Baada ya wapinzani kususia uchaguzi wa serikali za mitaa 2019, aibu waliyoipata CCM hawataisahau

King Kisali

JF-Expert Member
Nov 20, 2019
1,042
1,349
Baada ya wapinzani kufanyiwa figisu figisu hivyo kujitoa uchaguzi wa serikali za mitaa, CCM wamepata aibu nchi nzima.

1. Wamekosa washindani nchi nzima

2. Wanafanya kampeni peke yao nchi nzima. Hakuna hamasa, majigambo nk.

3. Wamekosa wasikilizaji hadhira.

4. Wameishia kupeleka wasanii wa muziki na ngoma za asili mikutanoni.

5. Wanakusanyana Wilaya nzima kwenda mtaa mmoja ili mkutano uonekane umejaa watu.

6. Wameambulia watoto kwenye mikutano badala ya watu wazima.

Wakuu mnaweza kuongezea.
 
IMG_20191119_115810.jpg
 
Na uchaguzi mwingne ni baada ya miaka mitano. Yaani Rais ajaye wa kutoka "upinzani" atafanya kazi na waliopita bila kupingwa pasipo utashi wake, kwa miaka minne!!!. Ikimaanisha madiwani na wabunge wa upinzani watawanunia na hawatashirikiana na wenyeviti na wajumbe wa SM kwa miaka minne. Na ole wake mwanachama wa upinzani atakayeonekana kujipeleka katika ofisi za waliopita bila kupingwa atafutwa uanachama, asuburi miaka mitano ipite!!!.
Hii inaitwa "Usishangae sana ya Sharif utayaona ya Mbawa"
 
Mabeberu wabaya sana....
Baada ya wapinzani kufanyiwa figisu figisu hivyo kujitoa uchaguzi wa serikali za mitaa, CCM wamepata aibu nchi nzima.

1. Wamekosa washindani nchi nzima

2. Wanafanya kampeni peke yao nchi nzima. Hakuna hamasa, majigambo nk.

3. Wamekosa wasikilizaji hadhira.

4. Wameishia kupeleka wasanii wa muziki na ngoma za asili mikutanoni.

5. Wanakusanyana Wilaya nzima kwenda mtaa mmoja ili mkutano uonekane umejaa watu.

6. Wameambulia watoto kwenye mikutano badala ya watu wazima.

Wakuu mnaweza kuongezea.
 
Baada ya wapinzani kufanyiwa figisu figisu hivyo kujitoa uchaguzi wa serikali za mitaa, CCM wamepata aibu nchi nzima.

1. Wamekosa washindani nchi nzima

2. Wanafanya kampeni peke yao nchi nzima. Hakuna hamasa, majigambo nk.

3. Wamekosa wasikilizaji hadhira.

4. Wameishia kupeleka wasanii wa muziki na ngoma za asili mikutanoni.

5. Wanakusanyana Wilaya nzima kwenda mtaa mmoja ili mkutano uonekane umejaa watu.

6. Wameambulia watoto kwenye mikutano badala ya watu wazima.

Wakuu mnaweza kuongezea.
Hakuna aibu kwa wanasiasa.
Wamekamata serikali za mtaa na ni maandalizi mazuri kwa uchaguzi ujao.
Watapata wabunge wengi zaidi na ruzuku itakuwa kubwa zaidi na watajijenga zaidi.
Bunge litakuwa chini yao na watafanya watakalo hata kama kwenye mikutano ya hadhara watakuwa wachache.
Swali la muhimu ni kuwa "walio na mawazo mbadala watachukua njia ipi kufikisha mawazo yao?"
Mpaka sasa nchi imetulia na watu wanaendelea na maisha yao kama kawaida.
 
Mkuu wanafanya ila hakuna hamasa wala watu. Walitegemea watu watajaa kwenye kampeni zao, wakiamini hizi propaganda eti kuna maendeleo basi watu wataenda kuwasikiliza. Matokeo yake imekuwa kama disko lenye wanaume watupu
download (2).jpeg
download (1).jpeg
Warejee huku..... Hahaahaa.... Kikubwa ushindi.​
 
Back
Top Bottom