malkia elizabeth

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mwanamwana

    KWELI Pamoja na Ulinzi mkali jumba la kifalme Uingereza, kuna mwamba alipenya mpaka chumbani kwa Malkia Elizabeth

    Wote mnaweza kufikiria ni namna gani mtu asiye mkazi au mfanyakazi au mwenye appointment kwenye makazi rasmi ya Malkia wa Uingereza angeweza kupenya bila kuonekana, akafanikiwa kuingia ndani ya jumba hilo, akapiga misele kidogo, akaingia ofisi ya Malkia Elizabeth kufyonza mvinyo maalum wa...
  2. mwanamwana

    UZUSHI Hastings Kamuzu Banda alikuwa daktari binafsi wa Malkia Elizabeth na alihasiwa ili asitembee na Malkia

    Nimekuwa nikisikia kuwa Rais wa zamani wa Malawi, Dkt. Hastings Kamuzu Banda aliwahi kuwa Daktari wa Malkia wa Uingereza na alihasiwa asije akatembea na Malkia Elizabeth na kuzaa naye. Kuhasiwa kwake huko kulipelekea Dkt. Kamuzu Banda mpaka anafariki dunia mwaka 1997 akiwa na umri wa miaka 99...
  3. Sildenafil Citrate

    RIPOTI: Hii ndio sababu ya kifo cha Malkia Elizabeth II

    Cheti cha kifo cha Malkia Elizabeth II kimethibitisha kuwa alifariki kutokana na Uzee Septemba 8. Ikiwa ni ingizo la Rekodi za Kitaifa za Scotland, lililochapishwa leo, na kutiwa saini na mtoto wa Malkia, Princess Royal, ambaye alikuwa naye katika saa zake 24 za mwisho. Kifo cha marehemu Queen...
  4. Komeo Lachuma

    Afadhali huu Msiba wa Malkia Elizabeth umemkuta Rais Samia. Dkt. Magufuli ninavyomjua asingeenda. mama kafungua nchi

    Nafarijika sana napomuona Rais wangu samia anajichanganya. Anafungua nchi sana aisee... Nimemwona kwenye mwendokasi la huko England akienda msibani kwa Malkia Elizabeth. Afadhali Malkia kafa kipindi hiki. Ingekuwa miaka miwili ago. Magufuli namjua asingeenda. Hivyo nchi isingefunguka...
  5. Mag3

    Mazishi ya Malkia Elizabeth 11 wa Uingereza...hawa ndio walipewa mialiko rasmi kuhudhuria!

    Naomba kuchukua nafasi hii kutoa ufafanuzi wangu binafsi kuhusu utata uliojitokeza kuhusu mazishi ya Malkia wa Uingereza Queen Elizabeth 11 siku ya leo! Wapo viongozi walioalikwa rasmi kuhudhuria mazishi hayo na wapo walioalikwa jumla jumla kwa kuhudhuria kama viongozi wa nchi za Jumuiya ya...
  6. BARD AI

    Wageni 2000 na viongozi 500 kumzika Malkia Elizabeth II leo

    Malkia Elizabeth II atafanyiwa mazishi ya kiserikali ambayo yatafanyika leo Septemba 19, 2022 katika eneo la Westminster Abbey, jijini London. Mchana wa leo, Jeneza la Malkia Elizabeth II litasafiri hadi Windsor Castle kwa ibada ya mazishi na kisha atazikwa katika mazishi ya faragha. Rais...
  7. Sildenafil Citrate

    Viongozi 500 kutoa heshima za mwisho kwa Malkia leo

    Rais wa Marekani Joe Biden na Samia Suluhu wa Tanzania ni miongoni mwa viongozi waliowasili jijini London tayari kuhudhuria mazishi ya kitaifa ya Malkia Elizabeth II siku ya Jumatatu. Viongozi hao ni miongoni mwa wakuu na viongozi 500 wa kigeni wanaokuja London kwa tukio linalowakutanisha...
  8. Mohamed Said

    Azam TV Kipindi Maalum Cha Malkia Elizabeth (1926 - 2022) Jaffar Mponda na Mohamed Said Leo Usiku Saa Tatu

    ZUMARI TV AZAM: KIPINDI MAALUM CHA MALKIA ELIZABETH (1926 - 2022) JAFFAR MPONDA NA MOHAMED SAID LEO USIKU SAA TATU Picha ya kwanza Malkia Elizabeth 1953. Picha ya Pili barua ya viongozi wa TAA kwenda kwa Malkia Elizabeth wakimpongeza kwa kuwatawazwa kuwa malkia 1953. Mwandishi kulia akiwa nje...
  9. M

    Picha: Balmoral Castle ni kwikwi!

    Balmoral Castle mzinga wa mjengo. Hope watoto hawatagombania urithi kama kwa Lyatonga au Dr Machache.
  10. Championship

    Je, Rais Putin ataenda kwenye mazishi ya Malkia Elizabeth?

    Hili ni swali najiuliza. Diplomasia na mahusiano ya miaka mingi yataweza kupotezwa kwasababu ya ugomvi kule Ukraine? Pengine muda utatupatia majibu.
  11. Yericko Nyerere

    Kwa Tanzania ni Muhimu kujua haya katika Maombolezo ya Malkia Elizabeth

    Hii picha ni miaka ya 1980+ mwanamfalme wa Uingereza Prince Charles alipozuru uwanja wa ndege katika Mji wa Njombe mkoani Iringa akienda kukagua ujenzi wa barabara ya Makambako hadi Songea. Kushoto kwa Mwanamfalme mwenye kombati ya kijivu ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mh. Athuman Kabogo aliyeshika...
  12. Yussufhaji

    Malkia Elizabeth II na Afrika

    “UHUSIANO WENYE PANDE MBILI ZA SARAFU” 10/09/2022 Ukiniuliza kuhusu uhuisano wa Malkia Elizabeth wa Pili na Afrika basi nitakujibu kuwa ni uhusiano wenye pande mbili za sarafu, kwa upande wa kwanza wa sarafu umegubikwa na masuala tata kama:- Ukoloni; Hakuna shaka yeyote kuwa lawama za...
  13. Mshana Jr

    Malkia Elizabeth kalala kuzimu. Je, karma itachukua mkondo wake?

    Dibaji Karma ni imani ya kilimwengu ya kipagani na waamini miungu. Lcha ya kuwa ni imani lakini pia ni kanuni yenye kuakisi uhalisia. Kwamba baya hulipwa kwa baya na jema hulipwa kwa jema. Kiwango cha mabaya ama mema ndio kitaamua utakuwa nani maisha yako ya baadae ama yajayo! Hakuna kitu...
  14. Mohamed Said

    Viongozi wa TAA na Malkia Elizabeth 1953

    TAA, GAVANA EDWARD TWINING NA SERIKALI YA MALKIA ELIZABETH 1953 Baada ya kupata taarifa ya kifo cha Malkia Elizabeth nimekifungua kitabu cha Abdul Sykes (1998) kumtafuta Malkia. Nimekuta nimemtaja Malkia Elizabeth sehemu kadhaa ndani ya kitabu kama mtawala wa Tanganyika. Tuanze na pale Julius...
  15. mshale21

    Rais Samia atangaza siku 5 za maombolezo kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth aliyekuwa Mkuu wa Nchi ya Tanganyika

    Rais Samia atangaza siku tano za maombolezo kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II kilichotokea tarehe 8 Septemba, 2022. Maombolezo hayo yataanza tarehe 10 Septemba hadi tarehe 14 Septemba. Katika kipindi hicho bendera za Tanzania zitapepea nusu mlingoti, ikiwa ni pamoja na kwenye balozi zetu...
  16. R

    Rais Uhuru atangaza Siku Tatu za Maombolezo ya Kitaifa kwa heshima ya Malkia Elizabeth

    Katika taarifa ya Ijumaa, Rais anayeondoka alibainisha kuwa kipindi cha maombolezo kitaanza usiku wa kuamkia Ijumaa, Septemba 9, 2022 na kumalizika, machweo, Septemba 12. Rais Uhuru Kenyatta ametangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa kuadhimisha maisha na nyakati za Malkia Elizabeth II...
  17. MamaSamia2025

    Malema na Waafrika wengine wanaoonyesha chuki zao kwa mwendazake Malkia Elizabeth ni wavivu wa kufikiri

    Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Ninaandika nikionyeshwa kusikitishwa sana na matamko yanayotolewa na watu mbalimbali hasa wanasiasa maarufu wa kiafrika kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth wa Uingereza. Julius Malema wa SA pamoja na watu wengine wameonyesha chuki zao kwa hoja za mambo...
  18. Dr Matola PhD

    Kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II, je tunaweza kufungua codes za kifo cha Princess Diana?

    Wakuu mtakumbuka kuna tetesi na longolongo nyingi zilihusishwa na kifo cha Princess Diana kwamba kilipangwa, na sababu ni kwamba Princess Diana Mke wa Prince Charles alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mtoto wa tajiri Dodi ambaye ni jamii ya wahindi wa Pakistani kama sikosei na pia ni waislamu...
  19. Mohamed Said

    TAA Gavana Edward Twining na Serikali ya Malkia Elizabeth, 1953

    TAA, GAVANA EDWARD TWINING NA SERIKALI YA MALKIA ELIZABETH 1953 Baada ya kupata taarifa ya kifo cha Malkia Elizabeth nimekifungua kitabu cha Abdul Sykes (1998) kumtafuta Malkia. Nimekuta nimemtaja Malkia Elizabeth sehemu kadhaa ndani ya kitabu kama mtawala wa Tanganyika. Tuanze na pale Julius...
Back
Top Bottom