tigopesa

  1. Zekoddo

    Namna ya kuongeza muda wa Maongezi (Vocha) mitandao mingine kutoka Tigopesa

    Wakuu naomba namna ya kuongeza vocha(muda wa Maongezi other networks via Tigopesa. Maana najaribu sana naona nafeli
  2. myyola

    App ya Tigopesa ni best kuliko App zingine za mitandao ya simu

    Kwanini app ya tigopesa ni nzuri kwasababu ipo security pia ina uwezo kulunch bila Internet (km huna)tofauti na wengine mpaka uwe na bando. Pia unaweza set badala kufungulia password unatumia fingerprint au face id kutokana device yako. Nini maoni yako
  3. Wakili wa shetani

    Mpesa, Tigopesa et al, ni benki?

    Hivi hizi mobile money platforms ni benki? Zinafanya shughuli zote za kibenki. Zinakopesha, zinatunza pesa na kuwezesha uhamishaji wa pesa. Je, na zenyewe ni benki? Ikitokea zimeanguka itakuwaje pesa za waliotunza? Mikopo wanayotoa ina bima?
  4. Uwesutanzania

    TIGOPESA kwenda benki ada zenu sio rafiki

    TIGOPESA mnazingua sana kwenye ada zenu za kuamisha PESA kwenda BENK KAMA NMB. Yaani ada mnayokata hapo sio rafiki kabisa, na sitegemei kama kuna wateja wanayotumia hii njia na kama wapo basi labda hamuelewi na kama mnaelewa basi wenda huduma za benk zipo mbali na eneo hilo. Kwanini na sema...
  5. sokoniinc

    Je unajua kuhusu hili? Ugunduzi mpya wakitaalam mfumo wa malipo kwenye tovuti yako kwa wale wenye kampuni iliyosajiliwa

    Kama unamiliki kampuni Iliyosajiliwa na una website yeyote ya mauzo mtandaoni. Unaweza ukaendelea kusoma. Kwa wale wenye website tunajua kuwa, tatizo kubwa lililopo kwa sasa ni mfumo wa malipo. Mifumo ya malipo iliyopo haimruhusu mtanzania kuweza kutumia tovuti yako. Na kufanya manunuzi ya kitu...
  6. Johnny Sins

    Anayejua jinsi ya kulipia bima ya afya NHIF kupitia huduma ya TIGOPESA

    Habarini jamani, Kama kuna mtu anajua jinsi ya kulipia huduma ya NHIF kupitia TIGOPESA naomba maelezo, maana nilisahau kuwalipia madogo, kwenda ofisini kwao uvivu😬
  7. 2019

    Lipa na M-Pesa ni upuuzi mtupu, hongereni sana Tigo

    Habari wanajamvi? Mimi niko powa kabisa, mimi ni mfanyabiashara na dukani kwangu nimeweka huduma za lipa kwa simu. Huduma toka Tigo lipa kwa tigo pesa iko powa sana, baada ya malipo unapotaka kutoa pesa zako kwa sasa hakuna makato kwa mfanyabiashara. Kwa sababu ya changamoto iliyopo kwa...
  8. Q

    Anayefahamu kuhusu API za tigo pesa na Mpesa

    Habarini ndugu zangu! Kwa anayefahamu kuhusu hizi API za tigopesa , Mpesa , Je? Huwa ni za kulipia?na kama ni kulipia ni Tsh ngapi?
  9. Investaa

    Laini ya wakala ya tigopesa

    NANUNUA LAINI YA WAKALA YA TIGOPESA, KAMA UNAYO NICHEK KWA 0629251988. NIPO DAR
  10. Roving Journalist

    Mwigulu Nchemba: Serikali imekusanya bilioni 48 kutoka kwenye Tozo za miamala ya simu kwa wiki nne

    Wakuu, Waziri wa Fedha, Dr Mwigulu Nchemba anazungumza na waandishi wa habari muda huu kuhusu miradi ya Serikali pamoja na Tozo za miamala ya simu pamoja na mafuta. Kuwa nami kukujuza yanayojiri ========== Mwigulu Nchemba-Waziri wa Fedha na Mipango =▷ Itakuwa aibu mtanzania yoyote alie hai...
  11. Hismastersvoice

    Kwanini TIGOPESA wananilazimisha nitoe pesa kwenye akaunti yangu?

    Tangu tozo mpya zilipoanza nimesusa kutoa pesa kwenye akaunti yangu, chakushangaza Tigo wamekuwa wakinitumia ujumbe nitoe pesa vinginevyo wataifunga! Wakiifunga inamaana wao watakomba pesa yote ndani ya akaunti yangu? Na kwanini wakombe wakati mimi niko hai kwani namba yangu ya Tigo ninaitumia...
  12. Miss Zomboko

    Mwigulu: Tumesikia malalamiko ya Watanzania kuhusu tozo za miamala na Rais ametoa maelekezo ya kuzitazama upya

    Mhe. Rais naye ameguswa na jambo hili, amesikia maoni ya Watanzania wote, ameshatoa maelekezo kwamba tuyafanyie kazi haya malalamiko ambayo wananchi wanayatoa." - Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba. Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba, amesema jambo hilo tayari limefika...
  13. NnkoJR

    SoC01 Tozo mpya zinauma, lakini zinaweza kuwauma CCM,upinzani ukasongesha

    ALHAMISI ya Julai 15, 2021 inaweza kuwa moja ya siku yenye kumbukumbu ya kuchosha akili za mamilioni ya Watanzania, ambao simu imekuwa tegemeo lao la kufanya miamala ili kufanikisha shughuli mbalimbali za kibinafsi na hata maendeleo yao. Hii ni kutokana na kuanza kutekelezwa rasmi kwa tozo mpya...
  14. Malaika_financials

    Naomba kufahamu biashara ya Uwakala wa TIGO-PESA

    Habari wapendwa, Poleni na majukumu, bado nipo kwenye harakati za upambanaji hivyo nahitaji msaada wenu. Nataka kuanza biashara ya Tigopesa, Je what are the procedures ya kupata line ya wakala wa Tigopesa kwa yeyote anayefahamu. Asanteni. Ushauri wa mdau Nyuzi unaoshauriwa kusoma...
  15. Magnificient

    Ada ya kutuma Tsh 80,000 kutoka Tigopesa kwenda Equity bank ni Tsh 5,000. Tunaenda mbele au tunarudi nyuma?

    Leo kutokana na hizi mvua pamoja na kuwahisha pesa kwenye akaunti nikaona nihamishe Tsh 80,000 kutoka Tigopesa kwenda akaunti yangu ya benki, Equity Bank. Mweeeeeee...! Nakuta ada ni Tsh 5,000 kwa hako ka muamala. Hivi mbona ni kama hatuko serious na mapinduzi ya kiteknolojia? Moja kati ya...
  16. A

    Nahitaji Till za Mpesa na Tigopesa

    Nina shida na lines ya Mpesa na Tigopesa, nina full documents zote na niko Dar es salaam. Mwenye namba ya mawakala wakuu wa Mpesa na Tigopesa naomba au kama unatengeneza hizi lines nijulishe kwa namba 0625828267
  17. R

    Limit ya Tigopesa ni kiasi gani?

    Habar wadau, Naombeni kujua limit ya kuweka pesa kwenye account ya tigopesa ni sh ngapi!? Nawasilisha
  18. S

    Huduma ya Bima Mkononi kupitia Tigo Pesa, ni ushindi mawazo tunayotoa humu yanawezekana na pia yanatekelezeka Serikali ikidhamiria

    Tarehe 9/10/2020 kupitia Jukwaa la Siasa hapa JamiiForums, nilitoa pendekezo /ushauri kwa serikali juu ya namna gani wanaweza kutumia simu za mkononi kuanzisha Bima ya Afya na hata kugharamia elimu ya juu. Serikali kupitia simu za mkononi, inaweza kukusanya fedha na kuanzisha Mfuko(Fund) wa...
  19. Kaliro X

    Eneo la kufanyia biashara ya M-pesa, Tigopesa etc

    Natafuta eneo lililochangamka kiasi kufanyia biashara ya Mobile money, kama ww ni owner au unaweza kuniconnect na owner, nitashukuru. Mm ni mkazi wa Temeke so naprefer maeneo around Temeke, Tandika, Mbagala, Kijichi, Gongo lamboto au maeneo ya jirani. Kama ni chumba/frame ni sawa au hata kama...
  20. Uzalendo Installer

    Huu wizi kupitia Tigopesa, naomba Tigopesa mnisaidie majibu hapa

    Kuna watu wawili wamekuja kutoa pesa kwangu 'wakala' .. wa kwanza katoa 450,000 na wa pili katoa 500,000 Wote hawa namba yao ni moja 252659 234042 lakini majina ni tofauti. Mmoja jina lilikuwa 'Daniel Michael' na wa pili jina lilikuwa ' Jonh Joseph'. Wakati wa kutoa waliomba namba ya wakala na...
Back
Top Bottom