Kwanini idadi ya watu maskini imeongezeka Tanzania?

Kwanini idadi ya watu maskini imeongezeka Tanzania?

King Kisali

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2019
Posts
1,041
Reaction score
1,351
Ripoti mbalimbali za Shirika la Fedha Duniani, Benki ya Dunia na mashirika mbalimbali zinaonyesha kuwa idadi ya watu maskini imeongezeka kama vielelezo vinavyoonyesha hapa chini.

=====

Why number of the poor has increased

WEDNESDAY DECEMBER 4 2019

1575534619822.png

World Bank country director Bella Bird

Dar es Salaam. The number of people living in poverty in Tanzania has risen because poverty reduction rates are still too low.

This has prompted the World Bank to call for more attention for agriculture, which it says has offered opportunities for accelerating poverty reduction in the country.

Tanzania’s economic growth, which is among the highest in the region, is mainly driven by sectors such as construction and mining.

The World Bank says in its 13th Tanzania Economic Update released yesterday that more needs to be done to improve the performance of agriculture, which employs close to two thirds of the population.
“Agriculture transformation in Tanzania can do much to drive future growth and employment and accelerate poverty reduction,” World Bank country director Bella Bird during the report’s unveiling.

“The current trends in agriculture offer a tremendous opportunity to catalyze private investment, both local and foreign, and raise the incomes of the poor. “Since agriculture already accounts for a quarter of total GDP and two-thirds of jobs, enhanced agricultural growth must be part of the strategy to create more and better jobs and alleviate poverty,” she said.

According to the National Bureau of Statistics’ latest Household Budget Survey, poverty in Tanzania fell from 28.2 per cent in 2011/12 to 26.4 per cent in the 2017/18.

However, the World Bank says this pace is too slow, and the number of people living in poverty has increased over time.

Going by the figures, the number of people living in poverty has increased from 12.67 million in 2012 to 14.75 million in 2019.

The World Bank report suggests urgent steps to improve agriculture-related policies, regulatory environment and investments for the sector to perform in line with its potential.

These include incentives such as low interest in agriculture financing, agro-processing and a shift in agricultural price policies such as export bans.

Yesterday’s launch included a panel discussion on the sector.
One of the panelists, Tanzania Agricultural Development Bank (TADB) managing director Japhet Justine, said the lender was playing a pivotal role in financing agriculture in Tanzania.

“We are now mobilising resources for the sector, and commercial banks are also supporting agriculture financing, which is needed in the production and processing of produce,” he said. The panelists also said interventions in agriculture should not be selective.

“We need a holistic approach by pumping in money to facilitate production and processing that meet international standards,” said Dr Blandina Kilama from the research think tank Repoa.

Economy
The World Bank said Tanzania’s economy will grow by 5.8 per cent in 2020, up from 5.6 per cent forecast for this year, and growth will rise to 6.1 per cent in 2021.

However, the World Bank’s 2019 forecast is lower than the government’s estimate of 7.1 per cent.

Maskini kwa mujibu wa vipimio vyenu sio maskini katika natural ground
 
Hapa kazi tu hahaaa...nitatengeza mabilionea kila wilaya hehehe...watanzania tembeeni vifua mbele teh teh..
 
Rais Magufuli Pesa amezipeleka ambako hazigusi Mtu mmoja mmoja. Hiyo Miradi wananufaika Waturuki, Wachina nk.
Halafu Magufuli si wa Kumwamini, kuna Clip Fulani Wakati anagombea Uraisi alikuwa akilalamika kuwa Uchumi unatakiwa uambatane na Kubadilisha maisha ya Raia yaani kwa Kuwa Maisha Mazuri na Pesa waipate, Matokeo yake anafanya Kinyume.
Tuna Utawala wa kinafiki na Roho Mbaya saana
 
Ripoti mbalimbali za shirika la fedha duniani, benki ya dunia na mashirika mbalimbali zinaonyesha kuwa idadi ya watu maskini Imeongezeka kama vielelezo vinavyoonyesha hapa chini. View attachment 1281967

Anayedhani kuwa Idadi ya Masikini imeongezeka sana kwa sasa nchini Tanzania atakuwa anakosea na amepotoka kwani tokea Uhuru Tanzania Masikini ni wengi tu ila yawezekana kwa sasa inaonekana hivyo kwakuwa tu kuna Watu wengine wanaotumika na Maadui wa Tanzania huku wengine wakiwa katika Mkakati ' Maalum ' wa Kuichafua Tanzania kupitia Magazeti yao na AZAKI zao wa ' Kuichafua ' Tanzania Kimataifa kwa gharama yoyote ile.
 
Watu waichafue Tanzania Kwa lipi hasa muwe mnaukubali ukweli hata ukiwa mchungu
IMG_20191204_193557.jpg
 
Anayedhani kuwa Idadi ya Masikini imeongezeka sana kwa sasa nchini Tanzania atakuwa anakosea na amepotoka kwani tokea Uhuru Tanzania Masikini ni wengi tu ila yawezekana kwa sasa inaonekana hivyo kwakuwa tu kuna Watu wengine wanaotumika na Maadui wa Tanzania huku wengine wakiwa katika Mkakati ' Maalum ' wa Kuichafua Tanzania kupitia Magazeti yao na AZAKI zao wa ' Kuichafua ' Tanzania Kimataifa kwa gharama yoyote ile.
Wawachafue kwalipi hasa mbona kila kitu kiko wazi ndugu
IMG_20191202_172643.jpg
 
December 3, 2019

Mtaalamu : Uchumi wa mwananchi awamu ya 5, umepanda na upo bora zaidi kuliko kipindi chochote

Mtaalamu wa Mbobezi wa uchumi, masuala ya kibenki/ fedha, uchambuzi wa takwimu na Mkufunzi Bw. Omar Mahinya akielezea hali ya Tanzania kiuchumi kupaa kufuatia kuwa nchi sasa ina data za uhakika yaani statistics kuthibitisha hilo.

Omar Mahinya anakwenda mbele na kusema sasa kuna unafuu wa maisha. Ndiyo maana wananchi wameweza kuchangia kodi zaidi hivyo sifa ziende kwa wananchi kuchangia trilioni 1.7 kila mwezi TRA, ambayo ni rekodi haijawahi kufikiwa.

Anasema mtaalamu wa huyo ambaye pia ni mkufunzi aliyefanya kazi ktk taasisi kadhaa za kibenki ikiwemo Benki Kuu ya Tanzania - BOT kuwa ununuzi wa ndege kadhaa, ujenzi wa reli ya SGR, madaraja ya juu kwa juu, zahanati na hospitali zimejengwa, migodi ya madini inazidi kuchangia uchumi hivyo yote yamefanya alichokiita stand of living kwenda juu zaidi na kuleta unafuu wa maisha.

Mchumi Omar Mahinya amwaga sifa kede kede kwa Jakaya M. Kikwete kumuwekea mazingira mazuri yanayomwezesha Mh. John Pombe John Magufuli kuweza kutenda mambo yote makubwa ya miundo mbinu, elimu bure msingi mpaka sekondari, Bilioni 400 za mikopo kwa elimu ya juu, huduma za afya na yote hayo yameleta unafuu mkubwa kwa maisha ya mtanzania ktk kipindi hiki cha utawala wa awamu ya 5 mchumu huyo bobezi anamalizia uchambuzi wake.

Omar Mahinya ana ongeza sasa kazi kwetu vijana baada ya huduma zote hizi za kijamii na elimu buree, tujikite ktk kujiajiri maana elimu tumepewa sasa ni kujifungulia viwanda au kujiingiza ktk kilimo bora, uvuvi, ufugaji n.k kujiari ili kutumia elimu yetu kujiletea maendeleo, serikali imefanya majukumu yake sasa nasi tujitume kwa kujiari wenyewe.

Source: DARMPYA TV
Na mashaka na mtaalamu huyu anayepingana na hali ya umasikini ulioongezeka Tanzania
 
Anayedhani kuwa Idadi ya Masikini imeongezeka sana kwa sasa nchini Tanzania atakuwa anakosea na amepotoka kwani tokea Uhuru Tanzania Masikini ni wengi tu ila yawezekana kwa sasa inaonekana hivyo kwakuwa tu kuna Watu wengine wanaotumika na Maadui wa Tanzania huku wengine wakiwa katika Mkakati ' Maalum ' wa Kuichafua Tanzania kupitia Magazeti yao na AZAKI zao wa ' Kuichafua ' Tanzania Kimataifa kwa gharama yoyote ile.
Wawachafue kwalipi hasa?
IMG_20191202_145357.jpg
 
Attachments

  • IMG_20191204_194224.jpg
    IMG_20191204_194224.jpg
    131.9 KB · Views: 17
December 3, 2019

Mtaalamu : Uchumi wa mwananchi awamu ya 5, umepanda na upo bora zaidi kuliko kipindi chochote

Mtaalamu wa Mbobezi wa uchumi, masuala ya kibenki/ fedha, uchambuzi wa takwimu na Mkufunzi Bw. Omar Mahinya akielezea hali ya Tanzania kiuchumi kupaa kufuatia kuwa nchi sasa ina data za uhakika yaani statistics kuthibitisha hilo.

Omar Mahinya anakwenda mbele na kusema sasa kuna unafuu wa maisha. Ndiyo maana wananchi wameweza kuchangia kodi zaidi hivyo sifa ziende kwa wananchi kuchangia trilioni 1.7 kila mwezi TRA, ambayo ni rekodi haijawahi kufikiwa.

Anasema mtaalamu wa huyo ambaye pia ni mkufunzi aliyefanya kazi ktk taasisi kadhaa za kibenki ikiwemo Benki Kuu ya Tanzania - BOT kuwa ununuzi wa ndege kadhaa, ujenzi wa reli ya SGR, madaraja ya juu kwa juu, zahanati na hospitali zimejengwa, migodi ya madini inazidi kuchangia uchumi hivyo yote yamefanya alichokiita stand of living kwenda juu zaidi na kuleta unafuu wa maisha.

Mchumi Omar Mahinya amwaga sifa kede kede kwa Jakaya M. Kikwete kumuwekea mazingira mazuri yanayomwezesha Mh. John Pombe John Magufuli kuweza kutenda mambo yote makubwa ya miundo mbinu, elimu bure msingi mpaka sekondari, Bilioni 400 za mikopo kwa elimu ya juu, huduma za afya na yote hayo yameleta unafuu mkubwa kwa maisha ya mtanzania ktk kipindi hiki cha utawala wa awamu ya 5 mchumu huyo bobezi anamalizia uchambuzi wake.

Omar Mahinya ana ongeza sasa kazi kwetu vijana baada ya huduma zote hizi za kijamii na elimu buree, tujikite ktk kujiajiri maana elimu tumepewa sasa ni kujifungulia viwanda au kujiingiza ktk kilimo bora, uvuvi, ufugaji n.k kujiari ili kutumia elimu yetu kujiletea maendeleo, serikali imefanya majukumu yake sasa nasi tujitume kwa kujiari wenyewe.

Source: DARMPYA TV

Huyo mtaalam atakuwa Pimbi wa kutupa watu wanahali mbaya sana mpaka wanamwambia rais aongeze mzunguko wa fedha lakini yeye anawadhihaki, watu walisema zamani sana vyuma vimekaza hawakusikia. Watu walikatazwa kusema vyuma vimekaza hivi wewe unafikiri huyu mtaalam hajitaki maisha yake? Yeye mjinga?
 
Back
Top Bottom