Sakata la kanisa linalopiga muziki kutwa kucha Tabora labainika kutokuwa na kibali, lapewa notisi. Kigogo wa Wilayani ahongwa ahaha kulifungulia

King Kisali

JF-Expert Member
Nov 20, 2019
1,042
1,349
Katika hali ya kushangaza kanisa lililotikisa mkoani Tabora kwa karibu miaka miwili kupiga muziki kwa sauti kubwa sana, mahubiri ya kashfa kwa dini zingine kuhubiri mahubiri ya ndoa hadharani limebainika kutokuwa na kibali wala usajili wa kuendesha ibada mkoani Tabora.

Licha ya malalamiko ya muda mrefu sana ya majirani na wananchi wa mtaa wa Kariakoo eti viongozi wa halmashauri na wilaya ndio wanabaini kanisa hilo kutokuwa na kibali? Wala usajili?

Kanisa limesajiliwa Kahama linakuja kufanya shughuli zake mkoani Tabora bila kibali cha mamlaka za mkoa na wilaya? Miaka miwili? Kama sio rushwa Ni nini?

Tarehe 22 mwezi huu kanisa hilo limepewa notisi ya kuondoa kanisa na kuacha shughuli zake katika mtaa wa Kariakoo, Mchungaji aliyetamba kuwaweka mfukoni viongozi wa Tabora ameenda kumhonga kigogo mmoja wa ofisi ya mkuu wa wilaya Tabora mjini, sasa hivi kigogo huyo anahangaika kweli kutafuta mbinu ya kulifungulia kanisa hilo huku akijua halina kibali, halina usajili, kibali cha ujenzi, kibali cha muda cha kuendesha ibada katika mkoa wa Tabora.

Tunaomba mamlaka zake za juu zifuatilie uvunjifu huu wa sheria huku wananchi wa mtaa husika tukiteseka kwa kelele na sauti kubwa sana za muziki na mahubiri ya watu wasio na vibali, usajili na miongozo mingine inayotakiwa. Serikali ya Tabora inalea genge la wahuni? Hata rushwa zenyewe hebu muogopeni mwenyezi Mungu . Mnaruhusu watu wanajenga mpaka barabarani?
 
IMG_20211210_102711_8.jpg
 
Hivi hbr ni ya Siku nyingi unaileta Leo ili !!?
Kosa ni kosa kisheria haijalishi limetendwa lini ? Tarehe 22 mwezi huu ndio siku nyingi ? Haiwezekani watu wavunje sheria na kubughuzi wengine kwa kisingizio cha kuabudu , kila akifanya Kama mnavyofanya nyinyi wakati wa kusali nchi itakalika ? Itakuwa na amani ndio maana kuna sheria na taratibu zifuatwe na watu wa dini zote .
 
Kanisa halina jina?
 
Katika hali ya kushangaza kanisa lililotikisa mkoani Tabora kwa karibu miaka miwili , kupiga muziki kwa sauti kubwa sana , mahubiri ya kashfa kwa dini zingine kuhubiri mahubiri ya ndoa hadharani limebainika kutokuwa na kibali wala usajili wa kuendesha ibada mkoani Tabora . Licha ya malalamiko ya muda mrefu sana ya majirani na wananchi wa mtaa wa Kariakoo eti viongozi wa halmashaurina wilaya ndio wanabaini kanisa hilo kutokuwa na kibali ? Wala usajili ? Kanisa limesajiliwa Kahama linakuja kufanya shughuli zake mkoani Tabora bill kibali cha mamlaka za mkoa na wilaya ? Miaka miwili ? Kama sio rushwa Ni nini ? Tarehe 22 mwezi huu kanisa hilo limepewa notisi ya kuondoa kanisa na kuacha shughuli zake katika mtaa wa Kariakoo, Mchungaji aliyetamba kuwaweka mfukoni viongozi wa Tabora ameenda kumhonga kigogo mmoja wa ofisi ya mkuu wa wilaya Tabora mjini , sasa hivi kigogo huyo anahangaika kweli kutafuta mbinu ya kulifungulia kanisa hilo huku akijua halina kibali , halina usajili , kibali cha ujenzi , kibali cha muda cha kuendesha ibada katika mkoa wa Tabora . Tunaomba mamlaka zake za juu zifuatilie uvunjifu huu wa sheria huku wananchi wa mtaa husika tukiteseka kwa kelele na sauti kubwa sana za muziki na mahubiri ya watu wasio na vibali , usajili na miongozo mingine inayotakiwa , Serikali ya Tabora inalea genge la wahuni ? Hata rushwa zenyewe hebu muogopeni mwenyezi Mungu . Mnaruhusu watu wanajenga mpaka barabarani ?
Kanisa kusajiliwa Kahama sio tatizo. Kule inaweza kuwa ndio mahakao makuu yake, sasa linajitanua maeneo mengine...usichukie jina la Yesu likitajwa maeneo mengi!
 
Kanisa lijitanue maeneo mengine ?bila kibali ? Bila kufuata sheria na taratibu ? Hakuna anayechukia jina la Yesu wala dini yoyote ile soma elewa unaendesha kanisa , dini huwezi kufuata sheria , taratibu , kanuni hiyo siyo dini tena ni vurugu . Watu wote wakifanya hivyo nchi itakalika ? Jifunzeni kufuata sheria na taratibu .
 
Umeandika kishabiki sana. Kataa kubali una chuki na hilo kanisa
Kwahiyo ulitaka kanisa lipige muziki kwa sauti kubwa sana usiku na mchana , tuna wagonjwa, wazee , watoto, tuwaangalie tu ? Ulishawahi kuuguza ? Halafu ukumbane kadhia ya wapuuzi kama hawa. Sakata la hili kanisa ni utovu wa nidhamu na kutofutwa sheria na taratibu ziko wazi zinajieleza kabisa sauti isizidi Desibeli 40 muda wa ibada usizidi masaa manne mimi ndio nimewatuma wakiuke sheria za nchi .
 
Duu jamaa anabif na kanisa
Huyu ni mpuuzi mmoja mjinga anayejaribu kupinga ujio wa kanisa!! Mbona misikiti inapigia watu kelele za alfajiri na kusumbua watu wakiwa wamepumzika na watu wanavumilia!!

Msipende kuleta vita vya kidini kwa sababu za kijinga!!
 
Katika hali ya kushangaza kanisa lililotikisa mkoani Tabora kwa karibu miaka miwili , kupiga muziki kwa sauti kubwa sana , mahubiri ya kashfa kwa dini zingine kuhubiri mahubiri ya ndoa hadharani limebainika kutokuwa na kibali wala usajili wa kuendesha ibada mkoani Tabora . Licha ya malalamiko ya muda mrefu sana ya majirani na wananchi wa mtaa wa Kariakoo eti viongozi wa halmashaurina wilaya ndio wanabaini kanisa hilo kutokuwa na kibali ? Wala usajili ? Kanisa limesajiliwa Kahama linakuja kufanya shughuli zake mkoani Tabora bill kibali cha mamlaka za mkoa na wilaya ? Miaka miwili ? Kama sio rushwa Ni nini ? Tarehe 22 mwezi huu kanisa hilo limepewa notisi ya kuondoa kanisa na kuacha shughuli zake katika mtaa wa Kariakoo, Mchungaji aliyetamba kuwaweka mfukoni viongozi wa Tabora ameenda kumhonga kigogo mmoja wa ofisi ya mkuu wa wilaya Tabora mjini , sasa hivi kigogo huyo anahangaika kweli kutafuta mbinu ya kulifungulia kanisa hilo huku akijua halina kibali , halina usajili , kibali cha ujenzi , kibali cha muda cha kuendesha ibada katika mkoa wa Tabora . Tunaomba mamlaka zake za juu zifuatilie uvunjifu huu wa sheria huku wananchi wa mtaa husika tukiteseka kwa kelele na sauti kubwa sana za muziki na mahubiri ya watu wasio na vibali , usajili na miongozo mingine inayotakiwa , Serikali ya Tabora inalea genge la wahuni ? Hata rushwa zenyewe hebu muogopeni mwenyezi Mungu . Mnaruhusu watu wanajenga mpaka barabarani ?

Hizo Kelele za usiku na mchana ina maana hata wenye kanisa huwa hawalali?
 
Mkuuu nyuzi zako nyingi sana unautukana Ukristo hasa Walokole. Jifunze kuheshimu Imani za Wenzako. Mbona hao unaowaaandama wako kimia dhidi yako.
Anyway Vip bado unaendelea na Biashara yako ya UTAJIRI WA MAJINI NA NGUVU ZA GIZA Mkuu nina mdau nataka akuPM!
 
Back
Top Bottom