King Kisali
JF-Expert Member
- Nov 20, 2019
- 1,042
- 1,349
Wiki iliyopita ililipotiwa hapa jukwaani kuhusu wakazi wa Kariakoo Tabora kata ya Kitete wakilalamikia kanisa lililojengwa katikati ya barabara na kupiga muziki mkubwa sana masaa 24
Sakata limeingia sura mpya baada mchungaji Jackson wa kanisa hilo kuonyesha jeuri na kuwaweka viongozi wote wa mkoa mfukoni, hasa afisa mipango miji na afisa utamaduni baada ya usiku wa leo kukesha usiku kucha akijenga kulimalizia kanisa hilo na nyumba ya mchungaji katikati ya barabara huku akitamba kuwa hawawezi kumfanya kitu chochote licha ya kujenga kwenye makazi ya watu, mchungaji huyu ameziba barabara kutoka shule ya msingi Westland kusini mwa shule kutoka magharibi kwenda mashariki
Kali kuliko Leo kanisani mchungaji na waumini wanamuombea mabaya aliyeleta taarifa hizi mtandaoni.
NB: Afisa mipango miji hebu lipeleke hilo kanisa eneo maalum lililotengwa kwa ajili ya makanisa. Halafu afisa mipango miji kwanini toka uagizwe na mkurugenzi kuangalia uhalali wa shughuli zinazoendeshwa na kanisa kama ni halali na zina vibali husika wewe na afisa utamaduni hujafanya hivyo toka November mwaka jana, tukisema mchungaji Jackson kakuweka mfukoni kama anavyosema tutakuwa tunakosea?
Anyway ibada inaendelea kama kazi muziki kama wote. Mnataka wananchi wafanye nini ndio mchukue hatua.