Wanyama Waliopelekwa Burigi Chato Wahamia Akagera National Park Rwanda

King Kisali

JF-Expert Member
Nov 20, 2019
1,042
1,349
IMG_20191206_122656.jpg

Wanyama waliohamishwa kutoka mbuga mbalimbali za wanyama, ikiwemo serengeti, mikumi, ruaha, Ngorongoro ambao walibebwa na magari makubwa hapo juu na kupelekwa hifadhi mpya ya Burigi Chato wamehama hifadhi hiyo na kuhamia hifadhi ya Akagera National Park ya Rwanda.
 
Hukuna shida movements za wanyama mbugani ni kawaida zipo sababu za kibiologia zinawafanya wahame mfano kutafuta majike na vingenevyo

Itafikia kipind kama mbuga hizi zipo karibu ata hao wa Rwanda watakuja Chato
 
Mbona hao wa Rwanda walikua hawaja hama siku zote wanasubiri tupeleke wanyama wetu ndowaanze kuhama......hapo unajipa matumaini tu
 
Back
Top Bottom