Kwa Tanzania ni Muhimu kujua haya katika Maombolezo ya Malkia Elizabeth

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,977
20,243
Hii picha ni miaka ya 1980+ mwanamfalme wa Uingereza Prince Charles alipozuru uwanja wa ndege katika Mji wa Njombe mkoani Iringa akienda kukagua ujenzi wa barabara ya Makambako hadi Songea.

Kushoto kwa Mwanamfalme mwenye kombati ya kijivu ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mh. Athuman Kabogo aliyeshika madaraka baada Dr. Wilbert Kleruu kuuawa na Mkulima Saidi Mwamwindi siku ya sikukuu ya Noeli 25/12/1971.

Na kulia kwa Mwanamfalme mwenye kombati ya kaki ni Mh Jackson Makweta Mbunge wa Njombe. Huu ulikuwa ndio mradi mkubwa zaidi Afrika kufadhiliwa na Uingereza.

Leo mwamfalme ametawazwa kuwa mfalme wa Uingereza kufuatia kifo cha Mama yake Malkia Elizabeth wa Pili.

Leo tunapoomboleza kifo cha Malkia Elizabeth wa Pili wa Uingereza, tunawajibu wa kutambua kuwa msiba huu kwa Tanganyika na Zanzibar ni msiba mkubwa unaotuhusu moja kwa moja.

Hasa tukirejea historia ya Uhuru wa Tanganyika tunayo sababu na ni haki yetu kutambua mchango wa kila mtu alivyoshiriki katika uhuru huo, haijalishi mapokeo yatatuumiza au kutufurahisha, Tusipoandika historia yetu, tusilaumu tukiandikiwa.

Hebu turejee kwenye Kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi, Kwa mfano, hali ya Tanganyika kuwa eneo la kudhaminiwa, ilisababisha Uingereza kutokubali walowezi wengi kuja hapa.

Vivyo hivyo, hali ya Afrika ya Kusini Magharibi kuwa eneo la kudhaminiwa, ilizuia sehemu hii kuwa jimbo la Afrika Kusini kuwa msingi kwa uhuru wake kama nchi ya Namibia.

Kanisa halikuwa nyuma na mwito wa dunia kuyaachilia makoloni na nchi hizo kuwa huru, Jukumu la kuandaa nchi hizo kupata uhuru liliratibiwa na mashirika yake tanzu yakiongozwa na shirika la kijasusi la kanisa hilo liitwalo (Jesuiti) kwa ustadi mkubwa bila baadhi ya makoloni kujua.

Lakini, lilikumbana na kiunzi/ukinzani hasa kufuatia mnyumbuliko wa kiimani ndani ya Ukristu, kufuatia nguvu ya Cambridge (Anglikana).

Mgogoro huo ulikuzwa kwa kuwa Anglikana nao tayari walikuwa wameaandaa shirika lao la kijasusi la Fabian Society, maalumu kwa minajili ya kuwaandaa vijana katika makoloni ya Uingereza hususani barani Afrika, kukabidhiwa nchi zao na kwa Tanganyika.

Nyaraka za shirika la Ujasusi la Uingereza la MI6 chini ya Fabian Society wao walikuwa wamemuandaa Chifu David Kidaha Makwaia huku Nyaraka za shirika la Ujasusi la Kanisa Katoliki la Jesuti za mwaka 1942 kupitia kwa Kasisi Arth Wills na Wash zinaonyesha kwamba wao waliamini Kambarage Burito Nyerere ndiye alikuwa mtu sahihi wa kukabidhiwa nchi ya Tanganyika baada ya Uingereza kuondoka.

Pia unaweza kurejea katika kitabu cha Vatican Assassins cha Eric Jon Phelps akieleza nguvu ya Vatican katika kudhibiti ulimwengu, Phelps anakazia katika kwakueleza harakati za ukombozi duniani hasa Afrika na nafasi ya kanisa chini ya Jeisuti.

Upande wa George Washington CIA walimtaka Chifu Thomas Mariale, Naaam sasa ni mapambano ya kijasusi, kwani Fabian Society walimtaka Chifu David Kidaha Makwaia, Jesuits wakamtaka Julius Nyerere.

Uthibitisho huu unapatikana katika Taarifa za siri za CIA zilizowekwa wazi (approved) miaka ya 1953 zinazoonyesha kwamba shirika hilo liliamini kwamba baada ya Wakoloni Waingereza kuondoka Tanganyika, mtu aliyepaswa kukabidhiwa nchi alikuwa ni kiongozi wa Wachaga Thomas Mariale.

Barani Afrika, Jesuiti ilibadili mbinu kwa kuwa dola la Kiingereza, lilikuwa kikwazo kwa sehemu fulani. Haikujikita kwenye dola, bali ilisimama katika muundo wa shirika likifanya shughuli zake ndani ya Kanisa. Dhamiri shahiri, ilikuwa lazima itimie, kama ilivyoelezwa mwanzoni kuwa hawa ndio wabobevu wa elimu ya juu kwa kila nyanja na ndio wanaotawala ulimwengu. Kwa hiyo, vivyo hivyo vikwazo havikukwamisha wao kufikia malengo.

Na Wakati wa vuguvugu la ukombozi wa Tanganyika baada ya mvutano wa kanisa katoliki chini ya shirika la Jesuiti wakiwa na kijana wao waliyemtengeneza toka utotoni huko Mwitongo hadi Makerere, walikuwa na jina la Kambarage Nyerere waliyemuongezea jina kule Tabora akaitwa Julius Kambarage Nyerere, na upande mkoloni Anglikana chini ya Fabian Sociaety wakiwa na jina la Chifu Kidaha, huku CIA wakiwa na Chifu Thomas Mariale kwamba nani asimamie akabidhiwe uhuru,

Hatimae Katoliki walishinda na Anglikana wakalazimika kuunga mkono msimamo huo, ndipo ilipotokeza FABIAN SOCIETY, na mwelekeo wa Julius Nyerere masomoni Uskochi. FABIAN SOCIETY ilianzishwa na wenye fedha kuhakikisha mageuzi duniani (transformation) badala ya mapinduzi (revolution) duniani. FABIAN SOCIETY katika tafsiri ya lugha ya kitumwa ni (The Fabian Society is a British socialist organisation whose purpose is to advance the principles of democratic socialism via gradualist and reformist effort in democracies, rather than by revolutionary overthrow"). Source >>> Fabian Society - Wikipedia

Hawa ndio waliombeba Mwalimu Julius Nyerere mabegani mwao kutoka Mwitongo hadi Edinburgh na kurudi Magogoni na kumjenga vile alivyokua. Ms Weaken aliyekuwa mshauri wa Mwalimu Nyerere alikuwa sehemu ya familia hiyo, hii ni kwamujibu wa nyaraka ya urithi wake aliyomwandikia Julius Nyerere. Afrika ya leo inakwenda wapi? Vijana wa Afrika leo wanaishi ulimwengu gani na matarajio yao ni yapi?

Hili ni fumbo la imani kutoka kwa Mwabudu Mizimu wa Mbutu Block E. Kigamboni.

Usikose Kusoma VITABU hivi:

1. Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi, Bei ni 80,000/= (Kitabu Maalumu kwa wafanyamaamumzi/waliopevuka kiakili)

2. Mtu baada ya Mtu, Bei ni 80,000/= (Kitabu kwaajili ya wote). KIKO MITAMBONI.

3. OPARESHENI Moscow - Ukraine, Bei ni 80,000/= (Kitabu kwaajili ya wote). KIKO MITAMBONI.

4. Strategy: The Road to Power, Bei ni 1,700,000/= (Kitabu Maalumu kwa wagombea Ubunge na Urais)

5. Mapambano ya Madaraka, bei ni 30,000/= (Kitabu Maalumu kwa Wagombea uenyeviti Mitaa/vijiji, Udiwani na watu wote)

Nunua kwa:

LIPA NAMBA TIGO 7489022
LIPA NAMBA VODA 5352627
TIGOPESA kawaida 0715865544

(YERICKO NYERERE)

CRDB BANK AC No 0152241955000 (YERICKO YOHANESY NYERERE)

(Dar ni free delivery)
Nje ya Dar nauli 8,000/=
Kwamaelezo zaidi piga 0715865544

Kwa watumiaji wa ANDROID nenda Play Store Download sasa Application yetu ya YerickoNyerereApp uweze kujisomea vitabu vyote kwa wiki 5,000/=, Mwezi 10,000/=, Mwaka 30,000/= tu. Link kwenye BIO: Yericko Nyerere App - Apps on Google Play

IMG_20220910_132833_496.jpg
IMG_20220910_133217_500.jpg
FB_IMG_1662810142884.jpg
 
View attachment 2352705View attachment 2352706View attachment 2352707
Mlioelewa kilichoandikwa naomba mnifafanulie PM nami nielewe.
 
Hao wanaokataa kuomboleza, mbona siyo BAVICHA? Wengi ni chawa wa marehemu. Wanasema eti kwa nini Uingereza haikuomboleza kifo cha Magufuli!!
Na wewe unaye omboleza ukiitwa kibaraka wa wakoloni inabidi usiwe na sababu za kukataa.maana unaona wote wanaopinga swala la kuomboleza kifo cha lidikteta liuaj Elizabeth II ni chawa wa marehemu magufuli sijui na malema wa SA nae ni chawa wa Magufuli, sijui na wahindi nao ni chawa wa Magufuli , sijui na wa irishi wanao shangilia kifo chake kwa ndelemo na vifijo nao ni chawa wa Magufuli ?

N.b: kazi ya vibaraka inafahamika hata wakati wa ukoloni ni kulamba makalio ya wakoloni endeleza hiyo kazi yako chunga lakini usije ukalamba vinyesi vyao ukidhani siagi zipo makalioni.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom