bilioni 63 tozo miamala ya simu, zitajenga vituo vya afya 220 kwenye tarafa

    Toka tozo za miamala ya simu ianze bilioni 63 zimekusanywa na tayari Serikali imeshapeleka fedha kujenga vituo vya afya 220 kwenye tarafa zote zisizokuwa na vituo vya afya kabisa. Hakuna tarafa yoyote nchi nzima ambayo haitakuwa na kituo cha afya kwasasa. Kodi yetu imeleta matokeo, Watanzania...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Tozo za Miamala: Serikali yapunguza viwango kwa 30%. Watoa huduma za simu waridhia kupunguza 10%

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesaini marekebisho ya Kanuni za Tozo za Miamala ya kutuma na kutoa Fedha na kupunguza viwango vya tozo kwa 30% Pia Serikali imejadiliana na watoa huduma za simu ambao nao wameridhia kupunguza viwango vya tozo wanazotoza kati ya mtandao na mtandao mwingine kwa...
  11. OLS

    JamiiForums Tanzania Tozo za miamala inaathiri sera ya fedha kwa kuathiri 'financial inclusion'

  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ucheleweshaji wa miamala ulioletwa na tozo ni kero

    Tozo la miamala limepitishwa na bunge, kwa unyonge tunaishi nalo. Kero ikiyopo ni ucheleweshwaji wa miamala mpaka wakate tozo lao. Wengi tunatumia njia mbadala kutuma pesa ingawa zina usumbufu katika muda na usalama. Juzi nimepata dharura ilibidi nirushe pesa iwafikie walengwa. Mpaka leo...
  13. BAK

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza aandika kuhusu tozo za miamala na kodi ya majengo

    TOZO YA MIAMALA na KODI YA MAJENGO. Mwigulu Ayaone haya: 1. Wasamaria wema wamemuokota aliyegongwa na gari barabarani. Wakamkimbiza hospitali. Daktari anataka laki tatu kumtibu. Linaundwa group kuchangisha. Serikali inakata tozo badala ya kulipia matibabu ya raia wake! 2. Wawili wamependana...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika: Bunge litapitia Kanuni za Tozo za Miamala zilizoandaliwa na Waziri wa Fedha kuona kama hazikiuki Sheria!

    Naibu Spika Dr Tulia Ackson amesema bunge litazipitia kanuni za sheria ya tozo za miamala ya simu zilizoandaliwa na waziri wa fedha ili kujiridhisha kama hazikinzani kazi itakayofanywa na kamati ya sheria ndogo ya bunge. Endapo itaonekana kanuni ziko sawa basi sheria itapelekwa kwenye bunge...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rwanda yaondoa Tozo kwenye miamala ya benki kwenda mitandao ya simu kuwalinda watumiaji

    Hii hapa taarifa kamili. Mungu ibariki Rwanda. ================ No charges and fees will henceforth be incurred when transferring funds from one’s bank account to their mobile money wallet and vice versa (push and pull charges). The Central Bank has scrapped costs in their latest directive...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Ukoloni wa miamala haukubaliki; wananchi tukiwa na msimamo tunaweza kuupinga kwa nguvu utapeli huu; Kapu la VAT 18% linatosha wagawane huko

    Baadhi ya mambo ukiyatafakali yanadhihilisha wazi baina yetu bado tuna imani za kikoloni kichwani! Elimu haijatukomboa kabisa, hatuna ubunifu kichwani kabisa! Ni bure kabisa! Hivi kazi ya VAT ni nini? Na matumizi ya fedha hiyo ni yepi? Hivi kuna sababu gani ya mimi kukatwa 18%ya VAT, Halafu...
  17. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Mimi si Mwanasiasa, ila kwenye hili la Tozo hapana

    Wakuu najua uzima upo wa kutosha sema mtakuwa na stress za Tozo tu nyie. Baada ya kuwasalimu ngoja kidogo na mimi nitie neno. Binafsi mimi si Mwanasiasa wala sijawahi kushabikia chama ila kwenye hili ngoja na mimi nilopoke kidogo. Awamu hii ya sita ambayo inaongozwa na mama shupavu kwango kama...
  18. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Maisha ya wakatwa tozo la miamala katika picha

  19. BAK

    JamiiForums Tanzania Kususia kutumia miamala kuendelee

    Mapato ya kodi ya miamala yalitakiwa yawe 137.5 billions kwa mwezi lakini wamekusanya bilioni 48 tu chini ya nusu ya mapato yaliyostahili. KUSUSIA MIAMALA KUENDELEE. Mkumbukushe ndugu yako, jirani yako na rafiki yako.
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tozo za miamala ni njia ya kufidia pesa zinazokujenga miradi kama Burigi National Park na Ikulu Dodoma?

    Ingekuwa sawa kama ongezeko la tozo za miamala na mafuta kwa wanyonge lingelenga kwenda kununua meli kubwa za uvuvi ili tuvue kisasa kwenye kina kirefu, kununua matrekta kwa wakulima ili walime mashamba makubwa, kuchimba madini ya kimkakati kama chuma au kusambaza nishati ya gesi nchini ili watu...
Back
Top Bottom