kweli

 1. ommytk

  Kuna watu wanaringa kijana una umri miaka 36 hujawahi kutumia choo cha shimo kweli!!

  Wanajf naomba kushare hii story kama Jana tulikuwa njiani toka Shinyanga to Dodoma na wadau wangu tukiwa njiani mshkaji tumbo linamsumbua nikapaki gari kwenye kamji kadogo jamaa aende kujisave tumekaa dakika chache karudi kasema big no apawezi eti choo cha shimo hajawahi kutumia toka azaliwe...
 2. dudu jeupe

  Ushuhuda: Leo nimekutana na kipanga jeuri wa darasani. Kweli hakuna uhusiano wa uwezo darasani na wa maisha halisi

  Kila shule na kila faculty vyuoni ina hawa viumbe wanaitwa vipanga; ni watu ambao wanafanya vizuri sana darasani aidha kwa kutumia jitihada kubwa ama uwezo mkubwa wa akili waliojaaliwa. Tatizo sio kuwa kipanga, tatizo ni kuwa kipanga jeuri, ni wale watu wanaofanya vizuri darasani na kuona kwao...
 3. Mshana Jr

  TANZIA Mzee David Makerege (80) Afariki Dunia Akiwa Chumbani Kwenye Hoteli ya Mbezi Garden Jijini Dar es Salaam

  AFANDE RPC (R)RCO(R)STAFF OFFICER (R)OPP OFFICER (R)OCD MABWEPANDE YAH: TUKIO LA KIFO CHA MASHAKA GBA/IR/142/2021 MLAL: O.A.MSHANGAMA - ASP Mlalamikaji anaeleza kuwa mnamo tarehe 16/1/2021 majira ya saa 18:00hrs akiwa kituo cha polisi Mabwepande alipokea taarifa toka kwa incharge CID Goba...
 4. daVinci XV

  QUANTUM IMMOTALITY: Nadharia ya kukwepa kifo. Je, ni kweli raisi wa urusi PUTIN anaishi milele?

  QUANTUM IMMOTALITY Wasaalam kuna mtaalamu alipata kusema "UBONGO WA MWANADAMU HAUJAWAHI KUWAZA KITU AMBACHO HAKIPO AU HAKIJAWAHI kuwahi KUWEZEKANA AU KUJA KUWEZEKANA" kama hujanielewa kwenye nukuu hiyo utakuja na maswali mengi kwenye baadhi ya vipengele huko chini. Tumejifunza vingi sana...
 5. Nyankurungu2020

  Rais, ni kweli kuwa huwa unakosea kuteua viongozi

  Kama kuna eneo ambalo Watanzania wanakupongeza Rais JPM basi ni kuwa mkweli. Na jana ukiwa Kagera umekiri kuwa kweli huwa unakosea kuchagua viongozi. Hilo la kule Ubungo la watoto wa shule kukaa chini, kusomea kwenye madarasa mabovu tena kuna RC, DC, Mkurugenzi na Mbunge wote wana CCM kweli...
 6. M

  Corona hakuna nchini, lakini majirani zetu wanayo

  Serikali ya Tanzania na hasa kiongozi wetu mkuu amerudia mara nyingi kuwa hatuna ugonjwa wa Covid-19 na wote tumeshuhudia ya kuwa kambi na wodi zilizokuwa zimetengwa zilifungwa tangu mwaka jana.Hili ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu. Jambo moja ambalo binafsi sikubaliani nalo ni hili la...
 7. ommytk

  Moja ya kanuni ukitaka maendeleo uwe na roho mbaya je kweli?

  Wadau juzi nilikutana na rafiki yangu ambaye tumepoteana muda mrefu amepiga hatua kubwa sana kimaisha nikamuuliza katika mazungumzo yetu kauli yake ni moja tu kaka ukitaka kusogea kimaisha toka hapo ulipo unatakiwa uwe na roho mbaya sana utafanikiwa. Hii kauli mpaka sasa naitafakali.
 8. M

  Hivi ni kweli wanaume hawapendi kuombwa hela?

  Wanaume hii tabia ya kuombwa hela ni wote hampendi au wale walala hoi tu? Naomba kujua kwanini wanaume hawapendi kuombwa hela.
 9. Ulisikia Wapi

  Je, ni kweli kwamba matumizi ya majani ya chai ya muda mrefu huharibu kongosho?

  Leo katika pita pita zangu maeneo ya sokoni. Nikiwasikia wamama wawili wakishauriana kwamba waache Matumizi ya majani ya chai na wajikite zaidi katika Matumizi ya viungo vya chai kama mdalasini na vinginevyo kwa sababu majani ya chai eti yanaharibu "kongosho" Je, wakuu hili jambo ni la kweli?
 10. Magnificient

  Eti "Leo Simba Anacheza" ndo tafsida ya Mwanamke kuwa katika Hedhi, Hii sio kejeli kweli?

  Yaani huu msemo unanipa ukakasi kichizi yani! Leo Simba Anacheza ndo maana yake uko period??? Eti unableed. Really? Kisa damu nyekundu? Aaahhh tuachane na huu msemo bhana
 11. tupo doria

  Hivi ni kweli gharama ya dirisha la alminium ni 80,000?

  kuna mtu amenidokeza kwamba dirisha ya aluminum standard size ni 80,000Tsh na si vinginevyo. Je, kuna ukweli wowote.
 12. ommytk

  Nilijiona mjinga sana siku nilipogundua kumbe kina Kipepe na Pimbi sio watu kweli

  Kwanza naanza kwa kucheka zamani kuna gazeti lilikuwa linaitwa Sani lilikuwa kuna watu wanachorwa mle kama hadithi kupelekea mazingira kuona kama ni binadam kweli. Hivi kuna mtu ashawahi kuwaza hivi kama nilivyokuwa nawaza Mimi ahhahaha
 13. J

  Dkt. Bashiru: Siyo kweli kwamba CCM itatumia wingi wao Bungeni kubadilisha Katiba ili kumuongezea muda Rais Magufuli kukaa madarakani!

  Katibu mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru amekanusha uvumi unaoenezwa na wapinzani kwamba wabunge wa CCM watatumia wingi wao bungeni ili kumuongezea Rais Magufuli muda wa kukaa madarakani iwe zaidi ya miaka 10. Dkt. Bashiru amesema Rais Magufuli atahudumu madarakani kwa miaka 10 kwa mujibu wa katiba ya...
 14. ommytk

  Kuna familia kweli hapa mjini DSM hawajui makande?

  Wadau nimeona hili niwape huku na ninyi mpate kushangaa kama Mimi. Leo tulipata ugeni nyumbani kuna rafiki yangu jirani yangu anakaa Masaki alinipigia simu nimtafutie kiwanja huku Kigamboni nikapambana nikapata. Leo amekuja kukagua sasa kaja na wanae wawili mmoja miaka 16 mwingine kama 9 hivi...
 15. koncho77

  Eti ni kweli!!

  Nina uhakika humu ndani wote mnatumia miswaki ya tangu mwaka jana
 16. Replica

  RUNGU: TCRA imeitaka Wasafi TV kusitisha matangazo kwa Miezi Sita (6) kuanzia leo kwa kurusha Maudhui ya utupu

  TCRA imeitaka Wasafi TV kusitisha kurusha matangazo kwa miezi sita kuanzia leo kutokana kwa kukiuka kanuni za utangazaji kwa kurusha maudhui ya utupu. Maamuzi hayo yanakuja kufuatia maudhui ya picha jongefu yaliyomwonesha msanii wa bongo Fleva Gift Stanford maarufu kama Gigy Money akicheza...
 17. Infantry Soldier

  Plaza de la Revolución: Jela za siri, ndogo na zilizotisha chini ya jengo la wanamapinduzi wa kweli. It's now Cuba's Ministry of the Interior

  Plaza de la Revolución: Jela za siri, ndogo na zilizotisha chini ya jengo la wanamapinduzi wa kweli. It's now Cuba's Ministry of the Interior. Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa JamiiForums. Hilo jengo unaloliona hapo juu, lenye picha kuuuubwa ya Ernesto "Che" Guevara...
 18. RUGAHIMBILA E R

  Majina ya miaka kwa lugha ya Kihaya

  Wahaya tuna kawaida ya kuibatiza miaka kabla haijaanza. Mwaka 2011-tongana na sasa huu mpya 2012 ni wechonche. Mulamanya ba tata na ba mawe twechonche. Nyegera "wechonche" 2012 ---- 1959 - Bilemolengire 1960 - Ija webonere 1961 - Bilye oyekomire 1962 - Gumisa omwoyo 1963 - Otura obungya...
 19. Ulisikia Wapi

  Je, Hivi ni kweli kuna baadhi ya sabuni za Unga huwa zinapausha nguo ukizitumia zaidi ya mara moja au mara kwa mara?

  Wakuu habari za Wakati huu Twende kwenye mada Nilikuwa nahitaji kufahamu kama ni kweli kuna baadhi ya Sabuni za Unga unapozitumia mara kwa mara au zaidi ya mara moja huwa zinapausha Nguo? Kama ni kweli, Je ni Kampuni ipi ambayo Sabuni zao huwa zina Ubora ambao pia hauna athari kwa mtumiaji.
 20. mama D

  Ndoa ni jukumu linalohitaji upendo wa kweli na kujitoa

  Ndoa ni chama cha majukumu makubwa sana, majukumu ya kujenga familia na kujenga jamii bora na baadae taifa bora. Tulio kwenye ndoa tupongezane na wanaotegemea kuingia chamani mjue tuu hili ni jukumu zito lenye raha na starehe ndani yake na linalohitaji watu wawili wenye upendo wa kweli, upendo...
Top Bottom