Upinzani Umekufa? Upinzani Umebaki mtandaoni, hali halisi ni ipi?

King Kisali

JF-Expert Member
Nov 20, 2019
1,042
1,349
Hili i swali na madai kwa baadhi ya watu wakudai kuwa upinzani umekufa , Umebaki Mtandaoni , mbona mapokezi ya Lissu yanaonyesha hali tofauti.

IMG_20200818_164618.jpg
 
Cdm ikipunguziwa washindani yaani ukiwaondoa policcm, tbccm, mahakamaccm ikabaki ccm pekee, lissu anachukua nchi saa nne asubuhi mapema kabisa!
Amini nakwambia , pamoja na polisi, nec, mahakama na hao ccm na wengine wote. Lissu anaenda kumpiga vibaya sana magufuli mwaka huu. Historia itakayoenda kuandikwa mwaka huu Tanzania, hadi Dunia itashangaa nakwambia.
 
Utajuaje upinzani umekufa huku umezuia watu wasifanye siasa?. Akili za Polepole hizo. Wamevuna ujinga na ujuha wao.
 
Upinzani upo mioyoni mwa watu na wote wataka mabadiliko, na kwa sasa wengi wao ni kizazi cha digitali hivyo huwezi kuua digitali.

Walioomba ashuke maraika frani auwe mitandao nawaelewa maana wanajua kilichowapata 2015. Shughuli ilikuwa ni kuua upinzani eti ndo ponda yao hawakujua miaka 5 kuna maendeleo gani kwenye digitali. Ukiwaita washamba wanakuita mchochezi .
 
Mkuu mleta uzi umepaona kweli kabisa ,humu ndani kijani kibichi walikuwa wanasema upinzani umekufa , Umebaki mtandaoni , wanatuita keyboard warriors sasa jamani kijani kibichi vipi hizi nyomi ndio upinzani umekufa ? . Shame on you
IMG_20200812_195504.jpg
 
Upinzani huwa haufi kamwe...

Unaweza kuteka viongozi na watu wanaokupinga ukawauwa...lakini huwezi fikra za mabadiliko...
 
Back
Top Bottom