siku tano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Siku tano zimepita tangu Nabii Tito akamatwe, lakini hadi leo hajapandishwa mahakamani.

    Nabii Tito tangu akamatwe siku ya Jumamosi hadi leo hajafikishwa kwenye mahakama yoyote. Tunaomba Polisi wamwachie mara moja au wampandishe mahakamani.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Heche: Tumekusanya Sh milioni 120 kwa siku tano

    CHADEMA wakusanya Sh120 milioni kwa siku tano- Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ameyasema hayo leo alipozungumza na wazee wa Mkoa wa Mara leo Julai 17.
  3. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Elfu 30 yangu nimeitunza kabisa ya kula siku tano mfulilizo

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Sisi ambao ni mpaka uingie mjini ndo upate hela ya kula yaan usipoingia mjini basi huli, huwa mda mwingi ni waoga sana. Baada ya leo kupata habari kwamba Tesha katikisa nchi kama ilivyokuwa imetapakaa huko mtaan, nikaenda kwa wadeni wangu...
  4. shuka chini

    JamiiForums Tanzania Simba akichukua kombe, nipigwe ban ya siku tano

    Habari wadau . Mimi kama mdau wa soka nimeumia sana kitendo cha mechi kupelekwa zanzibar ni hujuma za wazi kabisa Yani tff na serikali wamefanya makusudi kujichelewesha kufanya ukarabati ili mechi ipelekwe zanzibar kumfurahisha mama . Kwa kilichotokea nasema hivi simba nendeni mkakamilishe...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mahakama yaamuru Dkt. Slaa kufikishwa Kisutu Machi 4 ili kutolewe uamuzi wa kesi inayomkabili

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru kutolewa kwa amri ya Mwanasiasa Mkongwe, Dkt. Wibroad Slaa (76) kufikishwa mahakamani ifikapo Machi 4, mwaka huu ili uweze kutolewa uamuzi wa kesi hiyo itakuwa inasikilizwa kwa njia gani. Uamuzi huo ulitolewa leo mahakamani hapo na Hakimu Mkazi Mkuu...
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nafanya delivery ya kuweka Playlist ya nyimbo za dini kwenye Flash ambayo utasikiliza kwa siku tano hujamaliza

    Nafanya delivery ya kuweka Playlist ya nyimbo za dini kwenye Flash. Ukiplay playlist nzima utasikiliza kwa siku tano hujamaliza. Sifa ya Playlist Ni nyimbo zote nzuri sana pengine hujawahi kusikiliza. Kwakweli utaburudika utaabudu kufurahi na kupata amani ya moyo wako. Piga hii namba...
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania Israel yapiga kura na kukubali kusitisha mapigo kwa siku tano ili HAMAS waachie mateka 50

    HAMAS wameachiwa unafuu wa mapumziko ya kipigo kwa siku nne, nayo itaachia mateka 50 wa Israel na imeambiwa itaongezewa siku moja kwa kila ikiachia mateka kumi kwa siku, ila baada ya hapo kipondo kitaendelea, na pia hamna cha wafungwa kuachiwa kutoka kwa Israel. Pia haijaelezwa mateka wasio...
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Siku tano ambazo HAMAS wanaomba waachiwe zitawasaidia kivipi?

    Naona mkuu wa HAMAS anasema yupo kwenye hatua za mwisho kuishawishi Israel isitishe mapigo kwa siku tano na yenyewe itaachia mateka 100. Japo wanajifichia kwenye mgongo wa misaada, ila kimkakati hizo siku tano zitawasaidiaje? Maana ni siku chache sana hata kutoroka kutashindikana. ==========...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania HAMAS waomba Israel ikisitisha mapigo kwa siku tano wataachia mateka 70

    Jamaa wameongeza idadi, mwanzo walisema wataachia 15, sasa wameongeza idadi hadi 70. --- Hamas Says Ready To Release 70 Hostages In Return For 5-Day Truce The armed wing of Palestinian group Hamas said on Monday they told Qatari mediators that the group is ready to release up to 70 women and...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi ili afukuzwe kazi kwa sababu ya UTORO/KUTOKWEPO KAZINI, Inatakiwa Asiwepo Kazini Kwa Zaidi ya Siku Tano (5) za Kazi Bila Ruhusa

    MFANYAKAZI ili Afukuzwe Kazi Kwa Sababu ya UTORO/KUTOKWEPO KAZINI, Inatakiwa Asiwepo Kazini Kwa Zaidi ya Siku Tano (5) za Kazi Bila Ruhusu au Sababu ya Msingi. Inaletwa kwako na Nyagawa, J (Mwanasheria) Wazee wa Mahakama ya Rufani Wamekubali Kupitia (Review) Upya Maamuzi Yao, Watoto wa Mjini...
  11. mshale21

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atangaza siku 5 za maombolezo kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth aliyekuwa Mkuu wa Nchi ya Tanganyika

    Rais Samia atangaza siku tano za maombolezo kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II kilichotokea tarehe 8 Septemba, 2022. Maombolezo hayo yataanza tarehe 10 Septemba hadi tarehe 14 Septemba. Katika kipindi hicho bendera za Tanzania zitapepea nusu mlingoti, ikiwa ni pamoja na kwenye balozi zetu...
Back
Top Bottom