Nimetumiwa ujumbe na mtendaji wa kata nifuate kibao cha namba za makazi niende na shilingi 5000 ya kulipia , ilipo nyumba nyingine mtendaji kanitumia meseji niende nikalipie 5500 , hivi, hivi vibao vya namba za anuani ya makazi vinalipiwa tena?
Serikali ya awamu ya sita jamaniiiii mbona hivyo...
Hivi hii kampuni kuanza kukata makato ya shilingi 10000 badala ya 1000 ya makato ya kodi ya majengo ina maana gani , maani ni tofauti na agizo la Serikali kuwa kodi ya italipwa majengo kwa makato ya shilingi 1000 kila mwezi kwa miezi kumi, sasa huu utaratibu wa kukata 10000 , na kila mwezi 1000...
Katika hali ya kushangaza kanisa lililotikisa mkoani Tabora kwa karibu miaka miwili kupiga muziki kwa sauti kubwa sana, mahubiri ya kashfa kwa dini zingine kuhubiri mahubiri ya ndoa hadharani limebainika kutokuwa na kibali wala usajili wa kuendesha ibada mkoani Tabora.
Licha ya malalamiko ya...
Katika hali ya Kushangaza sana mamlaka za mkoa wa Tabora zimeruhusu kanisa la wahuni kujengwa katikati ya barabara na kuziba barabara katika mtaa wa Kariakoo , kata ya Kitete , wilaya ya Tabora mjini , mkoa wa Tabora .
Licha ya kikundi hicho kinachojiita kanisa kutokuwa na kibali cha ujenzi...
Kama mtakumbuka mwezi mmoja au miwili iliyopita nilileta taarifa ya kanisa lililojengwa katikati ya barabara na kupiga muziki mkubwa sana masaa 24 mtaa Kariakoo kata ya Kitete.
Baada ya viongozi wa mkoa, wilaya, afisa mipango miji manispaa, mtendaji kata, mwenyekiti wa mtaa, afisa mtendaji wa...
Mama Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anategewa kuwa mgeni rasmi siku ya uzinduzi wa kitabu Cha maisha ya rais wa awamu ya pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi al maaruf Mzee Rukhsa.
========
Rais wa Tanzania Samia Suluhu anatarajia kuwa Mgeni rasmi kesho May 08, 2021...
Kufuatia ripoti za kanisa lililojengwa katikati ya barabara na kupiga muziki mkubwa sana masaa 24 huko kata ya Kitete , mtaa wa Kariakoo Tabora imebainika kuwa kinachoitwa kanisa ni genge la wahuni vijana watupu wasiozidi miaka ishirini na tano ndio wanaoendesha uhuni huo
1. Kinachodaia kanisa...
Sakata la kanisa la Bethel Kariakoo Tabora kata ya Kitete, Lililoripotiwa kupiga muziki mkubwa sana Leo limechukua sura mpya baada ya mchungaji Jackson kuendelea kupiga muziki mkubwa sana huku akitamba kuwa viongozi wote wa mkoa amewaweka mfukoni licha ya kupewa notisi ya kusimamisha kuendelea...
Sakata la kanisa lililoripotiwa kupiga muziki mkubwa sana masaa 24 na lililojengwa katikati ya barabara , limeingia sura mpya baada ya serikali kuchukua hatua na kulizuia kuendelea kujengwa na kuendelea na shughuli zozote za ibada , baada ya maofisa wa serikali kufika kanisani hapo Jana na...
Sakata la kanisa liliripotiwa kupiga muziki masaa 24 na kujengwa kuziba barabara Tabora lapigwa Stop kuendelea na ujenzi na huduma ya kanisa. Notice ya kulisimamisha hii hapa, mchungaji Jackson aendelea na kiburi achana notice iliyowekwa mlangoni pa kanisa.
Wiki iliyopita ililipotiwa hapa jukwaani kuhusu wakazi wa Kariakoo Tabora kata ya Kitete wakilalamikia kanisa lililojengwa katikati ya barabara na kupiga muziki mkubwa sana masaa 24
Sakata limeingia sura mpya baada mchungaji Jackson wa kanisa hilo kuonyesha jeuri na kuwaweka viongozi wote wa...
Wanyama waliohamishwa kutoka mbuga mbalimbali za wanyama, ikiwemo serengeti, mikumi, ruaha, Ngorongoro ambao walibebwa na magari makubwa hapo juu na kupelekwa hifadhi mpya ya Burigi Chato wamehama hifadhi hiyo na kuhamia hifadhi ya Akagera National Park ya Rwanda.
Ripoti mbalimbali za Shirika la Fedha Duniani, Benki ya Dunia na mashirika mbalimbali zinaonyesha kuwa idadi ya watu maskini imeongezeka kama vielelezo vinavyoonyesha hapa chini.
=====
Why number of the poor has increased
WEDNESDAY DECEMBER 4 2019
World Bank country director Bella Bird...
Vitimbi na vituko vikivyotokea katika uchaguzi wa serikali za mitaa, mpaka kupelekea CCM kudai kushinda kwa asilimia mia moja serikali za mitaa na 99.8 vijiji.
Hizo ni njama zilizopangwa kuwahadaa Watanzania na ulimwengu wa kimataifa ionekane kuwa CCM na Rais Magufuli wanakubalika sana hivyo...
Mara kwa mara rais Magufuli amekuwa akisisitiza watu wafanye kazi kweli kweli, je ni kazi zipi hizo anazosema?
Maana juzi alipoulizwa swali na mwananchi wa wilaya ya Igunga mkoa wa Tabora kuhusu kuongeza mzunguko wa fedha, yeye alimwambia afanye kazi hakuna pesa za bure vinginevyo akaolewe...
Baada ya wapinzani kufanyiwa figisu figisu hivyo kujitoa uchaguzi wa serikali za mitaa, CCM wamepata aibu nchi nzima.
1. Wamekosa washindani nchi nzima
2. Wanafanya kampeni peke yao nchi nzima. Hakuna hamasa, majigambo nk.
3. Wamekosa wasikilizaji hadhira.
4. Wameishia kupeleka wasanii wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.